Order book ya CRDB ni huzuni, matajiri wamegundua nn?

Order book ya CRDB ni huzuni, matajiri wamegundua nn?

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
39,951
Reaction score
40,298
1748527360768.png
1748527397403.png


kwa kwel kuna kitu ssio bure hawa wote wanaotaka kuuza shares zao za CRDB zenye thamani ya mabilioni wana siri gan ambayo haijulikan
 
mkuu hapo ivi kwenye kuisoma hii order book inakuaje ? je izo sell qty 380,000 ni sawa na hisa 380k na kwa price ya 800tzs ??
 
Kama ni mwekezaji wa CRDB wa mda mrefu hii ni kawaida sana. Usiogope hamna taarifa mbaya
 
Wanaouza walinunua kwa ajili ya kupata gawio,washapata wanatoa mtaji sokoni wanavizia kampuni nyingine
 
Back
Top Bottom