inahitajika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kali linux

    JamiiForums Tanzania Apple Mac mini m1 inahitajika haraka

    Hello bosses and roses.... Nahitaji Apple Mac mini m1, kwa anaeziuza au anaefahamu zinapopatikana hapa Tanzania naomba anijulishe. Note: inahitajika ikiwa mpya sio USED Ahsante
  2. mafinyofinyo

    JamiiForums Tanzania Gari inahitajika Land Cruiser Gx 105 mwaka 2002 mpaka 2007

    Iwe ya diesel. Manual gear. Engine 1hz. Rangi nyeupe. Iwe katika hali nzuri both Engine na transmission bila kusahau body. Budget Mil 20
  3. J

    JamiiForums Tanzania Laptop aina ya dell inahitajika yenye sifa zifuatazo

    Iwe Core i7 8 Generation Ram 8 Hdd 500 Display 15.6 Graphics 2Gb au zaidi battery 4hrs above, Warranty 6month above 0764125128
  4. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa mnyauko wa majani ya viazi mviringo

    Wadau, naombeni kuuliza ugonjwa wa mnyauko wa majani ya viazi mviringo unasababishwa na nini na tiba gan iinahitajika?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Autoclave used inahitajika

    Iwe mkoa wa arusha au moshi kama ipo mawasiliano kupitia namba 0763506458
  6. Exorcist

    JamiiForums Tanzania Mwenye ‘Brake Booster Assembly’ (ABS Actuator) ya Toyota Brevis naomba tuwasiliane, inahitajika

    Dukani bei yake si rafiki, kama kuna mtu anayo labda nyumbani kwake au kwenye gari lililokatwa screpa naomba tuwasiliane , pengine naweza kuipata kwa bei rafiki zaidi kuliko dukani inakopigwa AC na kulipiwa kodi kila mwezi 😂😂
  7. Mlayjr

    JamiiForums Tanzania Crane ya kukodi inahitajika

    Nahitaji crane ya kukodi kwa shughuli ya saa 3, yenye uwezo ya kumfikisha fundi ghorofa ya 5. Eneo la kazi ni Dar es Salaam mjini kati. 0684940080
  8. covid 19

    JamiiForums Tanzania Inahitajika pc chap

    Tafadhali kwa mwenye pc yaina tajwa hapo chini anicheck. Core i3 RAM 4G Hard drive: 1t Inaweza DELL,HP au Lenovo. nikipata price ya hizo aina zote itakuwa sawa.
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Water Bowser inahitajika

    Nahitaji water bowser iwe imetengenezwa China, Faw, Sacman, Howo etc. Iwe na uwezo wa kubeba lita 20,000 na zaidi. Pia iwe kwenye hali nzuri. Njoo na offer yako. 0767/0717-45 44 55
  10. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia umakini unahitajika kufuatilia utendaji wa Serikali yako na Taasisi zake, ujue wewe ni daktari sasa. Ona hili la HESLB

    Kwanza niseme mimi siyo wa kwanza kuwalalamikia hawa Bodi ya Mkopo Elimu ya Juu (HESLB). Ukiingia ATM uka-command kutoa pesa, ukapewa risti na pesa isitoke. Ukiingia ndani au ukapiga simu pesa yako inarudishwa muda huo huo. Lakini hawa HESLB wanakata wanufaika wa mikopo Elimu ya juu kwa miaka...
  11. Black Legend

    JamiiForums Tanzania Gx 110 INAHITAJIKA.

    Mwenye Gx 110 atupie picha hapa tuoneshe mdau anahitaji, budget haizidi 5ml
  12. The Tactician

    JamiiForums Tanzania Gari ya kukodi inahitajika

    Habari zenu wakuu, Nahitaji kukodi gari zifuatazo, kwa ajili ya mizunguko ya hapa na pale ndani ya jiji la Dar es Salaam. Yoyote mwenye moja kati ya hizi gari au zote kwa pamoja naomba aipost gari hapa tujadili au anicheki kupitia +255627315218 niione gari, kisha tuanze jadili gharama na...
  13. Adimu

    JamiiForums Tanzania Gari ndogo inahitajika

    Habarini wakubwa kwa wadogo, natafuta gari ndogo ata ikiwa namba A iwe ni corolla, carina n.k nitakayoweza kuingia mkataba kwa malipo ya awamu ili iwe naifanyia kazi, kwa mawasiliano zaidi 0688066177 ahsanteni.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Pikipiki Used Tvs /boxer / Toyo / Sanya inahitajika

    Naitaji pikipiki Used mbili tvs / boxer na Toyo / Sanya Bajeti: laki saba Saba Kila Moja Yeyote mwenye nayo naomba tuwasiliane. Tuwasiliane kwanza pm Kisha nitakupatia namba zangu Gharama za usafiri mpaka hapa nilipo ni za kwangu Karibu
  15. Baba Ndubwi

    JamiiForums Tanzania Inahitajika Toyota RunX

    Wakuu kherii! Inahitajika gari tajwa hapo juu. Iwepo dar. Iwe rangi nyeusi. Tukikubaliana bei nakuja na fundi kukagua gari fast tunafanya biashara. Nicheck 0747282028
  16. E

    JamiiForums Tanzania Gari ya kukodi inahitajika

    Inahitajika gari ya kukodi box body kwa AJILI ya kusambaza mizigo kutoka Godown kwenda sokoni. VIGEZO 1. Gari iwe na dereva wake. 2. Dereva atalipwa na mwenye gari. 3. Tani 3. 4. Gari itakodiwa kwa mwendelezo na malipo ni kila baada ya mwezi. 5. Kiwango cha siku ni makubaliano kutegemea na...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya Ualimu (Kisw & History) inahitajika

    Wapendwa Kuna dogo amemaliza Degree ya Ualimu ( Arts- Kiswahili & History) Kama kuna mtu anaweza kumuunganishia kazi; karibu Inbox tuyajenge Mwenyewe Yupo Dar ila anaweza kwenda mikoani kulingana na offer
  18. T

    JamiiForums Tanzania Ramani simple inahitajika

    Nataka upcoming architect anichoree ramani simple ya nyumba ya mkoani huko. Vyumba viwili kimoja master sebule, jiko choo cha master na public. Sina budget kubwa. Njoo dm na proposal yako tusaidiane.
  19. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Nyumba inahitajika barabara ya Goba hadi Mbezi Magufuli

    Habari zenu Najua hapa jf Pana wengi ikiwemo wenye nyumba na wenye taarifa kuhusu nyumba. Inatafutwa nyumba ya Vyumba viwili vya kulala, sebule, jiko na choo. Mitaa iwe ya barabara ya mbezi magufuli kuelekea Goba hadi Goba penyewe. Pesa iliyopo 250000 kwa mwezi. Malipo hata yakiwa ya miezi...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Insta Account Inahitajika

    Habari, Account ya instagram yenye followers kwanzia 10k inahitajika... Ahsante.
Back
Top Bottom