Watanzania, na hasa Wataganyika, wanapitia kipindi kigumu sana, kipindi cha huzuni na mateso, kuliko wakati wowote wa uhai wa Taifa lao.
1. Mtanzania mwenzao anayeaminika sana kwa ukweli, utetezi wa haki, na uzalendo usio na shaka kwa Taifa lake, amewekwa gerezani kwa uonevu mkubwa, na kisha...