Forrest Gump
JF-Expert Member
- Jul 2, 2021
- 779
- 2,226
1: PM -kirefu chake inasimama kama maneno gani?
2: Papuchi- ni tunda au nini haswa?
3: Chapati- nini maana ya mtu alie chapati
4: Makebo makubwa- maana yake ni mapaja, maziwa au makalio?
5: Mkuu - ni nani muhasisi wa neno mkuu?