humphrey polepole

Humphrey Polepole is a Young Tanzanian politician presently serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district

View More On Wikipedia.org
  1. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Mama Polepole amefika mahakama kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam

    Kesi ya jinai iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Malawi na Cuba Humphrey Polepole kupitia Wakili wake Peter Kibatala, inaendelea leo, Jumatano Oktoba 15.2025, Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam Katika kesi hiyo ambayo inasikilizwa chini ya...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Gerson Msigwa: Serikali haijui alipo Humphrey Polepole, ndio maana Polisi inafanya uchunguzi

    Mahojiano ya Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa alipozungumza na Kituo cha UTV, leo Jumatatu Oktoba 13, 2025. Kuhusu Polepole nini kauli ya Serikali Jeshi la Polisi limeshatangaza kutaka aende akatoe maelezo juu ya kauli...
  3. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Tunaomba mrudisheni Polepole, huyu alikuwa Balozi hawezi kupotea kama kuku

    Tunaomba mrudisheni Polepole kama kuna kosa alifanya mahakama zipo. Huyu alikua katibu Mwenezi wa chama taifa, balozi Mjumbe wa Bunge la katiba pia Mbunge huyu mtu anawezaje kupotea kama kuku? Tafadhali wakuu naomba mtoe tamko Polepole yuko wapi? serikali ina kila kitu vyombo vyote vya ulinzi...
  4. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Nchimbi amshukia Samia kutekwa kwa Polepole

    Kumekuwepo na Kipande cha Video kinacho sambaa kwenye Mtandao wa Facebook kikimuonesha Nchimbi akisema Samia Must Go huku akieleza kuwa Dhamira ni Kupinga Masuala ya Utekaji Nchini Tanzania. Je video hiyo ina Ukweli kiasi gani.
  5. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 ICC: Godfrey Malisa chukua tahadhali, usije kuwa kama Humphrey Polepole. Please and please take note of this

    Chukua tahadhali, huyu Mama ameshavua nguo zote za ubinadamu. Usifanye mzaha,usalama wako uko on test, tena test kubwa. Chukua tahadhali! Umemshika masharubu simba mla watu. Take care please.
  6. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Narudi kwa Polepole, kwahiyo ndiyo basi tena? Hivi kwanini ulijiamimisha hivyo kuwa hapa nchini

    Nani atusaidie kumpata? Marekani? Maandamano ya 29.10.25 yakifanyika kama ya Nepal, tutampata na wengine angalau hata maiti zao! Polepole kwanini ulijiaminisha kuwa hapa. Ungelikwenda hata Scandinavian countries ungekuwa salama!
  7. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Japo hakuna aliyethibitisha au kukanusha, kama kweli Humphrey Polepole ashauawa, nini kitatokea?

    Niseme kwanza. Mie si shabiki wa Humphrey Polepole ambaye ni mwanachama na kiongozi wa CCM. Sipendi CCM. Hivyo, CCM wakitekana na kuuana, huwa hainishughulishi. Kinachonishughulisha ni kelele na maombi nionayo hapa jf juu ya kukamata/kutekwa na sasa kuawa au kutoweka kwa Polepole. Je ikitokea...
  8. Inside10

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa EU watoa tamko kutekwa kwa Polepole

    Kutekwa kwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kumeendelea kuzua mjadala mpana, baada ya wabunge wa Umoja wa Ulaya (EU) kulaani tukio hilo na kulitaja kuwa la kutisha linalohitaji hatua za haraka. Katika taarifa iliyotolewa jana Oktoba 10, 2025, kwa pamoja na wabunge...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole ni Nyerere na Mandela wa zama zetu aliyetwaliwa kutoka kwetu na wasiolitakia mema Taifa hili!

    Inasikitikisha kuona Humphrey Polepole katwaliwa kikatili vile kutoka kwetu. Kwani watesi wake hata kama wangemwomba tu atoke mwenyewe kwenye nyumba ile na kuongozana nao kokote walikotaka asinge toka? Polepole kama Lissu, Nyerere au Mandela hawakuchagua kuzikimbia nchi zao na eti kwenda...
  10. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Kataa Wahuni - Official Song 🎵

    Polepole alituachia wimbo huu kabla ya kunyakuliwa na kupelekwa pasipofahamika. Aliandika 👇👇👇 Nimelazimika kuingia studio na kuzalisha wimbo huu. Nina "udediketi" wimbo huu kwa mwana CCM mwenzangu aliyetumia vyombo vyote vya habari jana. Ujumbe huu uende kwake na kwa kundi lote haram la CCM...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Updates: Kaka wa Polepole awajibu polisi kuhusu kutekwa kwa mdogo wake Balozi Humphrey Polepole

    09 October 2025 Nimepata samasi / summons iliyotoka jeshi la polisi na kufika nyumbani kwetu Augustino Polepole Jeshi la police Tanzania lamtaka Augustino Polepole kwa kumtaja afisa wa police aliye mkuu wa upelelezi kanda maal (ZCO)Dar es Salaam afande Mafwele.. Augustino Polepole alipokuwa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mwananchi: Msipotuhakikishia kama Polepole yupo hai na Mafwele kutojiuzulu, mnimalize na mimi

    Kupitia video inayosambaa Mtandaoni inamuonyesha kijana akielezea kwa hasira tukio la kutekwa kwa Humphrey Polepole usiku wa kuamkia Oktoba 6, 2025, akidai kutaka kujua hali ya Polepole kama yupo hai pia kumtaka Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Faustine Mafwele ajiuzulu Soma pia...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mama Polepole afika Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala Ndogo ya Dar es salaam

    Anna Mary ambaye ni Mama Mzazi wa Mwanasiasa Humphrey Polepole amefika katika Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala Ndogo ya Dar es salaam asubuhi hii ambako inatarajiwa kuanza kusikilizwa kwa maombi ya kesi juu ya kutekwa kwake maombi ambayo yalipelekwa na Wakili Peter Kibatala kuiomba Mahakama Kuu...
  14. JOANNA

    JamiiForums Tanzania Prayer Alter for Humphrey Polepole

    Calling all the watchman, The intercessors, The chosen one, Prayer warriors, Seers, Teachers of the word, wailing women Let's raise an alter of prayers for Humphrey Polepole at 12 am all time zone. We are sending prayer petition to the court of Heaven. Remove all legal rights that the enemy is...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole na Magufuli, Wazalendo wa kwelikweli. Kama Taifa tumepoteza pakubwa sana

    Ndani ya muda mfupi wa miaka takribani 4, tumewapoteza Polepole na Magufuli kama viongozi wazalendo na wapiganaji hodari wa taifa hili la Tanzania. Lakini nataka kujadili zaidi kuhusu mzalendo Polepole na utata wa kutoweka kwake hadi sasa. Mpaka sasa najiuliza maswali mengi kuhusu kupotea...
  16. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Ni kweli anavyodai SATIVA kuwa Mtandao wa Simu (Halotel) umehusika 'kumuuza' Humphrey Polepole?

    Stori ya Humphrey Polepole kutekwa naona inazidi kushika kazi ndugu zangu, kuna sehemu nimekuta hii screenshot, je inawezekana ni kati ya vitu vilivyomfanya akanaswa? Namba ya simu inayotajwa kutumika ni ya Mtandao wa Halotel na imesajiliwa kwa jina la Humphrey Herson Polepole. Kampuni ya...
  17. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa Mchungaji Fadhili Juu Ya Humphrey Polepole Watimia

  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mama Polepole: Nirudishieni mwanangu akiwa hai au amekufa, alikuwa mtoto wa kipekee

    BBC imezungumza na mama mzazi wa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole katika mahojiano maalum. AnnaMary Polepole amesisitzakatika mahojiano hay kuwa arudishiwe mtoto wake- Humphrey Polepole akiwa hai au amekufa. Hata hivyo mapema leo, jeshi la polisi lilisema kuwa...
  19. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Akaunti za mitandao ya kijamii (FB & IG) ya Humphrey Polepole haipatikani tena

    Kwa hiyo sasa hivi jamaa atakuwa amezungukwa na watu 6 mmoja kakaa kwenye kiti kama nilivyoota jana huku yeye kapiga magoti anatoa password na email watu wanafuta tu account zake zote, halafu baaada ya hapo sijui hatua gani itafuata
  20. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania HumphreyHumphrey Polepole amefikisha saa 27 tangu adaiwe kutekwa ndo tunamsahau taratibu kama Mdude, why?

    Ndg watanzania, mtanzania mwenzetu ambaye alitekwa jana ameshaafikisha takriban masaa 27 tangu tulipopata taarifa hapo jana saa 3 asubuhi sawa na dakika 1,620, sekunde 97,200, mamalaka zipo kimya ndo umeshaakuwa utaratibu wa kawaida sasa watu kupotea ipi solution kama sio IGP Wambura kujiuzulu...
Back
Top Bottom