Kwa mujibu wa Ripoti ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inayoangazia Takwimu za Mawasiliano Nchini, Mtandao wa Vodacom umeongoza kwa idadi ya Wateja ambapo hadi mwishoni mwa Septemba 2023 wamefikia 20,555,763
Ripoti imeonesha Mitandao yote kwa ujumla ilikuwa na ongezeko la 4.7% kutoka...