ijumaa

  1. M

    Leo ijumaa tuwaombee dua wairan na wanaharakati wa Tanzania

    Leo ijumaa tuombee dua sana watu wa Iran walinde nchi yao iliovamiwa na maadui. Wanaharakati wa Tanzania pia tuwaombee dua macho yao yafunguke ili wajue maana ya haki za binaadam. Kwanini wanashindwa kulaani raia wa Isreal na marekani wanaonyanyswa kutuma picha za matukio ya vita nchini kwao?
  2. Fbn

    PostGE2025 Ijumaa ya tarehe 5 December misikiti walipunguza sauti kwenye mawaiza wakati sio kawaida kwenu huko

    Kulikuwa kuna mawaiza gani maana eneo nililokuwepo baada swala tunajua kuna mawaiza ila cha kushangaze mawaiza yalipofikia wakapunguza sauti za vifaa. Nikashangaa maana sio kawaida.
  3. Roving Journalist

    Rais Samia kuhutubia na kufungua Bunge la 13, leo Ijumaa Novemba 14, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=qb1BTEzjtbI Pia soma: ~ Rais Samia kumuapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu, leo Novemba 14, 2025 ~ Uchaguzi wa Urais Tanzania 2025: Samia Suluhu ashinda kwa 98%
  4. W

    Serikali yatangaza Ijumaa Oktoba 17, 2025 kuwa Sikukuu ya kitaifa ya kumuenzi Odinga

    Serikali ya Kenya imetangaza Ijumaa, Oktoba 17, 2025 kuwa sikukuu ya umma kwa heshima ya aliyekuwa Waziri Mkuu, Raila Odinga, aliyefariki dunia Oktoba 15, 2025 akipatiwa matibabu nchini India. Katika tangazo maalumu la gazeti la Serikali Na. 15007 iliyochapishwa mapema Oktoba 16, 2025, Katibu wa...
  5. Inside10

    Je, Unabii Huu Wa Prophet Rollinga Kwamba Siku Ya Ijumaa 29/8/2025, Kuna Kitu Kitatokea Utatimia?

    Kumbuka ni ijumaa ya wiki hii na mwezi huu... Je, Unabii Utatimia na kitu Gani kitatokea tusubiri... https://www.instagram.com/reel/DN0iage2O2y/?igsh=MWV2YzFhcGg1NTl4dQ==
  6. USSR

    Imani kali :malesia kuanza kufangua jela watu wasio swali ijumaa ,hii imekaaje wakuu?

    Bunge la Malaysia limepitisha hukumua ya kupigwa viboko na kwenda jela angalau maiezi 6 au vyote kwa pamoja kwa mtu ambaye hatakwenda kuswali swala ya ijumaa . Hii ni baada ya kuongezeka kwa watu wasio swali nchini humu katika taifa hilo lenye waislamu wengi zaidi duniani USSR
  7. S

    Hadi Sasa Nina Watu 100 Wamehamasika Twende Tukaiondoe Morocco Ijumaa, Wewe Unangojea Nini

    Nimetengeneza kundi la wasap nimewaunganisha watu 100 na kuwaomba sana ijumaa mtoko ni Lupaso tu not otherwise. Chonde chonde mtanzania Morroco atakufa kWa umoja na mshikamano Waganda wako juu sana kwenye Hamasa, wakenya wako juu vibaya mno ktk Hamasa Ni kushangilia mwanzo mwisho ijumaa ili...
  8. U

    Balozi Polepole umeheshimu dira ya taifa ukaahirisha mkutano ila umekosa kuheshimu Ijumaa siku ya Ibada kwa Waislamu? Ungechagua siku nyingine

    Omba radhi Kiongozi kwani umekosea ulipaswa kuheshimu siku ya leo ya Ibada kwa Waislamu na ungelifanya press yako siku nyingine Umuhimu wa siku ya leo ni mkubwa sana kuliko dira ya aifa. "Bora ya siku uliyochomozewa na jua ni siku ya Ijumaa, ndani yake ameumbwa Adamu-Amani imshukie-na...
  9. Yoda

    Ijumaa imekuwa siku muhimu sana kwa Waarabu kwa karne nyingi

    Historia inaonyesha Ijumaa kuadhimishwa kama siku muhimu kidini ni muendelezo wa karne nyingi sana wa utamaduni wa kiarabu ambapo siku hii hapo mwanzo ilikuwa ikitumika kama siku ya soko kubwa kwa makabila mbalimbali ya Waarabu waliokuwa wametawanyika mashariki ya kati. Siku hii ya Ijumaa...
  10. Stuxnet

    Kila Ijumaa eneo la Chagga Street kuna ongezeko kubwa la ombaomba. Je, ni jukumu la nani kushughulikia changamoto hii ya kijamii?

    Wanafika kuazia saa 11 alfajiri kila Ijumaa kumsubiri tajiri wa Oilcom. Naye anawagawia Tsh 2,000/= kila mtu. Mtaa huu ni maarufu kwa vile una migahawa miwili maarufu Chef Pride na KT Shop. Tajiri wa Oilcom anafika mida ya saa 1 kupata breakfast yake Chef Pride Kuna ombaomba wa umri kuanzia...
  11. Dogoli kinyamkela

    Nyota yako leo Juni 27/2025

    NYOTA YAKO LEO IJUMAA JUNI 27/2025: UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI. MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE ★KAA– CANCER 🦀 (Juni 21– Julai 22) Ili kukamilisha mipango yako ni...
  12. The Zanzibar Echo

    Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa: Arsenal, Spurs zamtaka Eze

    Arsenal inapigana vikumbo na wapinzani wao wa Kaskazini mwa London, Tottenham katika mbioz za kumsajili kiungo wa Crystal Palace na England, Eberechi Eze, 26, ambaye anatajwa kuwa na thamani ya pauni milioni 68 (Sun). Washika bunduki 'The Gunners' wanamsaka Eze ambaye ni mbadala wa mshambuliaji...
  13. U

    Iran inapanga maandamano makubwa almaarufu "Ijumaa ya Ghadhabu na Ushindi," baada ya sala ya Ijumaa

    Iran leo inapanga maandamano makubwa almaarufu "Ijumaa ya Ghadhabu na Ushindi," baada ya sala ya Ijumaa. Tukio hilo, linakusudiwa kuonyesha umoja na ukaidi katika kukabiliana na mashambulizi wa Israeli. Iran plans public rallies after Friday prayers amid ongoing Israeli strikes Public...
  14. Dogoli kinyamkela

    Nyota yako leo Ijumaa Juni 20/2025

    NYOTA YAKO LEO IJUMAA JUNI 20/2025: UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILREKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI. MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE. ★MAPACHA– GEMINI ♊ (May 21– Juni 20) Leo jitahidi kutekeleza ahadi...
  15. Dogoli kinyamkela

    Nyota yako leo: Ijumaa, Juni 13/2025

    NYOTA YAKO LEO IJUMAA JUNI 13/2025: UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE. ★MAPACHA– GEMINI ♊ (May 21– Juni 20) Upo kati kwa kati hujaamua uanze na...
  16. mahindi hayaoti mjini

    Mashekhe wote kwa umoja wenu: Ijumaa ijayo khutba iwe ni October TUNATIKI ✅

    Wenzenu wa upande ule kila siku wanaleta mmoja kuipinga serikali na kulazimisha matakwa yao, na kila jumapili wanafanya na kusema kubwa zaidi, Sasa na nyie kupitia taasisi zenu zooote unganeni mlete mshindo mmoja kuanzia Ijumaa ijayo, Kila mmoja atetee upande wake kwa nguvu zote Mkizubaa tu...
  17. third eye chakra

    Sadaka ya ijumaa ilikua hiyo

    Mwenye kupata alipata
  18. N

    PreGE2025 Wakili Kibatala: Tundu Lissu kugomea kula chakula Gerezani mpaka haki ipatikane

    Leo Mei 3, Mawakili wanaomtetea mshtakiwa Tundu Lissu wanazungumza na Watanzania kupitia vyombo vya habari. https://www.youtube.com/live/qwDj_39LjYk?si=p81m5_E7ICnpOth1 Kibatala: Intelijensia inayotumika kuthibiti maandamano ingetumika kuepusha kushambuliwa kwa Padre.Kitima na Mdude...
  19. Jackwillpower

    Ibada ya ijumaa chanzo chake ni Ugomvi wa Muhammad na Wayahudi

    NINI CHIMBUKO LA IBADA YA IJUMAA? Ibada ya siku ya Ijumaa imeelezewa chanzo chake katika kitabu kilichoandikwa na Jumuiya ya Vijana wa Kiislamu wa Ansaar, kwa jina: "Historia ya Mtume Muhammad (S.A.W)" – na Muhammad Abdalla Riday, Ansaar Muslim Youth Organisation UK, Na. 47. Katika sehemu ya...
  20. BLACK MOVEMENT

    Tetesi: Heche atakamatwa na Polisi pindi tu Raisi wa Finland akiondoka nchini hapo ni kwenye ijumaa huko

    Nimepenyezewa habari usiku huu kwamba Polisi wameambia wa cancel kwanza ukamataji wa Heche hadi ugeni upite kwanza. Ukamataji wa leo ungeleta picha mbaya sana kwa Mheshimiwa Mama hivyo ikapendekezwa ifanyike baadae wiki hii na possible ni ijumaa. Uhakika wanataka wamkamye na wamuunganishe na...
Back
Top Bottom