ifahamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    Ifahamu Ngorongoro

    Nimeona mitandaoni Hifadhi adimu ya Ngorongoro tumewapa ndugu zetu waarabu wawekeze! Sitaki kuhoji zaidi maana nitazidi kuumia sana! Lengo la hii mada ni kuitambulisha Hifadhi ya Ngorongoro kwenu iliyovutia wawekezaji toka jangwani Hifadhi ya Ngorongoro nchini Tanzania ni eneo lenye ekolojia...
  2. SirAlfred006

    Zijue aina ya sheria na mchanganuo wake

    Aina za Sheria na Kazi Zake 1. Sheria ya Jinai (Criminal Law) Inahusika na makosa ya uhalifu. Kuwashtaki na kuwatetea wahalifu. Uhalifu wa mtandaoni na makosa ya kifedha. Uchunguzi wa ufisadi na makosa ya ofisini. Maamuzi ya vifungo na kukata rufaa. 2. Sheria ya Madai (Civil Law) Inahusika na...
  3. J

    IFAHAMU BIASHARA YA SPEA ZA PIKIPIKI NA BAJAJI

    Hello best people. Achana na mambo yakuuliza kila siku mtaji wa shilingi ngapi unatosha. 3m+ 5m+ 8m+ 10m+ 15m+> Hapa Unapaa kabisa. Tafuta maarifa yakuwezeshe kufanya biashara. Uzoefu utapata ukishaanza. The earlier, the better! Hizi hapa ni hatua chache za kufanikisha kwa urahisi mchakato huu...
  4. J

    Ifahamu Biashara ya Spea za pikipiki na bajaji

    HABARI WANA JF. Watu wengi wameulizia kuhusu huduma zetu za consultation kuhusu biashara ya spea za pikipiki na bajaji. Huduma hii inalipiwa, ukitaka kuwasiliana namimi kwaajili ya kukupa elimu, kukushauri na au hata kuku mentor sio bure. Ni garama. Kwa wale wanaotaka huduma za bure karibuni...
  5. J

    Ifahamu biashara ya spea za pikipiki na bajaji ( Maswali na Majibu)

    Habari, Leo tujifunze kitu hapa. Sehemu ya majibizano ya kujenga uelewa wa biashara ya spea za pikipiki kwa aliyetutafuta kwaajili ya consultation!
  6. Mcmillan de Maghayo

    Ifahamu nchi yenye visiwa vingi

    Mzuka Wana Jamvi! Naam siyo nyingine bali Sweden. The land of the Abba, the land of Volvo and the land of Scania ( King of the road). Sweden ni taifa linaloongoza duniani kuwa na visiwa vingi. Idadi ya visiwa Sweden ni 221,800. Hii idadi ni nyingi. Visiwa vyake vingi havijawahi kukaliwa ama...
  7. J

    Ifahamu biashara ya spea za pikipiki na Bajaji sehemu ya nane Inaendelea

    KUNA FAIDA GANI YA KUWEKEZA MTAJI MKUBWA KWENYE BIASHARA YA SPEA ZA PIKIPIKI? ⚙Watu wengi wamekua wakijiuliza swali hili, kwanini nisiwekeza kiasi kidogo kama inawezekana kijiendeshe hakafu kiasi kingine nifanye mambo mengine? 👉Si vibaya kuwekeza/kufanya biashara ya spea kwa mtaji mdogo...
  8. J

    Ifahamu biashara ya spea za pikipiki (sehemu ya 6)

    Je, naweza kuanza biashara ya spea za pikipiki na bajaji kwa kufunga mzigo kutoka China moja kwa moja? Jibu ni ndio. Unaweza kuanza biashara hii kwa kwenda China kufunga mzigo Kisha kuja kuuza. Hata hivyo ni muhimu sana kabla ya kufunga safari kwenda China kujiridhisha na kufahamu mambo kadhaa...
  9. Mshana Jr

    Ifahamu kamandi ya jeshi la Anga

    Kamandi ya Jeshi la Anga ni moja ya Kamandi muhimu zinazounda Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania kiutendaji, kivita na kiutawala. Kamandi ya Jeshi la Anga inayo majukumu ya ziada ya msingi katika kutimiza wajibu wake wa ulinzi wa Anga la Tanzania. Kamandi hiyo inao uzoefu wa kusafirisha...
  10. Richard

    Ifahamu Wizara ya Usalama wa taifa ya China na majukumu yake kwa nchi hiyo kubwa Duniani

    https://www.youtube.com/watch?v=j1UH7Yn6gSg Hii ni makala ya pili inozungumzia nchi ambazo zina wizara kamili inoshughulikia Usalama wa taifa. Wiki ilopita nilizungumzia umuhimu wa raisi ajae kufikiria kuanzisha wizara ya Usalama wa taifa ambayo itashughulikia usalama wa nchi na mipaka yake na...
  11. ELI COHEN

    Ifahamu syndicate ya ANTIFA inayosadikika kumuua Charlie Kirk

    Inasemekana silaha iliotumika imekutwa na chata ya Antifa na trasgender (wanaobadirisha viungo vya ngono na kulazimisha atambulike jinsia mpya) Antifa ni kundi la mrengo wa kushoto ambalo itikadi yake ni kupinga misimamo ya mrengo wa kulia. Ni mtandao unaotumia machafuko kufikisha hoja zao...
  12. Brayan_Jk

    Ifahamu Wing Web Vaccination kuwapa Chanjo ya Ndui)

    Fowl Pox ni ugonjwa wa kuku unaosababishwa na virusi, unaosambazwa na mbu au kwa kugusana. Dalili zake: Vidonda kwenye uso, mdomo au midomo ya macho 👀 Kuku kuwa dhaifu na kushuka uzalishaji wa mayai 🥚 Vifo hasa kwa vifaranga wadogo Wing Web ndiyo njia bora ya kuchanja kuku dhidi ya Fowl...
  13. J

    Ifahamu biashara ya Spea za Pikipiki na Bajaji (Sehemu ya Tano)

    JINSI YA KUSIMAMIA NA KUENDESHA BIASHARA YA SPEA ZA PIKIPIKI NA BAJAJI. ⚙Watu wengi wanatamani sana kufanya  Biasha hii, laikini hawajui jinsi gani wanaweza kusimamia biashara yao ili iweze Kukua na kuleta manufaa na faida. Suala hili limekuwa changamoto zaidi kwa wale wenye...
  14. J

    Ifahamu biashara ya Spea za Pikipiki na Bajaji (sehemu ya Tatu) inaendelea...

    JINSI YA KUFANYA BIASHARA YA SPEA ZA PIKIPIKI NA BAJAJI REJAREJA REJAREJA ⚙Mambo Muhimu zaidi ya Kuzingatia kabla ya kuanzisha Biashara ya spea za pikipiki na bajaji rejareja🎯 Ukitaka kuanzisha biashara ya spea za pikipiki na bajaji ni rahisi sana, ila inahitaji msingi thabiti na msimamo...
  15. J

    Ifahamu serikali ya ithibati

    1. Haigharamii elimu ya waandishi wengi wa habari, lakini inawatoza Tsh.50000 kila mmoja. 2. Haijali wana ajira au hawana,lakini inawatoza Tsh. 50000 kila mmoja. 3. Haijui wanalipwa kiasi gani, wana mikataba au wanayo, inawatoza Tsh. 50000 kila mmoja. 4. Una tuma maombi online na kulipa ada...
  16. MoroGent

    Ifahamu: Mzumbe Special School and The So called THE TOP FIFTEEN 15)

    Salam Wanjukwaa, UTANGULIZI Nchini Tanzania katika maendeleo ya kitaalum ni pamoja na kupitia shule za secondary. Kuna kafeelings flani kazuri sana unapomaliza primary na kujiunga na secondary hasa shule hizi zinazoitwa shule za vipaji maalum za boys ikiwemo Mzumbe, Tabora, kibaha, Ilboro na...
  17. black-tz

    Ifahamu Esim, laini ya kidigitali!

    IFAHAMU eSIM | LAINI YA KIDIGITALI! Wengi huenda Mmesikia Mahali au wengine mmeona Neno “eSIM” na hamjaelewa nini Maana yake, Karibuni tuifahamu vyema Huduma ya eSIM na maana yake. 🔎 eSIM NI NINI? ☑️ eSIM ni Laini ya Kidigitali ambayo hupachikwa katika Simu kutoka Kiwandani. Ni laini ambayo...
  18. ELI COHEN

    Ifahamu organization ya "Muslim Brotherhood" inayopigwa marufuku maeneo mbalimbali duniani ikiwemo baadhi ya nchi za Kiarabu

    Muslim Brotherhood, ilianzishwa mwaka 1928 nchini Misri, ni shirika la kimataifa la Kiislamu la Sunni linalolenga kutekeleza sharia na kuanzisha caliphate ya kimataifa. Itikadi zao zimezijenga vikundi vya kigaidi vingi duniania ikiwemo hamas na al-qaeda. Mataifa kama Saudi Arabia, Umoja wa...
  19. Dr kijaji

    Ifahamu Barchelor of science in audiology and speech language pathology

    Shahada hii inalenga kutoa mafunzo kwa wataalamu wa kutambua, kutathmini, na kutibu matatizo ya usikivu, usemaji, lugha, na kumeza kwa watu wa rika zote. Wataalamu hawa husaidia watu wenye matatizo ya kusikia, kuzungumza, na kuelewa lugha. Vyuo Vinavyotoa Programu Hii: Kwa sasa, chuo kinachotoa...
  20. Smile Digital Stationery

    IFAHAMU KARAMA YAKO NA UITUMIE KUISHI VYEMA DUNIANI

    Hello Wana JF; Leo nakuja na Mada hii inayohusu KARAMA au wengine huita KIPAWA/KIPAJI. * Ifahamike kuwa kila binadamu aliyepo hapa duniani, basi kaletwa kwenye uwanja wa mapambano, mapambano ambayo yamegawanyika katika makundi, kuna mapambano ya kiimani, kiuchumi, n.k. Ila amini nakwambia hayo...
Back
Top Bottom