Asee , nipo moshi juzi kati tu akataka kunichoma kindezi , na nikafuatiliwa .
Sikujua nilifanya nini , ila huyo mpumbavu alipwe tena na agawe hizo namba nikamatwe tena kummmke.
Mambo vipi Wana-JF
Imekuwa kama utamaduni au dhana iliyozoeleka kwamba kule X (Twitter) na TikTok ndio kuna mijadala yenye msisimko ya vijana wa Gen Z (wale waliozaliwa kuanzia miaka ya 1997 kuelekea mbele), huku hapa JamiiForums ikionekana kama kijiwe cha wakongwe, Ma-Millennial waliokula...
Wakuu, kuna tabia moja nimekuwa nikiiona humu ambayo inachekesha kidogo, lakini pia inanifanya nijiulize.
Unafungua ID mpya, halafu ghafla watu wanakuangalia kama umetua leo kutoka sayari nyingine! 😂
Ukiandika hoja yenye kueleweka wanaanza:
«“Wewe ID mpya, unajua nini kuhusu JF?”»
Sasa ngoja...
Humu Kuna watu wanaofanya kazi ofisi ya makamu wa Rais Dr. Emmanuel nchimbi
wiki iliyopita mpishi wa makamu wa Rais alifariki dunia ghafla km alivyokuwa kwa lukuvi
je Kuna mwenye kujua chanzo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.