ibada

Ibadah (Arabic: عبادة‎, ‘ibādah, also spelled ibada) is an Arabic word meaning service or servitude. In Islam, ibadah is usually translated as "worship", and ibadat—the plural form of ibadah—refers to Islamic jurisprudence (fiqh) of Muslim religious rituals.

View More On Wikipedia.org
  1. KING MIDAS

    Tujikumbushe tulikotoka, Wasabato Masalia na ndoto ya kwenda kumhubiri Papa Aache 666 na afuate ibada za Jumamosi

    "Wasabato Masalia"....Hawa siku hiyo waliamka Asubuhi na Mission Moja hivi"Kuihubiri Injili Ulimwenguni Pote", wakaenda kupiga kambi uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere Dar-es-salaam, wakisubiri safari yao ya kimiujiza kwenda kuhubiri neno la Bwana kule Iraq na penginepo Duniani hii...
  2. Hismastersvoice

    CCM iache kutumia siasa kwenye nyumba za ibada

    Tumeshuhudia Abduli akiahidi kitita cha mchango wake kukarabati kanisa! Abduli mwanasiasa wa chini ya zulia amejijengea umaarufu wa kugawa vitita vya fedha hadharani huku wengi wetu hatujui biashara znayofanya zaidi ya kujua mtoto wa mama. Viongozi wa CCM ndio huajialika harakaharaka kwenye...
  3. Waufukweni

    GSM na Try Again uso kwa uso kwenye Ibada ya Sikukuu ya Eid Fitr

    Mdhamini na Mfadhili wa Yanga SC Ghalib Said Mohamed leo amekutana na Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC Salim Abdallah Muhene Try Again katika Ibada ya Sikukuu ya Eid Fitr. GSM na Try wamekutana katika Msikiti wa Oysterbay na kusalimiana kwa kukumbatiana licha ya kuwa kuna mvutano...
  4. F

    Saudi arabia wameingiza mapato 8 Billion usd kwenye mwezi wa ramadhani na EID kutoka kwa watalii milioni 122 waliokuwenda kusali ibada za Umra

    hizo hela ni nyingi zaidi ya mara mbili ya hela zilizotumika kujenga bwawa la umeme rufiji, imagine saudia wameingiza mwezi mmoja tu
  5. Kinyungu

    Unyanyasaji Wanawake Kingono: Waislam Watoa Wito Pawepo Utenganisho wa Kijinsia wakati wa Ibada ya Tawaf huko Makkah

    Kutokana na malalamiko ya wanawake kunyanyaswa kingono wakati wa utekelezaji wa ibada ya Tawaf huko mji mtakatifu wa Waislam wa Makkah, Waislam wametoa wito wa eneo hilo kutenganishwa ili pawe na sehemu ya Waislam wanawake peke yao na waislam wanaume peke yao ili kuzuia unyanyasaji kingono...
  6. Dr Matola PhD

    Nimefikia Conclusion Kanisa Katoliki ni waungwana, na wavumilivu, dini zote zina ibada za sanamu ukiwemo Uislamu

    Hili kanisa katoliki lipewe mauwa yake, unajuwa utandawazi unakuja na mengi sana na kuyafahamu hata yaliyojificha. Kwa muda mrefu Kanisa katoliki limekuwa likishambuliwa na madhehebu mengine ya kikristo hasa Wasabato na waislamu kwamba wanaabudu sanamu, kumbe hizi rituals zinafanywa na dini...
  7. Fbn

    Wanapokosa wanaloitaji endapo kushindwa,kukosa uwezo wa ufikiri na kufirisika ujazana nyumba za ibada au kwa waganga

    Na mifano mingi nimeona mtu alikuwa vizuri baada ya mambo kwenda kinyuma ndio wanaongoza kuwa daftari la kuwai namba nyumba za ibada na wengine kuwa wapenzi wazuri wa ulonzi kila jambo. Nenda misikitini au makanisani wamejazana wengi wanashida tuje huku kwenye giza kama wote. Kuna watu na...
  8. The Watchman

    Askofu wa Kanisa la Anglikana Kenya apiga marufuku Wanasiasa kutoa hotuba madhabahuni wakati wa ibada

    Kanisa la Anglikana la Kenya (ACK) limetangaza kuwa kuanzia sasa, hakuna mwanasiasa atakayeruhusiwa kupanda madhabahuni kuhutubia waumini wakati wa ibada za Jumapili au matukio yanayohusiana na ACK kote nchini. Tangazo hilo linaelekeza kuwa mwanasiasa yeyote atakayehudhuria ibada ya Jumapili ya...
  9. kiss ov love

    Hii ndiyo ibada iliyo njema yenye kumpendeza Mungu.

    Habari za wakati huu wana jukwaa, poleni kwa mfungo wa Ramadhani na Kwaresma. Naomba kushare nanyi hili swala siku kadhaa zilizopita kuna mahali nilienda kuna mzee nilimsikia anazungumza kuhusu hili. Alikuwa anasema yeye ameshasafiri nchi mbalimbali hususani Japan, alisema wajapan wao hawana...
  10. matunduizi

    Kwanini Waislam matajiri wanapenda ibada kuliko wakristo waliofanikiwa kifedha?

    Siku tqjiri wa kanisa alipoudhuria ibada za katikati ya wiki, akaudhuria na mkesha wa maombi makali japo masaa matatu mchungaji alipagawa. Akawa anamtambulisha mara kumikumi. Hii inaonekana matajiri wa kikristo hawategemewi kuwa siriasi na ibada kihivyo. Ndio maana hata mimi nikashangaa kuona...
  11. Mstahiki Mea

    Chatgpt kuhusu ibada ya sanamu

    Ndiyo, ibada ya sanamu imekatazwa katika Biblia. Hii ni kwa sababu Mungu anataka kuwaabudiwe peke yake, bila ya kuwepo kwa kitu chochote kingine kinachochukuliwa kama kitu cha kuabudiwa. Kwa mfano, katika Amri kumi (Kutoka 20:4-5), Mungu alisema: "Usijifanyie sanamu yoyote wala picha ya kitu...
  12. Vien

    Tabia ya waumini wengi wa KKKT kuondoka kabla ya ibada kuisha, Ni ishara kanisa linahitaji mabadiliko makubwa ya uendeshaji wa ibada

    Habari wakuu, Mimi dhehebu langu ni Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Kanisa letu lina utaratibu wa kufuata kalenda ya mwaka, ni jambo zuri, Lakini kuna haja ya kufanya mabadiliko kwenye baadhi ya vitu ili kuendana na dunia ya leo Usomaji wa matangazo ya week, Kwa dunia ya...
  13. J

    Zijue Faida za Kuwahi Kwenye Ibada

    Zijue Faida za Kuwahi Kwenye Ibada Kutofika Kwenye Ibada kwa Wakati Imekuwa ni desturi au tabia ya watu wengi kutokufika sehemu fulani kwa wakati. Hili tunaliona katika maisha yetu ya kila siku. Wapo ambao kila siku ni kuchelewa sehemu zao za kazi. Wengine kuchelewa nyumba za ibada na sehemu...
  14. Yoda

    Baye Fall; Waislamu wanaoamini katika kufanya kazi zaidi kama ibada muhimu

    Huko Sengal na Gambia kuna tawi la imani ya Kiisalmu lenye umaarafu na ushawaishi mkubwa maeneo hayo linaloitwa "Baye Fall" ambalo lilianza zaidi ya Karne moja iliyopita. Hawa Waislamu wa Baye Fall walichipukia kutoka kwa sheikh mmoja aitwaye Ibrahima Fall wa mrengo wa Kisufi miaka ya 1880's...
  15. SankaraBoukaka

    Kwanini Watu Bado Wanaendelea Kuomba Kwa Nafsi za Wafu?

    Utangulizi: Katika maandiko matakatifu, tunapata maagizo ya wazi kuhusu hali ya wafu na jinsi tunavyopaswa kushughulika nao. Aya za Mhubiri 9:5-6 na Kumbukumbu la Torati 18:10-12 zinatupa mwongozo wa moja kwa moja ambao unaweza kutumika katika mjadala huu. Hata hivyo, bado kuna desturi miongoni...
  16. SSH2025_2030

    Tetesi: Shetani yupo kazini: Nyumba za ibada Imarisheni ulinzi/msirushe LIVE (YouTube) wakati wa kutoa sadaka

    1. Maendeleo ya Teknolojia yamefanya ibada kurushwa LIVE mitandao ya kijamii (YouTube , Instagram) ila majambazi nayo yapo rada kutafuta fursa. 2. Tafadhali nyumba za ibada msirushe live wakati wa utoaji sadaka. Na pia ulinzi uimarishwe. NB: Msiposikiliza huu ushauri soon mtalia. Mtu...
  17. enzo1988

    Je, kwa hii kauli ya Papa, ameruhusu au amekataza ushoga??

    Hivi karibuni Vatikani imeidhinisha wanaume mashoga kuwa mapadre iwapo wanaume hao watakuwa hashiriki tendo la ndoa. Ingawa kanisa hilo halikuwahi kukataza wapenzi wa jinsia moja kuwa mapadri, mwaka 2016 Vaticn ilikataza wanaume wenye tabia kama hizo kuwa viongozi au mapadri...
  18. Dogoli kinyamkela

    Ngono ni tendo la kubadilishana nishati na DNA

    KUTOKA KATIKA KITABU CHA MAFUNDISHO YA SIRI. ngono ni ibada takatifu ngono ni tendo la kubadilishana nishati na DNA. dna inashikilia habari zote kuhusu mtu huyo ikiwa ni pamoja na kiwewe, matatizo ya akili na kila kitukuhusu mtu huyo. kila mtu ambaye umewahi kumbusu au kufanya naye ngono...
  19. Kusini pride

    Watu hawana aibu wala haya kabisa yaani kwenye nyumba za ibada watu wanaombana namba na kutongozana? Nimechukia aisee

    Daa watu wengine sijui wameumbwa vp jamani leo hii kiukweli nimejikuta nimechukia sana aisee tupo kwenye ibada wakati mchungaji anatoa mahubiri kuna watu huku nahisi hawa ni gen z back bencha wanaanza kuombaba namba na kuanza kutongoza eti usiku mida ya saa mbili tukutane element daaa nimechukia...
  20. R

    Ikiwa unatumia muda mrefu kwenye kioo kujipamba kuliko maandalizi ya kiroho siku ya ibada jua hakuna ibada bapo!

    Salaam,Shalom!! Imeandikwa ( mithali 16:1), maandalio ya moyo ni ya mwanadamu, Bali.... Pana mtumishi mmoja pia aliwahi kuimba kuwa, Ibada huanzia nyumbani. Sasa TOBA, msamaha, utakatifu wa mwili NAFSI na Roho, ni vitu vinavyotakiwa kuanzia nyumbani. Kuoga, kusafisha mwili ni muhimu ila muda...
Back
Top Bottom