Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amesema Tanzania imedhamiria kuimarisha ushirikiano wa kimkakati na India, hususan katika sekta za biashara na uwekezaji, ili kuchochea maendeleo endelevu na kuboresha maisha ya wananchi...