Muungano hautajutia kumpata Mhe. Hussein Mwinyi

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,313
12,613
Alikuwa mbunge Bara na Zanzibar. Anakujuwa kote anapendwa kote, Muungano utake nini tena.

Kusema kweli huu ndio muda mzuri wa kuimarisha na pengine kuukamilisha Muungano wetu.

Faida za muungano ziko wazi, huu Ndio ule muda mwafaka wa kufikiria na kutekeleza muungano wa serikali moja badala ya mbili au tatu.
 
Alikuwa mbunge Bara na Zanzibar. Anakujuwa kote anapendwa kote, Muungano utake nini tena.

Kusema kweli huu ndio muda mzuri wa kuimarisha na pengine kuukamilisha Muungano wetu.

Faida za muungano ziko wazi, Huu Ndio ule muda mwafaka wa kufikiria na kutekeleza muungano wa serikali moja badala ya mbili au tatu.
Sawa
 
Narudia tena; "Uchaguzi huru na haki"---- hilo ndilo sharti la anguko la CCM Zenji. 🇹🇿🇹🇿 😎🤓
Mkuu tufundishe namna tutakavyoweza kupata uchaguzi huru na haki ili tufikirie
 
Back
Top Bottom