ibada

Ibadah (Arabic: عبادة‎, ‘ibādah, also spelled ibada) is an Arabic word meaning service or servitude. In Islam, ibadah is usually translated as "worship", and ibadat—the plural form of ibadah—refers to Islamic jurisprudence (fiqh) of Muslim religious rituals.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini tuwaelimishe viongozi wanasiasa kutosogelea Madhahabu wakati wa Ibada

    Viongozi wa dini hasa dini za Kikristo mnaombwa kuwakumbusha viongozi wa kisiasa kuheshimu Mimbari wakati wa ibada. Mimbari ni sehemu ambayo Walawi wanaruhusiwa kufanya Ibada na matamko yao kama walivyoamrishwa na Mwenyezi Mungu. Waislamu wenyewe hili lipo wazi Masheikh ndio huruhusiwa...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rastafarians wamfanyia ibada Hayati Dkt. John Magufuli

    Waumini wa Rastafarian wamemfanyia ibada Rais Magufuli aliyefariki Machi 17, 20201 kwa matatizo ya moyo katika Hospitali ya Mzena. Waumini hao wamesema wanamchukulia Magufuli kama Nabii wao kwa kuwa hata namna yake ya kiutawala ni namna ya kiafrika ya kutawala ya kutanguliza utu na maslahi ya...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Wanafamilia 5 waliokufa uwanja wa Uhuru kuzikwa leo. Mchungaji Mastah aongoza ibada

    Wanafamilia 5 waliokufa wakati wa kumuaga hayati Magufuli uwanja wa uhuru wanazikwa leo nyumbani kwao Kimara. Ibada ya kuwaombea marehemu inafanyika katika Kanisa la KKKT Kimara na inaongozwa na mchungaji kiongozi wa Kanisa hilo. Mkuu wa wilaya ya Ubungo na mbunge wa Kibamba wamehudhuria...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Maalim Seif nilisikia mambo 3 muhimu Ibada, Madeni na Msamaha, Wakristo wanajikita kwenye Wasifu na Mashada

    Nilifuatilia kwa karibu shughuli za mazishi ya maalim Seif kuanzia msikitini pale Upanga hadi mazishi kule Mtambwe Pemba kupitia luninga ya Channel ten. Kitu kikubwa nilichojifunza waislamu kwenye mazishi wanamjali zaidi marehemu kuliko wao wanaobaki. Kwa mfano pale msikitini Upanga swala...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mambosasa: Ni marufuku kufanya maandamano au Jogging siku za Ibada Jumapili, Jumamosi na Ijumaa!

    Kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam mh Mambosasa amesema kuanzia sasa ni marufuku watu kufanya maandamano na mbio za polepole ( jogging) siku za ibada yaani Jumapili, Jumamosi na Ijumaa na kwamba jeshi la polisi halitatoa vibali katika siku hizo. Mambosasa amesema kuandamana siku...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli alipokuwa Waziri, aliwahi kukusanya sadaka Kanisani kama alivyofanya leo katika Ibada ya Christmas?

    Kuna clip inatembea mitandaoni(nimeiona twitter) ikimuonyesha Magufuli akikkusanya sadaka kanisani katika ibada ya Christmas ya siku ya leo. Ni jambo jema kabisa, lakini swali ni je,alipokuwa Waziri au wakati akiwa mwalimu, aliwahi fanya hiki alichokifanya leo hii kanisani? Ni matarajio yangu...
  7. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kama nyumba ya ibada imenikuta ninapoishi na ibada zao zinasababisha kelele kubwa, ninaweza kuiomba Mahakama kuwaondoa?

    Nadhani kichwa changu kinajieleza. Mfano msikiti au kanisa wamenikuta mahali ninapoishi na ibada zao mimi kwangu zinanikosesha amani, je naweza kuiomba Mahakama iwaondoe wanipishe? Au ninunue eneo lao?
  8. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Joseph Mbilinyi (Sugu): CHADEMA ikichaguliwa kuongoza sadaka zitaongezeka kwenye nyumba za ibada

    Mgombea Ubunge Jimbo la Mbeya Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joseph Mbilinyi maarufu Sugu ameomba viongozi wa dini wawaombe waumini wawachague wagombea kutoka chama hicho ili wananchi waweze kutoa sadaka kwenye nyumba za ibada. Sugu aliyasema hayo kwenye mkutano wa...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ashiriki ibada ya Jumapili kwenye kanisa la KKKT - Azania Front

    Siku ya leo ambayo ni Jumapili ya ibada Mh Tundu Lissu kama walivyo waamini wengine wa dini ya Kikristo amemtukuza Mungu kwa kushiriki ibada takatifu kwenye kanisa la KKKT , usharika wa Azania Front - Jijini Dar es salaam
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nyumba za ibada zapigwa marufuku kufanyia kampeni za wagombea

    Kamati ya amani nchini inayoongozwa na Mwenyekiti wake na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa, imepiga marufuku makanisa na misikiti, kutumika kumfanyia kampeni mgombea yoyote wa chama cha siasa kwa kuwa kufanya hivyo ni kuwanyima haki waumini wake. Wametoa agizo hilo leo Septemba...
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Dustan Maboya, umepatwa na nini hadi uanzishe ibada za usiku wa manane? Polisi chunguzeni huduma hii

    Miongoni mwa wahubiri NGULI na mahiri kabisa kupata kukaa miguuni mwa Mwinjilisti wa kweli wa Mungu Mch. Moses Kulola, Basi ni Dustan Maboya. Maboya mwenye sauti nzito na swaggz za kufa mtu, miaka ile ya mwishoni ya 80 alikuwa akitisha kwa namna alivyokuwa akizivuta roho nyingi kwa Yesu. Leo...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu aifuta CCM Mtwara, Ajenda ya korosho yawa kaa la moto kwa CCM mkoani humo

    Hii ndio taarifa inayozunguka kwa sasa kila mahali, kwamba leo yule Rais mtarajiwa wa awamu ya 6 ambaye ameteuliwa na Mungu mwenyewe baada ya kuzuia kifo chake atakuwa Mtwara katika kinachoitwa Uzinduzi wa Kampeni za uchaguzi 2020 kanda ya kusini. Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba Shughuli...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanasiasa wa Tanzania kuanzia Ubunge wanaingia nyumba za ibada na walinzi? Nchi haina amani au kwao Mungu si kinga?

    Wagombea Ubunge wengi safari hii walijiwekea walinzi bunafsi. Baadhi ya Walinzi Hawa uwakuti kila sehemu ila uonekana pale mgombea anapokwenda maeneo walipo wanahabari. Mzee baba akiwa kwenye nyumba ya ibada asilimia kubwa ya waumini uwa ni Walinzi, Jana nimemwona Gwajima na Abbass wakiwa...
  14. Mlenge

    JamiiForums Tanzania Ufumbuzi wa kelele nyumba za ibada

    Baadhi ya nyumba za ibada huhusishwa na kero ya kelele kwa majirani. Huu hapa ni ufumbuzi: 1. Kila jengo la ibada lenye vipaza sauti vifunguliwe kwa manufaa ya walio ndani ya majengo tu. 2. Majengo ya ibada wanaweza kusababisha kelele wapendavyo, lakini watumie udhibiti wa kelele zisifike nje...
Back
Top Bottom