inahitajika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Mifuko ya viroba inahitajika

    Habari? Nahitaji mifuko ya viroba (kilogram 50). Nipe connection, kama muuzaji yupo nicheki tufanye biashara.
  2. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Westpoint Oven lita 63 inahitajika Dar es Salaam

    Kama kichwa kinavyo jieleza. Westpoint Oven lita 63 inahitajika Dar es Salaam. Kama unayo dukani kwako taja bei yako na location ya duka lako bila kusahau mawasiliano yako.
  3. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Je, inahitajika kibali kufungua ofisi ya kuchora ramani za nyumba?

    Mimi sijasomea kuchora ramani ila nina ustadi huu. Nataka nigeuze ustadi huu kama side hustle nijipatie kipato. Je, kuna process zinatakiwa kufanywa kabla sijafungua ofisi ya namna hii.
  4. covid 19

    JamiiForums Tanzania Store inahitajika sm 18 to 25

    Wakuu habari. Store ndogo sqm 18 hadi sqm 25 inahitajika iwepo maeneo ya kariakoo, Magomeni au Keko kwa mwenye kuweza kufahamu au kuniconnect tafadhali nicheck inbox.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tractor ford 6000 four wheel drive inahitajika

    Marry Christmas to you all!!! Ni ndugu yangu anahitaji ford tractor kuanzia namba 6000 na kuendelea iwe na four wheel drive. mahali alipo ni mafinga,iringa lakini popote litakapopatikana atakuja. Mawasiliano:0786595669/0759096558
  6. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Mbegu ya dragon na kiwi inahitajika

    Anyaehitaji yupo Mwanza. Anahitaji kidogo ya kwenda kujaribisha kwenye shamba lake. Kama unafahamu inakopatikana naomba taarifa tafadhali. Muhusika si member humu, kwa hiyo ni muhimu kuweka bei na mawasiliano, hasa y simu. Natarajia kumpa mrejesho Usiku wa Jumatatu, 13/11/2023. 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
  7. R

    JamiiForums Tanzania Asali inahitajika

    Habari wapendwa, inahitajika asali kwa wingi. Mwenye connection aliye serious tuwasiliane PM.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji asali kwa wingi, anayeuza tuwasiliane

    Habari za leo, Inahitajika asali; mwenye kufahamu wapi inapatikana kwa wingi hapa Tanzania, na bei tuwasiliane PM.
  9. K

    JamiiForums Tanzania 17 MLN Subaru Forester XT Namba E inahitajika

    Habari, Tafadhali husika na kichwa cha habari. Kwa mawasialiano zaidi njoo WhatsApp 0742666736
  10. mshamba_hachekwi

    JamiiForums Tanzania Unahitaji shingapi ili usifanye kazi tena?

    Nimewaza jinsi watu tunavyotumia muda mwingi kwenye maisha yetu katika kutafuta hela. Iwe ni muajiriwa wa kawaida, au hata tajiri, wote wanahangaika na pirika za kiuchumi, na kwa ujumla lengo kuu ni kupata pesa zaidi. Sasa nimejiuliza hivi haiwezekani kuwa na hela za kutosha kiasi kwamba...
  11. kifii sheria

    JamiiForums Tanzania Typing tutor inahitajika

    Tafadhali, kwa mwenye typing tutor iliyo bora kama Mavic Becon au nyingine yeyote naomba tuwasiliane. inahitajika haraka sana. thanks.
  12. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Usharuri inahitajika: Kati ya MD na Dental surgery kozi ipi asome

    Hello Wana JF, Mshikaji wangu anapitia wakati mgumu akiwaza kozi ipi asome. Amehitimu kidato cha sita mwaka huu PCB na ana division one ya pointi 6 yaani BBB. Ipo wazi Muhimbili MD hapati lakini huko ameomba Dental Surgery. Zaidi ameomba Medical Doctor (MD) UDSM. Na vipi pote akubaliwe kozi...
  13. Tachu hano

    JamiiForums Tanzania Pikipiki ya Boxer au TvS inahitajika

    Pikipiki Boxer or TVS inahitajika iwe katika condition nzuri Location: Mwanza NB: Isiwe mbovu, na pia kama una brand nyingine kama Honda na bei reasonable nicheki.
  14. W

    JamiiForums Tanzania Gari kama hii au kama hii inahitajika

    Gari inayofanana na hiyo picture au Kama hiyo inahitajika. Phone 0717371028. Karibuni Sana.
  15. big dreamer

    JamiiForums Tanzania Gari aina ya Nissan Dualis inahitajika number E

    Mwenye gari dualis number E anichek PM. Pesa ipo mfuko wa shati NB: Madalali wenye tamaa hapana
  16. Dharafu

    JamiiForums Tanzania Mashine ya juice ya miwa inahitajika

    Wassalaam! Moja kwa moja niende kwenye point ndugu zanguni, mashine ya juice yà miwa inahitajika Location: Dar es salaam Condition: used Offer: 500k Karibuni tufanye kazi
  17. Nrangoo

    JamiiForums Tanzania Inahitajika Toyota corolla

    Wakuu nimeambatanisha na picha hapa chini, mwenye nayo naomba tuwasiliane. Njoo na offer yako
  18. kagombe

    JamiiForums Tanzania Camera ya mbele samsung A7-2017 inahitajika

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza mwenye camera ya mbele samsung A7-2017 pesa mfuko wa shati
  19. kali linux

    JamiiForums Tanzania Apple Mac mini m1 inahitajika haraka

    Hello bosses and roses.... Nahitaji Apple Mac mini m1, kwa anaeziuza au anaefahamu zinapopatikana hapa Tanzania naomba anijulishe. Note: inahitajika ikiwa mpya sio USED Ahsante
  20. mafinyofinyo

    JamiiForums Tanzania Gari inahitajika Land Cruiser Gx 105 mwaka 2002 mpaka 2007

    Iwe ya diesel. Manual gear. Engine 1hz. Rangi nyeupe. Iwe katika hali nzuri both Engine na transmission bila kusahau body. Budget Mil 20
Back
Top Bottom