Inakera na kuchukiza kwamba wqtu wengu wanatumia smatphone halafu ni infinix,itel na Tecno

Nesi mkunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2022
701
1,849
Hii dunia inakera sana na kuchukiza kuna mambo yananipa stress sana yaani nikiona mijitu mikubwa inatumia smatphone halafu ukimkaribia zaifi anatumia hayo midosho au mabomu ya kichina Tecno,infinix na itel yaani nakerekwa mpaka natamani nitapike ๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’

Hizi sio simu ni bomu aisee jana mwana mmoja ali king nusura zimlipukie na bwana Mshana jana zimemlipukia aiseee yaaani sio poa kabisa hizi simu zinakera

Sirikali fanyeni juu chini mpige chini matumizi ya haya mabomu ya kichina aisee yataua watu huku mtaani halafu ubaya hata wauza gongo au pombe za matapu tapu anamiliki smatphone kuangalia infinix,Tecno au itel ujinga mtupu

Hata wapiga debe wa shekilango au mbezi eti nao wanatumia smatphone huu ni uozo kabisa na upuuzi mtupu

:Thread posted by Samsung note 10 plus:
 
images - 2023-08-28T231729.884.jpeg
 
Hii dunia inakera sana na kuchukiza kuna mambo yananipa stress sana yaani nikiona mijitu mikubwa inatumia smatphone halafu ukimkaribia zaifi anatumia hayo midosho au mabomu ya kichina Tecno,infinix na itel yaani nakerekwa mpaka natamani nitapike ๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’
Kukwerwa na vitu visivyokuhusu ni umama. Eti unapata stress
 
Hii dunia inakera sana na kuchukiza kuna mambo yananipa stress sana yaani nikiona mijitu mikubwa inatumia smatphone halafu ukimkaribia zaifi anatumia hayo midosho au mabomu ya kichina Tecno,infinix na itel yaani nakerekwa mpaka natamani nitapike ๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’

Hizi sio simu ni bomu aisee jana mwana mmoja ali king nusura zimlipukie na bwana Mshana jana zimemlipukia aiseee yaaani sio poa kabisa hizi simu zinakera

Sirikali fanyeni juu chini mpige chini matumizi ya haya mabomu ya kichina aisee yataua watu huku mtaani halafu ubaya hata wauza gongo au pombe za matapu tapu anamiliki smatphone kuangalia infinix,Tecno au itel ujinga mtupu

Hata wapiga debe wa shekilango au mbezi eti nao wanatumia smatphone huu ni uozo kabisa na upuuzi mtupu

:Thread posted by Samsung note 10 plus:
Hauko sawa
 
Huu ni zaidi ya uchawi sasa, kwani nikitumia tecno nakupunguzia oksijeni?.
Hii dunia inakera sana na kuchukiza kuna mambo yananipa stress sana yaani nikiona mijitu mikubwa inatumia smatphone halafu ukimkaribia zaifi anatumia hayo midosho au mabomu ya kichina Tecno,infinix na itel yaani nakerekwa mpaka natamani nitapike

Hizi sio simu ni bomu aisee jana mwana mmoja ali king nusura zimlipukie na bwana Mshana jana zimemlipukia aiseee yaaani sio poa kabisa hizi simu zinakera

Sirikali fanyeni juu chini mpige chini matumizi ya haya mabomu ya kichina aisee yataua watu huku mtaani halafu ubaya hata wauza gongo au pombe za matapu tapu anamiliki smatphone kuangalia infinix,Tecno au itel ujinga mtupu

Hata wapiga debe wa shekilango au mbezi eti nao wanatumia smatphone huu ni uozo kabisa na upuuzi mtupu

:Thread posted by Samsung note 10 plus:
 
Hii dunia inakera sana na kuchukiza kuna mambo yananipa stress sana yaani nikiona mijitu mikubwa inatumia smatphone halafu ukimkaribia zaifi anatumia hayo midosho au mabomu ya kichina Tecno,infinix na itel yaani nakerekwa mpaka natamani nitapike ๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’

Hizi sio simu ni bomu aisee jana mwana mmoja ali king nusura zimlipukie na bwana Mshana jana zimemlipukia aiseee yaaani sio poa kabisa hizi simu zinakera

Sirikali fanyeni juu chini mpige chini matumizi ya haya mabomu ya kichina aisee yataua watu huku mtaani halafu ubaya hata wauza gongo au pombe za matapu tapu anamiliki smatphone kuangalia infinix,Tecno au itel ujinga mtupu

Hata wapiga debe wa shekilango au mbezi eti nao wanatumia smatphone huu ni uozo kabisa na upuuzi mtupu

:Thread posted by Samsung note 10 plus:
Babako anatumia aina gani ya simu?
 
Wewe wanunulie samsung na iphone, Tanzania ina wajinga wengi sana.
Every one want to be class na kutrendiiiiiii trend huu ni ujinga.

Kinwyaji moet au hennesy.
Viatu ni timberland.
Saa mount black.
Perfume Creed aventus Og.
Slipper Mc tommy.
Tshirt Dior
Shirt Louis voitton Lv.
Suruali Gucci.
Money bag Gabbana.
Wallet Tims.
Car rolls royce/BMW/M benz...
House Complex appartment rent charges $250 per month.

Any way tutafute pesa mazee mi mwenyewe napenda ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Hii dunia inakera sana na kuchukiza kuna mambo yananipa stress sana yaani nikiona mijitu mikubwa inatumia smatphone halafu ukimkaribia zaifi anatumia hayo midosho au mabomu ya kichina Tecno,infinix na itel yaani nakerekwa mpaka natamani nitapike ๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’

Hizi sio simu ni bomu aisee jana mwana mmoja ali king nusura zimlipukie na bwana Mshana jana zimemlipukia aiseee yaaani sio poa kabisa hizi simu zinakera

Sirikali fanyeni juu chini mpige chini matumizi ya haya mabomu ya kichina aisee yataua watu huku mtaani halafu ubaya hata wauza gongo au pombe za matapu tapu anamiliki smatphone kuangalia infinix,Tecno au itel ujinga mtupu

Hata wapiga debe wa shekilango au mbezi eti nao wanatumia smatphone huu ni uozo kabisa na upuuzi mtupu

:Thread posted by Samsung note 10 plus:
Tafuta Hela matajiri hata smart phone hawaangaiki nazo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom