Niko safarini kutoka njombe kuja Dar,nimekosa seat,nimekalishwa pale mbele kwa dereva,sasa kuna sehemu tumefika ya kula chakula,mimi nikaona ninunue tu vitumbua vyangu viwili vya jero nijilie na maji,
Kuna mdada mmoja pisi kali nimeona kaniangalia kwa huzuni kisha akashuka chini akaja na...