Kijana wa Kihindi aliyesafiri maili 6000 hadi Sweden kumfuata na kumuoa kipenzi cha moyo wake

INTROVERT MAN

JF-Expert Member
Aug 5, 2019
993
1,337
Ni story iliyotokea kwa Kijana wa Kihindi aliyesafiri maili 6000 hadi Sweden kumfuata na kumuoa kipenzi cha moyo wake. je walidumu?

Fuatilia picha na kisa hiki kifupi

Mnamo 1977 mwanamume wa Kihindi aliyeitwa P. K. Mahanandia aliendesha baiskeli maili 6,000 kutoka India hadi Sweden kuoa mwanamke wa Uswidi aliyeitwa Charlotte Von Schedvin. Aliuza kila kitu alichonacho kununua baiskeli ya mitumba kwa safari yake ndefu Ya maili 6000.

Screenshot_20200909_211914.jpg

Baada ya kufika tu Sweden mzee akajifotoa na mtoto
Screenshot_20200909_211932.jpg

Wakafunga ndoa

Screenshot_20200909_211949.jpg

Mara paap wakapata watoto wawili wa jinsia tofauti.

Screenshot_20200909_212034.jpg


Wako pamoja hata sasa.


Nb Kasie naomba picha na kibabu chako
mahondaw , na mwezio smart natamani muje kuwa hivi
Screenshot_20200909_211959.jpg
Screenshot_20200909_211959.jpg
Screenshot_20200909_212024.jpg
 
Kabisa aisee ukibahatika kwenye hili unakuwa mtu mwenye furaha za ajabu 24/7 unatabasamu hata usingizini 😜😜Mapenzi raha banaa asikudanganye NTU ila siku hizi matapeli wa penzi wamekuwa wengi mno.
Raha yake haisemeki kabisa, kwenye dimbwi hili la matapeli wapo wenye bahati wanaokota madodo na wanafaidi haswa😋😋😋😋 hadi najilamba aisee, mapenzi matamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom