hukumu

Kokborok tei Hukumu Mission was formed on 10 August 1993, in Agartala, Tripura, India as a non-political, non-religious organization whose sole mission is to serve to promote to develop and to preserve the Tripuri literature, culture, tradition and its heritage.

View More On Wikipedia.org
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ulinzi kuimarishwa maradufu siku ya hukumu ya kesi ya uhaini.

    Huzuni, simanzi, vilio, mayowe na makelele holela kutawala viunga vya mahakama huru ya Tanzania jijini Dar Es Salaam, lakini pia kwenye mitandao ya kijamii kutakua na ukimya wa muda mfupi na kisha jumbe za kutafuta kiki na public sympathy zitaanza kufurika, na kwa unafiki, maombi ya kipepo na...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda hali ya kizimbani siku ya hukumu ya kesi ya uhaini, ikawa kama ya huyu muungwana kwenye video.

    Inasikitisha sana na kwakweli inafedhehesha sana. Ni muhimu sana kutii sheria na katiba ya nchi bila shuruti, ili hatiame kuepuka hali za taharuku na kuchanganyikiwa kama hizi.:NoGodNo: Mungu Ibariki Tanzania.
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Wakili Johnson Johannes Kachenje asimamishwa kazi baada ya kuwasilisha hukumu zilizotengenezwa kwa AM (Akili Mnemba) AI, Mahakama Kuu, Dodoma.

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dodoma, imemsimamisha kazi ya uwakili kwa miezi sita Wakili Johnson Johannes Kachenje, baada ya kubainika kuipotosha Mahakama kwa kuwasilisha hukumu za uongo zilizotengenezwa na mfumo wa Akili Mbandikiza (Artificial Intelligence - AI). Hukumu hiyo imetolewa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo leo kila kitu kinafungwa na kutiwa muhiuri kusubiri hukumu

    Tuelimishane au vipi? Manyanza Mshana Jr
  5. R

    JamiiForums Tanzania Hapa tulipofikia hata kijana wa IJA anaweza kuandika hukumu ya haki-Reasoned Judgement

    Hii kesi ilipofikia hata kijana anayesoma Diploma ya sheria IJA (Institute of Judicial Administration, Lushoto anaweza kuandika hukumu ya KWELI. Reasoned judgement! Naishia hapa
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ona kosa la msimamizi wa haki. Kama anaweza kufaya hii akijua inakwenda hadharani, ya ndani je! Tarehe ya hukumu! Mwezi wa 19 & 21 Septembr, 2026

    Najua inaweza kuwa oversight, akapitiwa, lakini kwenye kitu sensitive kama hiki ku determine RIGHTS za watu hapashwi kufanya kosa hili!, kupitiwa. Ya ndani tusiyoyaona yakoje? Anapoandika proceedings anaandika vitu gani? vina reflect wanachokisema parties and their witnesses correctly? This is...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Siku ya hukumu ya kunyongwa Kwa Lissu kama wataamua hivyo itampa umaarufu Dunia nzima na chama chake huku ikiwachawachafua na nchi yetu ikipata aibu

    Kwa hatua aliyofukia Lisu akiachiliwa au akinyongwa Bado credits zote zinarudi kwake na chama chake maana wamechagua haki na ukweli Lakini waswahili wanasema heri nusu shari kuliko Shari kamili au heri aibu kuliko fedheha Hamna haja ya kumtumia Lisu kama kete ya kulazimisha maridhiano...
  8. Etwege

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya kifo kwa Rais wa Syria inatuma ujumbe gani kwa wahusika wa October 29?

    #HABARI: Wakazi wa mji wa Idlib nchini Syria wamekusanyika kusherehekea baada ya mahakama kumhukumu kifo Rais wa zamani wa nchi hiyo, Bashar al Assad. Mahakama moja nchini Syria imemhukumu kifo kwa kutokuwepo rais wa zamani wa nchi hiyo, Bashar al-Assad, kwa makosa yanayohusiana na uhalifu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufaa yatengua Hukumu ya Eliakim Maswi Dhidi ya Mwita Waitara na Mara TV

    Kama mnavyofahamu, kumekuwa na mvutano mkubwa wa kisheria kati ya Bw. Eliakim Chacha Maswi na Mbunge Mwita Waitara, ukihusisha fidia ya mabilioni ya shilingi. Leo nimepitia hukumu mpya ya Mahakama ya Rufaa kupitia hukumu iliyotolewa leo tarehe 29 Julai 2026, na nimeona ni vyema niwaletee...
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Asante Jaji Mkuu Kukemea Hukumu za Mahakama Kudharauliwa!, Mahakama Itoe Hukumu SMART Zenye Meno, Zisipotekelezwa, Mahakama Ina Ng'ata!.

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu, kwenye gazeti la Nipashe la Leo, nikimpongeza Jaji Mkuu George Masaju ni mtu mwenye hofu ya Mungu, hivyo ataisaidia Mahakama kutoa hukumu za haki, ambalo litalisaidia taifa na kuwasaidia Watanzania kupata haki. Pia amekemea kitenda cha baadhi ya mamlaka za serikali...
  11. figganigga

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Mkienda mahakamani, hukumu itatoka mwaka 2030.Tutumie mabavu kufanya Siasa

    CCM wakiangalia mbele ni giza sababu haakuna walichofanya. Hivyo wanahofu ya kuondolewa madarakani. Mikutano ya CHADEMA inawatisha kwani walitegemea CHADEMA imekufa. Hata 29.10.2025 walipiga risasi wananchi sababu walihisi waliokuwa wanaandamana ni CHADEMA. Nashauri CHADEMA tutumie mabavu...
  12. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Unapopoteza hukumu unafanyaje wakuu

    Habari wote Kuna dogo katoka kuchukua hukumu akapoteza maeneo ya Mbezi. Hukumu hii ilikuwa kumwondoa msimamizi wao wa mirathi. Baada ya kupiga nkamwomba anipe mda nijee jukwaani kwan kuna procedure gani za kufanya. Baada ya kupotexa alimpigia hakimu akamwambia inabidiii arudi tena Mbeya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ndio maana ikawekwa siku ya hukumu ili kutolewa haki zilizonyimwa duniani

    Katika mafundisho ya Qur’an, Siku ya Hukumu (Yawm al-Qiyāmah) ni siku ya mwisho ambapo haki kamili ya Allah itadhihirika kwa ukamilifu usio na mfano. Moja ya hekima kubwa ya siku hii ni kuonyesha Al-‘Adl, yaani haki ya Allah iliyo kamili, isiyo na upendeleo wala kosa. Allah anasema: “Na...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande et al, mnasikiliza upande mmoja mnatoa hukumu bila kuwapa upande mwingine haki ya kusikilizwa while they are available to cross examine

    Probative value ya mahojiano/ ushahidi wenu na so called mliwahoji iko wapi bila kusikiliza upande mwingine! Nilisema mnajiletea aibu mkiwa retired Chief Justices
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kama ndiyo Ujaji ndio huu, Mwanga amewaonea wangapi katika hukumu zake?

    Kama alidiriki kuwafanyia Chadema hivi, wanyonge kwake watapata haki kweli? Amewaumiza wengi!
  16. Keynez

    JamiiForums Tanzania Hivi mnaielewa hii hukumu ya rufaa ya kesi ya Bernard Membe dhidi ya Cyprian Musiba?

    Nimekutana na hii taarifa ya maamuzi ya rufaa ya kesi ya Bernard Membe dhidi ya Cyprian Musiba. Kwanza ikumbukwe kesi ilipokuwa inasikilizwa Mahakama Kuu, upande wa washitakiwa, yaani upande wa Musiba, hawakutokea Mahakamani kwa hiyo kesi ilisikilizwa upande mmoja na mdai yaani Membe kupewa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Umeondoka TBC na mabilioni, vipande 40 vya fedha ukawasaliti Watanzania, lakini hukumu ya HAKI ya Mungu inakusubiri

    Ulitumia TBC kukandamiza upinzani hasa Chadema, ambao walikuwa wanatekeleza haki ya kikatiba ya kitoa na kupata habari kupitià TBC. Ukawanyima fursa hiyo na kuwa CHAWA No. 1 wa CCM. Leo umeondoka na Mungu anakusubiri akupe hukumu stahiki! All in all kwa vile ulifanya ikamndamizaji wa...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kijana wa Nigeria ajiuliza maswali magumu akiwazia hukumu ya kaburi

    "Kwa hiyo nikifariki malaika wawili watakuja kwenye kaburi langu na kuanza kuniuliza maswali kwa Kiarabu. Ikiwa nitashindwa kuelewa, watanitesa kijana wa kiYoruba kwa sababu tu ya kushindwa kuelewa Kiarabu kaburini? 😂"
  19. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI ICC itatoa hukumu mwezi huu January 2026, kuhusu mauaji yaliyotokea Oktoba, 2025

    Wakuu nimekutana na Taarifa huko mtandaoni inayoeleza kuwa; "=AZYgKkVELthfF2or8cz9hZgtDA2u2RiBdMfdI8maVSNICA04cSYXXbdXRplfrWQvl_7jXQwbtQeqJ-AHtoRziO5eE5VYJ6t4oaVOH482QFJ6S9hWcWKyFVkANFBRfLwvaufqlpK135He2ochFj0XJkUCngvoo0g2yoYg_jBY6fBEDX62nxo0jsmwKYNFNTfLS8Y1EhB4LKO4uYtMX6BoU9IN&tn=*NK-R']#Kesi...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu: Mahakama kuanza kuandika hukumu kwa Lugha ya Kiswahili

    Jaji Mkuu George Mcheche Masaju amesema hayo wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, tarehe 13 Januari...
Back
Top Bottom