huwa

Albu Huwa (also: Albu Hawa, Qaryat Albu Hawa) is a village in Iraq, which is located in the Al Anbar Governorate south of the city of Fallujah and north of Amiriyah Fallujah, in a loop of the river Euphrates.In 2016, during the Siege of Fallujah, there was intense fighting in the area between the Iraqi army and ISIL militants. There were reports that 2,000 families were trapped in two villages, Albu Huwa and Hasai, and used as human shields.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Apple iMac huwa zinafaa kwa shughuli za stationary?

    Wadau naomba msaada kidgo kujua kama, Kompyuta za apple znaweza kufaa kutumika katika kazi za stationary bila kuleta matatizo au usumbufu wowote? Maana nlitaka kununua kuna jamaa yangu akaniambia mizigo ya apple huwa ni utumwa au wenyewe wanaita ni gereza la kifahari. Nikaona sio mbaya nije...
  2. JamiiForums Tanzania Huwa unatumia 1GB kwa siku ngapi?

    Mimi nikijibana sana hazizidi siku mbili, wewe je huwa unatumia 1GB kwa siku ngapi?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Jaji au Hakimu anapoandaa hukumu, huwa ni siri yake au hupaswa kushirikisha watu wengine kabla ya kusoma Mahakamani?

    Hili ndio swali ninalojiuliza kuhusu taratibu na hatua za kufuata katika kuandaa hukumu na mpaka kuja kuisoma mahakamani. Binafsi natarajia iwe ni siri ya Hakimu,Jaji au Jopo la Majaji husika vinginevyo inakuwa si sahihi. Swali lingine ninalojiuliza ni je, Hakimu au Jaji baada ya kusikiliza...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume Wapole na wastaarabu huwapenda wanawake ambao hawajatulia?

    Habari wadau..! Naomba leo tujadili hoja hapo juu kuhusu hawa wajamaa wapole halafu Mungu anawakutanisha na magubegube, kwanini?
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini ndoa huwa zinaua ndoto zenu za maisha?

    Wajumbe Wazima? Ni yuleyule Mr. Liverpool from Anfield. Baada ya salamu hebu twende direct kwenye mada. Kwanini mkishaoa huwa ndoto zenu zina kufa? Scenario 01:- Walimu wa2 from Songwe. Hawa jamaa nilikutana nao 2012 Tunduma, tukawa marafiki. Kwenye maongezi yetu nikagundua waliajiriwa 2011...
  6. JamiiForums Tanzania Barabara hatarishi huwa na mtelemko mikali au kona nyingi

    Barabara hatarishi huwa na mtelemko mikali au kona nyingi au vyote kwa pamoja hapa Tanzania, hivyo uwezekano wa kupata ajari ni mkubwa dereva asipokuwa muangalifu. - Hizi ni baadhi ya barabara hatarishi Tanzania. 1. Nyang’olo barabara ya Iringa kwenda Dodoma 2. Barabara ya mlima Kitonga...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Selection za kujiunga na vyuo zinatumia programme gani? au huwa ni manually done?

    Siku nyyingi najiuliza selection za vyuo zinatumia programme gani. Si rahisi kuzifanya manualy kuwa mtu anaangali nani kapata nini, anawalinganisha then anapata mwenye sifa ja juu. Mfano: Mtu wa Medicine anatakiwa awe na minimum point 6, lakini lazima awe na C kwenye chemistry. Programme gani...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais huwa haongozani na wale Special Force akiwa katika ziara za nje ya nchi?

    Nimejiuliza hili swali mara nyingi, kwanini Rais wa Jamhuri ya Muungano akiwa nje ya Tanzania, huwa haambatani na wale walinzi wenye silaha nzito? Leo Rais SSH ametua Malawi bila wale walinzi hata alipoenda Rwanda ni hivyo hivyo! Wajuzi wa mambo njooni mtujuze utaratibu upoje?
  9. JamiiForums Tanzania Mbona Mbowe amesahaulika mapema hivi?

    Napenda kuwasalimu kwa jina la alietuumba. Ndugu zangu, ingawa inafahamika kuwa CCM na Serikali yake wana uzoefu, ujuzi na uwezo wa kucheza na saikolojia ya wapinzan wao kwa kuanzisha jambo baada ya jambo, lkn safari hii aisee wameweza kufanya jambo ambalo wengi hatukulitarajia hata kidogo...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi inamaana kuna viongozi huwa hawana mshipa wa aibu, ni vigeu geu sana kwenye suala la Corona

    Mfano huyo mama mtu mzima kabisa, kama analazimishwa si alipaswa ajiuzulu? Hiyo ndio maana ya kukomaa kisiasa, kitu hukubaliani nacho unajitoa, kwani lazima uwe kwenye hiyo nafasi? Enzi za JPM alitoa video ya nini kifanyike (mazoezi, matunda, kupiga nyungu nk.),na walikataa chanjo kwa sauti...
  11. JamiiForums Tanzania Wewe huwa unajiunga kifurushi cha muda gani kwenye simu yako?

    Habarini za wakati? Hivi wewe huwa una mazoea ya kujiunga kifurushi cha muda gani nimeconsider time interval in term of Daily bundle, Is it weekly, or monthly bundle. Watanzania wengi najua tunaishi kwa mazoea ya aina fulani, we're very lating in exposure and exploits whatever around us. Najua...
  12. JamiiForums Tanzania Nchi za kijamaa (communist) na siasa za vyama vingi huwa haviivi

    Duniani leo nchi za kijamaa (communism) zimebaki chache sana. Imebaki China, Vietnam, Cuba, Tanzania na zingine mbili tatu. Mtu anayesema Tanzania siyo nchi ya kijamaa anakuwa anakosea sana. CCM chama kinachoongoza nchi yetu ni chama cha kijamaa. Katiba yetu inasema hivyo, na hata sheria na...
  13. JamiiForums Tanzania Yanga SC mkimaliza na hizi 'mbwembwe' zenu za Usajili ambazo mara nyingi huwa zinawaponza mnitaarifu ili nije na Uchambuzi wangu Kwenu

    Kwa Kuanzia tu ni kwamba Daktari wa Timu ya Taifa ya Congo DR amewashangaa Yanga SC Kumsajili Beki Shabaan Djuma ambaye ni 'proin injury Player' wakati aliwashauri Wasimsajili. Pili baada ya Kocha Nabi kurejea Likizoni sasa amezozana na Uongozi wa Yanga SC kwa Kumsajili Mshambuliajj Herritier...
  14. JamiiForums Tanzania Je, hii 6th Sense ya Mtu Jasusi (Njagu) huwa anakuwa amezaliwa nayo au anafundishwa huko Vyuoni CIA na MOSSAD?

    Nimekuwa nikisikia sehemu mbalimbali (hasa hasa hapa nchini Herzegovina) yalipo Makazi yangu Siku zote kuwa licha ya Wanadamu wote kuwa na Five ( 5 ) Senses, ila kwa wale Majasusi (Manjagu) wao wanatakiwa kuwa na ya Sita (6) pia. Je, hii ( hiyo ) Sixth ( 6 ) Sense anayotakiwa hasa kuwa nayo...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Kelele za wanafunzi darasani huwa na viashiria

    Mwalimu Mkuu huwezi kuunda tume ya kuchunguza KELELE za wanafunzi wakati umezisikia kuwa; 1.Monitor haandiki majina ya wapiga kelele 2.Mwl wa darasa hawasikilizi wanafunzi 3.Mwl wa nidhamu hawajibiki ipasavyo. Kutokufundishwa na Mwl wanafunzi wataanza kuongea wao kwa wao mwisho huzaa kelele.
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini 'Mahausiboi' wakitembea na Wake za Watu huwa ni Wasiri, ila kwa 'Mahausigeli' hugundulika mapema na wenye Waume?

    Inakuwaje 'Houseboi' hata akiwa 'anakukanyagia' Mkeo bado atakuwa 'Msiri' Kwako mwenye Mke na tena kazi ataendelea Kuzifanya ila kwa 'Hausigeli' akishaanza tu 'Kutinduliwa' na Mume hawawezi Kujificha na atajulikana tu upesi na Mke wa Mhusika? Nasubiri tu uzoefu wenu nijifunze zaidi.
  17. JamiiForums Tanzania Huwa unatumia mbinu gani kumuacha mpenzi wako ambaye umemchoka bila kumtamkia kwamba humtaki?

    Kila mtu binadamu mbinu yake ya kuachana na mpenzi wake pindi anapoona amemchoka na haitaji tena kuendelea na hayo mahusiano. Wengine huwatamkia waziwazi wapenzi wao kwamba waachane na wengine hupunguza tu mawasiliano mpaka mahusiano yanakufa kabisa. Binafsi ninapotaka kuachana na mwanamke...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi Watanzania kwa nini huwa wanatumia haya maneno mawili kwa wakati mmoja? "Unless otherwise"

    Hivi watanzania ni mwalimu gani aliyewafundisha kingereza cha kutumia haya maneno kwa wakati mmoja? "Unless otherwise". Watanzania wengi sana wanapoongea huwa wanayatumia haya maneno kwa wakati mmoja. Huwa najiuliza inakuwaje watanzania wengi kiasi hiki wanatumia haya maneno kwa wakati mmoja...
  19. JamiiForums Tanzania Hadi sasa nimeshatumia 12,000$ kwenye matangazo Instagram (Facebook). Je, Serikali huwa inakusanyaje Income tax kwa hii kampuni?

    Ofisi zao hawa Facebook kwa hapa Dar ziko wapi? Na kwa mabilioni yote haya wanayochuma kama faida toka nchi Tanzania, wanalipa kodi ya mapato (income tax)? Na wanailipaje? Maana itakuwa sio fair makampuni mengine kama Wasafi Media, Clouds Media, IPP media na wengine walipe kodi ya mapato na...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Tumeachana lakini huwa najisikia vibaya kuona anashida

    Ni mwanamke ambaye nimeishi nae zaidi ya miaka miwili lakini tulikuja kuachana kwa fujo sana kutokana na tabia alizo zianzisha na kusababisha kushuka sana kwa utendaji wangu wa kazi sababu nilikuwa bado namuhitaji lakini ndo ugomvi sana. Nikaamua kukubaliana na hali maana alikuwa kashapata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…