ankol
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 2,717
- 5,276
Ni yule dada maarufu aishiye marekani.
Kutokana na tweet zake za hivi karibuni zinanifikirisha na sio za kupuuzia.
Mara nyingi hutweet akiongea maneno meengi, ila nowadays amekua akiongea herufi chache tena kwa maandishi makubwa. Sitaki kuyasema hapa.
Aliyasema wiki iliyopita nikapuuzia, ila ameyarudia tena kwa msisitizo wa hali ya juu ndio imenifikirisha. Huenda kweli Kuna jambo mkubwa linakuja.
Ikumbukwe siku za usoni alikua akimuandikia potas mambo mbalimbali yanayohusu Malawi.
Na Imani huenda akawa anapokea reply kutoka kwake ndio mana anakuja kwa kujiamini.
Tukae kwa kutulia tuone kipi kitakuja kutokea.