Hata turuke juu chini na tupige sarakasi za kila aina, zitaundwa tume za kila aina, kamati za amani, maridhiano na blah blah nyingine zote ila mwisho wa siku kama tutaka kuwa na nchi ya kidemokrasia, haki na utawala bora tutarudi tu kwenye tume za;
1. Jaji Warioba
2. Jaji Nyalali
3. Jaji Kisanga