inahitajika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Nahitaji NGO ya kushirikiana nayo miradi ya maswala ya afya

    Habari JF, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna mradi wa afya umebuniwa na kampuni ya kitanzania, ila utekelezaji wake ni lazima upitie shirika au asasi ya kijamii. Hivyo naomba mtu anayemiliki NGO au anafanya kazi kwenye NGO au ni mjumbe wa NGO au una mahusiano na NGO yoyote, inayoweza...
  2. Nico1

    Cable ya kutoka katika IP board kwenda katika scan board pana pamoja na cable ya kutoka scan board kwenda ADF ya IR 2520 machine inahitajika

    Nawasalimu nyote kila mmoja kwa nafasi yake , kama nilivyoeleza hapo juu , kwa yeyote anaweza kupata hizo cable za photocopy machine IR 2520 -cable ya kutoka kwenye IP board kenda katika scan board pana na cable ya kutoka scan board kwenda ADF. Nipo Dar maeneo ya posta -0753390827
  3. Vitalis Msungwite

    Mitambo ya ujenzi wa bara bara ya kukodisha inahitajika

    Madibira AMCOS inahitaji mitambo ya ujenzi wa bara bara. Mitambo hiyo ni excavator, tipa, boza, rola(sindilia) na greda. Mkodishaji awe na uwezo Wa kutoa risit za EFD na awe na leseni ya biashara. Kwa kampuni, taasisi au mtu binafsi anaemiliki mitambo ya kukodisha aandike barua na kuituma...
  4. Raaj

    Quad Bike inahitajika

    Habari ndugu wana jf, Nahitaji Quad Bike bajeti yangu 2M-2.5M iwe na cc 250 na kuendelea pia iwe manual
  5. DocJayGroup

    Team kali inahitajika kwa Kampuni ya Media

    Hio Kampuni ya Media ambayo iko integrated kwa mambo ya tourism, ilibidi niiisimamishe kwa muda kwa sababu vijana waliokuwepo walikuwa waswahili, wavivu, na wasiojituma. Ili kuirudisha tena, nahitaji Vijana Wachapa Kazi sana. Kila mfanyakazi ni lazima ajue English vizuri kwa kunyooka sababu...
  6. B

    Ramani ndogo ya nyumba inahitajika

    Vyumba viwili, kimoja master Dinning, sitting, jiko na public toilet Simu 0712464478
  7. P

    Uchumi wa watu unaokufa. Je, inahitajika kuusisimua kwa kuwaongeza watu kodi ili kuusimamisha tena?

    Kwanza nikiri kabisa kabla, mimi sio mchumi. Kwa sauti nyingi za viongozi wetu, ni uchumi umeshuka na kunahitajika jitiahada ili kuurudisha katika sehemu yake Swali langu ni moja tu, Njia inayoitumia serikali kuweza kurudisha uchumi unaokufa ni sahihi au ndio inaudidimiza zaidi? Mimi...
  8. D

    Hali ni mbaya, kazi yoyote inahitajika

    Ndugu zangu msinichoke bado sijapata ajira. Nilisoma IT lakini ninaweza kufanya kazi yoyote. Kama una duka au biashara naomba uniamini nije nifanye kazi yako kwa ufanisi. Napatikana Dar es salaam. Hata wale wenye vibanda sabasaba kama unahitaji kibarua, nipo.
  9. Meneja Wa Makampuni

    Katiba mpya inahitajika ili tupate maendeleo ya kweli

    Katiba mpya inahitajika ili tupate maendeleo ya kweli.. Katiba katiba Tunataka maendeleo ya sayansi na teknolojia sio maendeleo ya kubahatisha. Katiba inahitajika ili kuweka mambo sawa. Dunia inaongozwa na wasomi na ndio maana ina maendeleo. Leo kuna ndege, meli, umeme, kuna magari...
  10. S

    Inahitajika damu mpya, kupangua ni yayo kwa yayo

    Anayoyafanya Rais Samia ni kupangua na sio kupanga safu mpya, inasemwa ni maji ya futi kwa nyayo, kuna viongozi waljijibebea umaarufu sio kwa uongozi bora bali kwa uongozi uliojaa magube na usio na busara, wala haihitajiki tochi sifa zao zilikuwa zinavuma, maana kufika kuwatia na kuwachapa...
  11. Nibiru

    Pikipiki mpya ya TVS inahitajika

    Salaam wakuu, Pikipiki aina ya TVS mpya inahitajika kwa Dar es Salaam soon as possible. Msaada wenu please.
  12. Nafaka

    Hivi Tanzania kufuga farasi inahitajika kuwa na kibali?

    Hivi mtu akitaka kufuga farasi anahitaji kibali au tu unafuga tu kama unavyofuga mbuzi?
  13. J Mbungi

    Gari inahitajika (Forester, Voltz, Xtrial, Vanguard au Alex) offer yangu Million 8

    Natafuta Gari aina zilizo tajwa hapo juu.(Gari inahitajika (Forester, Voltz, Xtrial, Vanguard au Alex) Offer yangu Million 8.) Gari iwe nzuri haijawahi kupata ajali na iwe kwenye hali nzuri). Of course fundi wangu atakagua gari vizuri kabla ya kufikia muafaka. Napendelea rangi hizi (black...
  14. S

    Wafuasi wa Tanu kama mpo -- TANU inahitajika kuliko wakati wowote ule

    naamini wafuasi wa TANU wapo na wanakiunga mkono chama chao,huu ni wakati muafaka kuanzisha au tuseme kukifufua chama chetu kilichopigania na kutupigani Uhuru hadi tukakomboka. Sisi sote tumegomboka vyama vilivyopo sasa vimeitupa historia yetu ya nchi hii na sasa inaonekana wazi Tanzania...
  15. J Mbungi

    Engine Ya Subaru inahitajika

    Natafuta Engine ya Subaru. Aina ya subaru ni; "Subaru cross sport SG5 turbo" Mwenye Yuko na store ya vipuri vya magari tuwasiliane...nimtembelee ofisini kwake. Nipo dar es salaam +255784355775
  16. SlimFit

    Mijusi ndani ya nyumba; Dawa inahitajika

    Wakuu habari ya uzima? Kama mada inavyojieleza, ningependa kujua kutoka kwa yeyote anayefahamu dawa za hawa mijusi wanaozurula ndani ya nyumba naomba anijuze tafadhali.
  17. Scars

    Ntapata wapi motherboard ya HP Compaq 6710b

    Isiwe na kasoro yeyote
  18. benja

    4E Engine inahitajika

    Wakuu habari za Asubuhi, nna tafuta engine 4E yenye distributor, ya kufunga kwenye Starlet. Niko Dar es Salaam
  19. Crook

    Frame inahitajika - Kurasini

    Habari zenu wakuu, Binafsi najihusisha na kutoa ushauri wa kibiashara pamoja na huduma zingine za kiuhasibu na kodi jijini Dar es Salaam pamoja na huduma zinginezo. Katika kutekeleza mpangokazi wangu wa mwaka 2020/2021 nina mpango wa kufungua ofisi maeneo ya kurasini (Along Nelson Mandela au...
  20. CUF Habari

    CUF: Liwale inahitajika Tume huru ya Uchaguzi

    CUF-CHAMA CHA WANANCHI. TAARIFA KWA UMMA. LIWALE INAHITAJIKA TUME HURU YA UCHUNGUZI.
Back
Top Bottom