huyu

Huyu Township (simplified Chinese: 户育乡; traditional Chinese: 戶育鄉; pinyin: Hùyù Xiāng; Jingpo: Hu yup or Hi yup) is a township in Ruili, Yunnan, China. As of the 2016 statistics it had a population of 8,521 and an area of 204 square kilometres (79 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Nchimbi: Tumuombe Mwenyezi Mungu Afunge Mageti ya Ikulu Dhidi ya Watu Wabaya, Wachonganishi

    Msikilize! Pascal Mayalla Naombeni muendelee kuombea taifa letu lakini pia muendelee kumuombea Rais wetu maana kuna watu hawajui umuhimu wa rais, rais akitikiswa nchi inatikisika, kwahiyo tumuombee afya njema na kupata macho ya tai ili atambue watu waongo, wahalifu Amesema Nchimbi Makamu wa Rais
  2. O

    JamiiForums Tanzania Tukiwaambia fanyeni mazoezi mnabisha cheki huyu bibi dada., ukipewa unaoa

    Mshana Jr Kuna viumbe vitamu hadi uzeeni shauri yako. UNAWEZA zeeka ukiwa na umbo lako Binti wa zamani uongo Mbaga Jr dronedrake Wazee WA kubeti nyetukeni
  3. JamiiForums Tanzania Hili jambo la huyu bwana Epstein linafanana na la P Diddy

    Faili za Epstein zinaibua kumbukumbu ya 'nyakati za uchungu mwingi katika ndoa yangu' - Melinda Gates Chanzo cha picha,AFP via Getty Images Bilionea Melinda French Gates amesema mumewe wa zamani, mwanzilishi mwenza wa Microsoft Bill Gates, aliyetajwa katika faili mpya zinazohusiana na marehemu...
  4. JamiiForums Tanzania Ustadh: Makaburini maiti wanatembeleana

    Ni rahisi sana kucheza na akili ya mwafrika.
  5. JamiiForums Tanzania Mwingine tayari au huyu wa zamani

    Nimeona kwa tulia ila kifo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Siku tukija kupata kiongozi kama huyu hata kama ni mtata basi Tanzania itafika mbli sana kiuchumi, Kenya hawataweza kusogea kabisa.

  7. JamiiForums Tanzania Je huyu ni mmoja ya wasiojulikana?

    Askari huyu anapatikana mkoani Geita maeneo ya Katoro. Askari huyu ana rasta, kimuonekano tu anatumia vitu vikali. Juzi wamemnyakua huyo mwenyekiti wa wachimbajji wadogo wadogo hapo Geita. Huyu na wenzake wakija kukuchukua usiku wanakupoteza bila shida yoyote kwa muonekano tu na roho yake...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jose mla Vichwa - Kuna kipi huyu jamaa hawezi kula kama kafikia huku ?

  9. JamiiForums Tanzania Namlisha mawazo Mwigulu; "Huyu John Heche anajiamini nini huyu"

    https://www.youtube.com/shorts/6aDJnh2uHPo Sauti ya Mamlaka John Heche ikipasuka
  10. JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa huyu mtaalamu chapati nzuri inatakiwa ipikwe kwa masaa 7.

    Huyu mtaalamu kajibu swali la wengi kwa hii video aliyopost. Wale mnaopenda chapati lazima mjue chapati yenye ubora huchukua hadi masaa 7 kwenye mapishi yake. Tazama video. https://youtube.com/shorts/sKLhw0qNrRg?si=DyW9usbmgs9eFabm
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye anwani ya huyu jaji

    Kuna ndugu zake wanamtafuta kama unajua anapoishi tuma pin au anwani yake
  12. JamiiForums Tanzania Kuna mwanamke alini provoke. nikakimbilia kwa mtaalamu huyu

    Albert Einstein Albert Einstein: What a wise man never says to a woman Few names evoke as much intelligence and depth as Albert Einstein’s. But beyond his formulas and theories, the German physicist left a legacy of reflections on life, love, human behavior and the power of silence. One of...
  13. JamiiForums Tanzania Huyu ni George aliyepigwa risasi Gongo la Mboto

    Kijana akieleza kwa machungu kisa kilichumpata hadi kukatwa mguu wake alipigwa risasi akiwa maeneo ya gongo la mboto kisha kapelekwa hospital na kukatwa mguu alikuwa na pikipiki polisi waliondoka nayo hadi leo hajui pikipiki yake ilipo. Wamemyia ukilema kijana wa watu hawezi tena kufanya kazi...
  14. JamiiForums Tanzania Kama unadhani siku yako Mbaya, huyu ni zaidi

    Unaweza ukapiga yowe.
  15. JamiiForums Tanzania Ni nani huyu Grace Matage?

    Vyombi vya habari na mitandao ya kijamii inamfahamu kama mkurugenzi wa RHG company, kampuni inayohusika na Clearing and fowarding na ni mawakala wa forodha. Hili jina leo nimekumbuka ile kesi ya askari waliohusika na unyang'anyi wa milioni 90 za huyu mama grace matage. Kesi ya mwaka 2023...
  16. JamiiForums Tanzania Yuko wapi huyu tajiri wa mchongo?

    Aliwaingiza vijana wengi kwenye mkenge wa mafanikio kupitia matarajio hewa Alitukana kukejeli na kudhihaki watu wasiofanikiwa na wanaojitafuta Huyu tuliwahi kusema ni mojawapo ya zile project kuelekea uchaguzi mkuu 2025 Uchaguzi wa kiini macho ulipopita naona umepita naye! Zile fujo zake...
  17. JamiiForums Tanzania Yuko wapi huyu tajiri wa mchongo?

    Aliwaingiza vijana wengi kwenye mkenge wa mafanikio kupitia matarajio hewa Alitukana kukejeli na kudhihaki watu wasiofanikiwa na wanaojitafuta Huyu tuliwahi kusema ni mojawapo ya zile project kuelekea uchaguzi mkuu 2025 Uchaguzi wa kiini macho ulipopita naona umepita naye! Zile fujo zake...
  18. JamiiForums Tanzania Huyu binti maisha yake hayatakuwa sawa tena

    Katika siku za karibuni tumeshuhudia tukio la kushangaza ambapo kikundi cha watu waliodai kuwa ni Wakatoliki walijitokeza hadharani kupinga matamko ya viongozi wa Kanisa Katoliki, akiwemo Askofu Mkuu Ruwaichi na Padre Kitima, waliotoa kauli nzito kupinga mauaji ya tarehe 29 na hali ya...
  19. JamiiForums Tanzania Huyu Sheikh Vipi? Mpaka sasa nmeshindwa mwelewa kabisa

    Hivi anajielewa kweli?
  20. JamiiForums Tanzania Msisitizo wa huyu dada si wa kupuuzwa

    Ni yule dada maarufu aishiye marekani. Kutokana na tweet zake za hivi karibuni zinanifikirisha na sio za kupuuzia. Mara nyingi hutweet akiongea maneno meengi, ila nowadays amekua akiongea herufi chache tena kwa maandishi makubwa. Sitaki kuyasema hapa. Aliyasema wiki iliyopita nikapuuzia, ila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…