Hivi Sunda International huwa wanalipa mishahara kweli?

Hivi Sunda International huwa wanalipa mishahara kweli?

Hao majina mengine ni Keds, Stronspur bingwa wa sabuni za kleesoft, Doffi, tiles vyombo na vitu vingine kibao. Kama hauko nafasi ya Sales ya Store kubwa au store manager, kimbia ufe nawajua hawa.
 
ao kila sku naona matangazo yao ya sales kwenye linked nkajiulza hawa n wanaajir na kufukuza kila mwez
Kila siku watu wanaacha kazi hapa mkuu,ni vile ramani zimenigomea tu ndo nikaona nije nipoteze muda hapa walau nipate chochote kitu ila ndo hivyo mishahara ni inachelewa mpaka basi
 
Hao majina mengine ni Keds, Stronspur bingwa wa sabuni za kleesoft, Doffi, tiles vyombo na vitu vingine kibao. Kama hauko nafasi ya Sales ya Store kubwa au store manager, kimbia ufe nawajua hawa.
Wewe unawajua vizuri sana mkuu.me niko keds.
 
Hiyo kampuni nimewahi kufanya nao.wazinguaji sana hao wachina,wanataka mambo yao yaende ila pesa hawataki kutoa.hapo mishahara kuchelewa ni jambo la kawaida kabisa na hakuna anaehoji.kama una moyo mwepesi hiyo sio sehemu salama kwako.mimi niliwakimbia miaka minne iliyopita.
 
Sasa kama mshahara wa mwezi wa nne mpaka leo hamjalipwa.
Wa mwezi wa tano mtalipwa lini?na bado mnaendelea kwenda kazini kabisa?
 
Hao majina mengine ni Keds, Stronspur bingwa wa sabuni za kleesoft, Doffi, tiles vyombo na vitu vingine kibao. Kama hauko nafasi ya Sales ya Store kubwa au store manager, kimbia ufe nawajua hawa.
Aisee!!
 
Pole mkuu, huku ndo mnalia wachina wawekeze Tz wa kutosha tusubiri majibu, pole sana kwakweli
 
Dah mnanitisha wadau nategemea kuanzia kazi hv karbun ,

Japo mjomba wangu alifanya hapo miaka miwili position kubwa kidogo na kamuunganishia na binamu yangu na hamna Ambae amewah kulalamika na ni position kama za mid careers hv au wanaaangalia mtu na mtu
 
Back
Top Bottom