Kila la kheri Kiongozi wangu wa Chama cha ACT wazalendo, Zitto Kabwe katika hukumu ya kesi inayokukabili itakayotolewa Mei 29, 2020 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam. Ni katika kesi ya "uchochezi'
(Kesi ya Jinai Na. 327/2018).
Watanzania dua na mshikamano wenu ni muhimu...