huyu

Huyu Township (simplified Chinese: 户育乡; traditional Chinese: 戶育鄉; pinyin: Hùyù Xiāng; Jingpo: Hu yup or Hi yup) is a township in Ruili, Yunnan, China. As of the 2016 statistics it had a population of 8,521 and an area of 204 square kilometres (79 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. Ustadh: Makaburini maiti wanatembeleana

    Ni rahisi sana kucheza na akili ya mwafrika.
  2. Mwingine tayari au huyu wa zamani

    Nimeona kwa tulia ila kifo
  3. Je huyu ni mmoja ya wasiojulikana?

    Askari huyu anapatikana mkoani Geita maeneo ya Katoro. Askari huyu ana rasta, kimuonekano tu anatumia vitu vikali. Juzi wamemnyakua huyo mwenyekiti wa wachimbajji wadogo wadogo hapo Geita. Huyu na wenzake wakija kukuchukua usiku wanakupoteza bila shida yoyote kwa muonekano tu na roho yake...
  4. M

    Jose mla Vichwa - Kuna kipi huyu jamaa hawezi kula kama kafikia huku ?

  5. Namlisha mawazo Mwigulu; "Huyu John Heche anajiamini nini huyu"

    https://www.youtube.com/shorts/6aDJnh2uHPo Sauti ya Mamlaka John Heche ikipasuka
  6. Kwa mujibu wa huyu mtaalamu chapati nzuri inatakiwa ipikwe kwa masaa 7.

    Huyu mtaalamu kajibu swali la wengi kwa hii video aliyopost. Wale mnaopenda chapati lazima mjue chapati yenye ubora huchukua hadi masaa 7 kwenye mapishi yake. Tazama video. https://youtube.com/shorts/sKLhw0qNrRg?si=DyW9usbmgs9eFabm
  7. K

    Mwenye anwani ya huyu jaji

    Kuna ndugu zake wanamtafuta kama unajua anapoishi tuma pin au anwani yake
  8. Kuna mwanamke alini provoke. nikakimbilia kwa mtaalamu huyu

    Albert Einstein Albert Einstein: What a wise man never says to a woman Few names evoke as much intelligence and depth as Albert Einstein’s. But beyond his formulas and theories, the German physicist left a legacy of reflections on life, love, human behavior and the power of silence. One of...
  9. Huyu ni George aliyepigwa risasi Gongo la Mboto

    Kijana akieleza kwa machungu kisa kilichumpata hadi kukatwa mguu wake alipigwa risasi akiwa maeneo ya gongo la mboto kisha kapelekwa hospital na kukatwa mguu alikuwa na pikipiki polisi waliondoka nayo hadi leo hajui pikipiki yake ilipo. Wamemyia ukilema kijana wa watu hawezi tena kufanya kazi...
  10. Kama unadhani siku yako Mbaya, huyu ni zaidi

    Unaweza ukapiga yowe.
  11. Ni nani huyu Grace Matage?

    Vyombi vya habari na mitandao ya kijamii inamfahamu kama mkurugenzi wa RHG company, kampuni inayohusika na Clearing and fowarding na ni mawakala wa forodha. Hili jina leo nimekumbuka ile kesi ya askari waliohusika na unyang'anyi wa milioni 90 za huyu mama grace matage. Kesi ya mwaka 2023...
  12. Yuko wapi huyu tajiri wa mchongo?

    Aliwaingiza vijana wengi kwenye mkenge wa mafanikio kupitia matarajio hewa Alitukana kukejeli na kudhihaki watu wasiofanikiwa na wanaojitafuta Huyu tuliwahi kusema ni mojawapo ya zile project kuelekea uchaguzi mkuu 2025 Uchaguzi wa kiini macho ulipopita naona umepita naye! Zile fujo zake...
  13. Yuko wapi huyu tajiri wa mchongo?

    Aliwaingiza vijana wengi kwenye mkenge wa mafanikio kupitia matarajio hewa Alitukana kukejeli na kudhihaki watu wasiofanikiwa na wanaojitafuta Huyu tuliwahi kusema ni mojawapo ya zile project kuelekea uchaguzi mkuu 2025 Uchaguzi wa kiini macho ulipopita naona umepita naye! Zile fujo zake...
  14. Huyu binti maisha yake hayatakuwa sawa tena

    Katika siku za karibuni tumeshuhudia tukio la kushangaza ambapo kikundi cha watu waliodai kuwa ni Wakatoliki walijitokeza hadharani kupinga matamko ya viongozi wa Kanisa Katoliki, akiwemo Askofu Mkuu Ruwaichi na Padre Kitima, waliotoa kauli nzito kupinga mauaji ya tarehe 29 na hali ya...
  15. Huyu Sheikh Vipi? Mpaka sasa nmeshindwa mwelewa kabisa

    Hivi anajielewa kweli?
  16. Msisitizo wa huyu dada si wa kupuuzwa

    Ni yule dada maarufu aishiye marekani. Kutokana na tweet zake za hivi karibuni zinanifikirisha na sio za kupuuzia. Mara nyingi hutweet akiongea maneno meengi, ila nowadays amekua akiongea herufi chache tena kwa maandishi makubwa. Sitaki kuyasema hapa. Aliyasema wiki iliyopita nikapuuzia, ila...
  17. Huyu Naibu Waziri TAMISEMI awe Waziri kamili, kama ilivyofanyika kwa Makonda

    Ni mchapakazi. Mambo yake yako Wazi. VIDEO Kwako samuya..
  18. Ushauri kuhusu huyu mdogo wangu mkopo wa milion 100

    Hello wadau, poleni sana na majukumu ya kulijenga taifa. Ipo hivi mimi nina mdogo wangu mwaka jana alipata mchongo kwenye taasisi moja hivi na wanamlipa vizuri sana like 4m kwa mwezi na tena bado ni mdogo sana ni miaka 26 tu. Juzi kaja home nikawa namuulizia habari za kazi akawa anipa stories...
  19. Huyu mama alikua anamaanisha nini?

    Nanukuu maneno yake niliyosikia nikiwa dirishani chumban kwangu, yeye alikua anapita barabaran anapita halafu alikua anaongea kwa nguvu sana! "YANI NA KWAMBIA KWA WEEK MARA MOJA DAKIKA 5 TUU, TENA HIYO MARA MOJA YENYEWE KWA MBINDE SANAAA YANIIII"P
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…