inakera

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kumtext mtu au kuanza mazungumzo kurupu anasema nipange au niambie huwa inakera sana

    Moja kwa moja.. Huu mtindo umeshamiri haswa kwa vijana unakuta mtu ameanza kukutext au wewe umeanza kumsalimia baada ya kujibu text yake inayofuata "nipange "au "niambie" mimi mara nyingi hapo huwa mwisho wa kuchat isipokuwa kwa wachache ambao ninawajua kuwa bado Wana utoto. Leo hii mshikaji...
  2. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Hii inakera sana

    Jamani mtu akiolewa kaolewa na ukoo mtu anakuja na familia nzima . Yaani wazazi wote wawili , dada , kaka na wadogo zake ndani yanyumba halafu hawana hata haya yakukaa na wao ndio wamefika. Hata wakitafutiwa kazi wapo hapo hapo na chakusikitisha hawachangii chochote sio luku au chakula wala...
  3. ommytk

    JamiiForums Tanzania Kigamboni darajani badilisheni utaratibu, foleni kubwa sana inakera mno

    Maoni kwa wasimamizi daraja la kigamboni jioni na asubuhi foleni kubwa sana inakera mnooooo yaaani ukaaa zaidi ya nusu saa kukata tiketi sasa sijui why msijaribu kuangalia namna nzuri asubuhi na jioni ata mnaweza kukata tiketi ziwe tayali gari ikija unapewa unaenda sio mpk aanze kuingia kwenye...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wa Tanzania kama hamna Upendo na nia ya kweli dhidi ya Kuwakomboa Wakulima acheni Kuwapenda Kinafiki kwani inakera!!

    Sasa ni mwaka wa 20 huu nawasikia tu Wanasiasa wa Tanzania kila mara wakisema wanawapigania Wakulima na wanawapenda lakini kila Siku nasikia mpaka Kushuhudia Vilio vya Wakulima kiasi cha mpaka kutia Huruma. Tanzania ingekuwa na Viongozi imara tena wasio na Unafiki mwingi ndani yake nina uhakika...
  5. SANCTUS ANACLETUS

    JamiiForums Tanzania Inauma, inasikitisha, inakera sana, na inafikirisha sana kuona viatu vinakupwaya lakini unajipa matumaini ya kuendelea na Safari ya Uongozi

    Ni ukweli uliokuwa wazi kuwa hata kabla ya yeye kushika wadhifa huo wa juu wa Nchi watu wengi hawakuwahi kuutambua uwezo wake. Uwezo ni jambo ambalo huwezi kuuficha mithili ya Sindano kwenye Koti. Mungu wetu angalikuwa wa ajabu sana kwa uwezo wake mkuu alionao kama angaliumba wanadamu halafu...
  6. SANCTUS ANACLETUS

    JamiiForums Tanzania Inafikirisha sana kuona viatu vinakupwaya lakini unajipa matumaini ya kuendelea na safari ya uongozi kwa Watanzania

    Ni ukweli uliokuwa wazi kuwa hata kabla ya yeye kushika wadhifa huo wa juu wa Nchi watu wengi hawakuwahi kuutambua uwezo wake. Uwezo ni jambo ambalo huwezi kulificha mithili ya Sindano kwenye Koti. Mungu wetu angalikuwa wa ajabu sana kwa uwezo wake mkuu alionao kama angaliumba wanadamu halafu...
  7. Nduka Original

    JamiiForums Tanzania Wadada wacheni hii tabia inakera sana wanaumee - Be real

    Kuna tabia wadada wanaweka picha kwenye profile zao ambazo siyo halisi. Yani unakuta kajipiga picha halafu anaifanyia manjonjo wewe una base kwenye picha hiyo lakini ukija kumuona ni vitu viwili tofauti. Unakuta mdada labda ulisoma nae sasa mmechat ukaona profile ukasema ngoja nirushe nyavu na...
  8. Shamkware

    JamiiForums Tanzania Waendesha bodaboda, tabia hii inakera sana

    Habari wakuu, Niende moja kwa moja kwenye maada. Hivi sasa tunatambua bodaboda imekuwa ni kazi inayowasaidia vijana wengi sana kujikwamua kiuchumi katika maeneo mbalimbali ya nchi yetu kitu ambacho ni kizuri sana. Lakini kazi hii baadhi ya maeneo inafanywa kwa kukosa weledi na maarifa ya...
Back
Top Bottom