huwa

Albu Huwa (also: Albu Hawa, Qaryat Albu Hawa) is a village in Iraq, which is located in the Al Anbar Governorate south of the city of Fallujah and north of Amiriyah Fallujah, in a loop of the river Euphrates.In 2016, during the Siege of Fallujah, there was intense fighting in the area between the Iraqi army and ISIL militants. There were reports that 2,000 families were trapped in two villages, Albu Huwa and Hasai, and used as human shields.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Nampenda Rais wangu mana huwa anaongea ukweli. Hatakagi kuongea fix ili kuwafurahisha watu kama mtangulizi wake.

    Samia is real an icon of this particular country and world at large. She speaks her mind truthfully with no lies to make people happy even if they are not happy During the magufuli's regime the government was run on fixes and proxies such that no one was allowed to query even though there...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Eti ni kweli uchawi huwa hauvuki bahari?

    Wataalam wa mambo ya jadi embu tusaidieni, kwa mfano inawezekana Mchawi wa Zanzibar kuja kuwanga bara na kinyume chake?
  3. JamiiForums Tanzania Huwa ukimuona huyu jamaa akisema kwenye column yake ya "MASWALI MAGUMU", tambueni lipo jambo linakuja..

    https://youtu.be/YdxCYOdO3Sg?si=4huBSJheX28CD2YC Huyu jamaa niligundua kuwa ni mtu wa mfumo wa serikali wakati wa uchaguzi wa uenyekiti wa CHADEMA taifa.. Sikutarajia kama angeweza ku - side na CCM chini ya ufuasi wa FAM na kupiga vita ukombozi na haki kupitia Tundu Lissu.. Hapa haina shaka...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi watu Wanaonunua hizi sarafu za zamani huwa wanaenda kuzifanyia nini?

    Hizi pesa nimewahi kusikia zikitafutwa sana Leo nimekaa nikajiuliza je huwa hizi pesa wananaonunua kwa value ya juu huenda kuzifanyia nini?
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini mabinti huwa hawakomi kwenda kufanya kazi uarabuni pamoja na mateso yote?

    Habari za ukatili dhidi ya wafanyakazi wa ndani ni jambo la kawaida sana huko uarabuni ila ajabu ni kwamba mabinti Waafrika huwaambii kitu kuhusu kwenda huko uarabuni kuteseka!
  6. JamiiForums Tanzania Tuambie kwanini huwa unazima simu usiku?

    Habari machalii… Leo nazungumza na jamaa zangu mnaozima simu ikifika usiku. Kwanini unapenda kuzima simu ikifika usiku? Ikitokea dharura watu wakitaka kukujulisha usiku huo watakupataje? Haya tuambie kwanini unapendelea kuzima simu?
  7. R

    JamiiForums Tanzania Harufu Ina nafasi Sana kwenye mahusiano,ni vile huwa tunachukulia poa!

    Umewahi kujiuliza kwanini dume la ng'ombe Huwa linanusa!!?kwanini Kuna baadhi Huwa wananusa hata nguo za ndani hata kama ni chafu tu!!?hivi unajua Kuna baadhi yetu tuliwahi nusa harufu TU ikadinda kabla hujaona hata paja!?na Kuna baadhi yetu ililalala na hatukutaka kuendelea Tena kisa harufu...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hivi Sunda International huwa wanalipa mishahara kweli?

    Wakuu Huu ni mwezi wa pili since march 2025 toka niajiriwe lakini watu ni masikini sio poa. Hii kampuni ina vituko sana. Wana revenue kubwa ila mpaka leo mshahara hatujalipwa
  9. JamiiForums Tanzania Maneno gani huwa unaitwa yanakushangaza lakini hayakuboi?

    Hi chit chat, Mimi Mtaani 1. Cheupe 2. Wa kishua 3. Mwanachuo JF 1. Mwanaume 2. Kuna member miaka ileeee aliniPM kuniambia "kumbe wewe ni bigmind " akimaanisha mimi na hiyo ID ni mtu mmoja Huwa wananishangaza kwasababu sio ya kweli lakini sikerekwi Uzi tayari...
  10. JamiiForums Tanzania Hukumu ya mahakama mtuhumiwa

    Mtu anaweza kufunga kula chakula kwa mwaka mmoja na akabaki hai na salama. Mr Angus Barbiel, mwanaume wa Scotland, alifunga kula chakula (akiwa nyumbani kwake) kwa siku 382 kuanzia tarehe 14 June 1965 hadi tarehe 30 June 1966. Katika muda huo alikuwa anatumia tu maji, chai, kahawa na vitamins...
  11. JamiiForums Tanzania Kwenye haya mashirika ya umma huwa inachukua muda gani kuitwa kazini baada ya kufanya oral interview?

    Mko poa wajumbe wa jukwaa hili? Nipo hapa kuwauliza wanaofahamu utaratibu wa mashirika ya umma huwa wanachukua muda gani kuita watu kazini baada ya kufanya oral interview? Interview husika ilisimamiwa na taasisi husika na sio psrs. Nb:ni mashirika ya umma sio psrs,so mtu asichanganye
  12. K

    JamiiForums Tanzania Unajua kwanini serikali zilizoko madarakani huwa hazikubali kuachia madaraka kiurahisi?

    Serikali zilizoko madarakani huwa hazikubali kuachia madaraka kiurahisi, kwa sababu nyingi sana, mojawapo ni kulinda yale mabaya waliyoyafanya wakiwa madarakani kama kuteka watu, kujeruhi, kuua, ufisadi, kuficha mali nje ya nchi na mengineyo mengi. Sasa wanajua chama kitakachoingia madarakani...
  13. JamiiForums Tanzania Memo za Kanisa Katoliki huwa Zinaandikwa kwa Ustadi Mkubwa Sana

    Huwa nikiona Memo zao zinakuwa zipo smart sana . Ni.nadra sana kuona memo kama hizi hapa Tanzania. Imagine hata memo kutoka ikulu huwaga nyepesi sana haitoi attention ya kusoma Tuna la kujifunza hapa. Memo za namna hii nazionaga kwenye nchi zilizoendelea mfano cheki hii hapa kutoka Bukoba.
  14. JamiiForums Tanzania Kila awamu hawa watu huwa wanakuwepo

    Katika kila awamu lazima watu hawa wawepo. 1. Ambao wanamtetea rais sababu ni dini yao/dhehebu lao 2. Sababu anatoka chama chao 3. Sababu wanatafuta nao teuzi 4. Sababu hawana kazi wanajikomba wapate pate makombo 5. Sababu ni kabila lao 6. Sababu hawana uelewa wa mambo 7. Sababu wanapata...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Wahasibu na watu wa masijala , tatizo lenu huwa nini?

    Kwenye taasisi nyingi iwe serikalini au private sector , asilimia kubwa ya watu wa uhasibu na masijala wanasumbua sana, muhasibu kukamilisha malipo hadi umbembeleze kama vile hiyo pesa inatoka mfukoni mwake , visingizio kibao… mara mfumo , mara mtandao hadi malipo yakamilike hata kwa shughuli za...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Enyi wanadamu, Nia hasa ya kuvaa nusu uchi huwa ni ipi?

    Hellow! 1. Ni mke wa mtu, unakwnda kwenye closet, Kisha unachagua nguo nusu uchi, inayobana, au mini skirt Kisha unakwenda ofisini ukijua mumeo siye atakayekuwako huko uendako kuuangalia mwonekano wako, Nini hasa huwa umelenga? 2. Ni kijana wa kiume, unazo suruali kabatini, unachagua kipens...
  17. JamiiForums Tanzania Huwa mnaishi vipi Kwa kutegemea mishahara?

    Hapa sizungumzii wale watu wenye kazi kubwa walau kuanzia million 2 kwenda juu, ambao najua hawa ni wachache mno Hapa nazungumzia hizi kazi za kati kama manesi, polisi, walimu, bank teller nk, ambazo hizi ndo kazi za watu wengi Yaani unakaa mwezi mzima unangoja 500k na kila siku upo kazini na...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Movie ya action steringi akiwa mwanamke huwa siangalii kabisa, mnaoziangalia mnawezaje ?

    Muvi hata isifiwe iwe kali kivipi nikishaona star ni mwanamke anaetembezea kipigo wanaume huwa sina time nayo kabisa. Kiuhalisia mwanamke mtu mzima mwenye miaka 28 anaweza kupigwa vizuri kabisa na mvulana wa form 2 mwenye miaka 15
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 WanaCHADEMA wengi hawana kadi za kupigia kura au hawapigi kura kabisa

    To the point. Japo tupo busy Sana na NRNE Ila ni muhim tungefikiri kuhusu Mambo flan ambayo hutukwamisha katika mabadiriko ikiwa marekebisho yatafanyika na uchaguzi utafanyika kwa uwepo wa CHADEMA. Hapo nyuma nilijaribu kufanya research ndogo kwa vijana wanaoshinda vijiwe tofaut tofaut pale...
  20. JamiiForums Tanzania Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnasema sana

    Wanaukumbi. Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki. Mama Samia ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…