huduma

Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Gavana aipongeza CRDB Bank kwa kuthubutu kufanya mageuzi chanya ya kimataifa ktk huduma

    02 October 2025 Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Emmanuel Tutuba (kushoto) akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa Nsekela (kulia) wakati wa mkutano wa kujadili utekelezaji wa mageuzi ya mfumo mkuu wa benki hiyo, hatua ya kimkakati inayolenga kuboresha huduma...
  2. W

    Chalamila: Mtoa huduma wa mabasi ya mwendokasi Kimara tunamsimamisha

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert John Chalamila, leo amefanya ziara katika kituo cha mabasi ya mwendokasi kilichopo Kimara Mwisho na kuzungumza na wananchi kuhusu changamoto ya upungufu wa mabasi. Katika ziara hiyo, Mhe. Chalamila amesema serikali inatambua changamoto hiyo na tayari...
  3. Jiji la Mwanza: Tunataka huduma ya mwendo kasi (Mwanza Rapid Transport)

    Habari Tanzania ! Nawaomba sana maana kumekuwa na changamoto kubwa sana ya Usafiri wa Umma Mkoa wa Mwanza. Mwanza ya sasa sio ile ya zamani; maana kuna idadi kubwa sana ya watu na watu wanateseka kwa usafiri maana mwendo kasi vyombo vya usafiri ni mdogo na vyombo vingi ni chakavu sana. Wenye...
  4. GE2025 Dkt. Mwinyi azindua huduma ya Water Taxi Zanzibar

    Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema huduma za Water Taxi zimeanza rasmi visiwani Zanzibar, ikiwa ni hatua ya kuboresha usafiri wa baharini, kuvutia watalii na kuongeza ajira kwa wananchi. Akizungumza alipowasili katika Bustani ya...
  5. L

    Leo natoa OFA ya 50% ya huduma zangu zote

    Jana nimefikisha Threads 100 humu JF. Zote zikiwa ni educational contents nikielezea namna unaweza kusajili biashara, Kampuni, kupata Leseni au kusajili trademark. Na wewe msomaji wangu umekua supportive sana. Sasa Leo Nina OFA kwa ajili yako Kama unataka kusajili -Business name pamoja na...
  6. Benki ya CRDB imenikata pesa bila sababu

    Wasalaam nyote. Wakuu sipo kwa ajili ya kuharibu biashara au brand ya kampuni yoyote ile, kwani mie sina ubiya wala ushindani na yeyote. Ila Wallah, leo hii katika kutoa pesa zangu katika benki ya CRDB kiasi kilichokuwepo na kile nachopaswa toa kuna shilingi 24,000/= imemegwa Kwanza hakukuwa...
  7. NIDA wachague moja kati ya kuruhusu kuona namba mtandaoni (online) au waondoe kabisa huduma hiyo isiwepo kabisa

    Kwanza naheshimu serikali na natambua juhudi yake katika kuhudumia wananchi, kulinda na kudhibiti taarifa zao. Zamani sehemu ya huduma kwa jamii ambayo ilikuwa na usumbufu namba moja ilikuwa ni RITA (cheti cha kuzaliwa) lakini siku hizi namba moja kwa usumbufu ni NIDA. Niliwahi kuandika humu...
  8. E

    Je huduma za benki ya NBC zikoje kwa wazoefu?

    Wakuu habari za weekend, Kutokana na yanayoendelea kwenye huduma za kibenki naomba kuuliza wenye uzoefu na huduma za NBC, makato yao, huduma kwa wateja na ufanisi wao wa mtandao. Baada ya kushuhudia huduma mbovu za CRDB na wafanyakazi wa NMB kutokuwa sharp kwenye kutoa huduma nafikiria...
  9. KERO Foleni kubwa katika kupata huduma katika Mabenki

    Habari wakuu. Bila kuwapotezea muda, kwa kila ambaye amewahi kutumia huduma za kibenki hapa Nchini kwetu Tanzania kuna tabia ya uchelewevu wa huduma na upotevu wa muda sana hasa ukifika Matawini na ATM. Leo nataka tuangazie hili la huduma za kwenye matawi hasa zile za kufuata ndani ambazo kwa...
  10. Jamani tupatiane options, benki gani yenye huduma za uhakika tofauti na CRDB?

    Hawa jamaa system ime collapse na tuliona haya miaka mitatu minne hivi tukillalamikia precision katika kupat huduma physically na digitally lakini pia customer service unapiga simu ni muziku unakula hakuna kinachoendeelea.
  11. TANESCO yatangaza kukosekana kwa huduma ya umeme Mbagala na Kigamboni

    TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME MBAGALA NA KIGAMBONI Jumatatu, 08 Septemba 2025 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa maeneo ya Mbagala na Kigamboni kuwa kumetokea hitilafu ya umeme leo tarehe 08 Septemba 2025 katika njia ya...
  12. Mimi nilijua hizi siku 3 za bila huduma basi jamaa watarudi wakiwa kamili ila kumbe mambo ni yale yale. CRDB "popote utoporo"

    Kuna mwamba humu aliwahi kusema hii benki iliondoka na kimei sasa ndio namuelewa.
  13. CRDB sasa tena wameongeza muda wa huduma kutopatikana, hivi hawa jamaa kimeawakumba nini?

    Kweli hawa jamaa systems zao hazikuwa hacked kweli. Siku tatu nzima hakuna huduma ya sim banking wala Tawi
  14. TTCL: Kufungiwa Huduma za Fiber ni bure, wanaodaiwa kuchukua rushwa hatua zitachukuliwa

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kueleza changamoto ya kuunganishwa na Huduma ya TTCL Fiber, kupitia ukurasa wa Instagram baadhi ya waliotoa maoni wamedai kuwa baadhi ya watendaji wamekuwa na tabia ya kuwataka wateja kulipia gharama (Rushwa) za miundombinu ikiwemo nguzo ili waweze kupata...
  15. M-Koba na M-wekeza?

    Je, kikundi cha M-Koba kinaweza tumia huduma ya M-wekeza? Na kama kinaweza, Je utaratibu ukoje?
  16. Naomba list ya Machimbo ya huduma ya massage inayoinclude Happy Ending

    Malegends, Naombeni list nina kazi nayo personally.
  17. Matawi Ya CRDB Kufungwa Kwa Siku Tatu Nchi Nzima

    Benki ya CRDB imetangaza kufunga huduma katika matawi yake yote kwa siku tatu kuanzia Septemba 5 hadi 7 mwaka huu. Kufungwa kwa matawi hayo kunalenga kutoa nafasi kwa wataalamu kufanya maboresho na kuweka mifumo ya kisasa ili kuongeza ufanisi huduma zinazotolewa. Kwa mujibu wa taarifa...
  18. Zamani tulipanga foleni kupata huduma hizi

    Wakuu kwema… Tuwape elimu ndogo vijana wa sasa kuhusu namna baadhi ya huduma zamani ilibidi upange foleni kwa kufika ofisi husika ili uhudumiwe. 1. Luku Ili upate huduma ya kununua umeme (luku) ilikuwa lazma ufike kwenye ofisi za Tanesco. Baadae wakaongeza huduma kwenye baadhi ya vituo vya...
  19. U

    Msibani juzi mchungaji wa Kisabato kutumia muda mwingi kushambulia RC na kuwa na Ibada za wafu huku akidai wao hutoa huduma na siyo Ibada

    Msibani kwa ndugu zetu marehemu ni Msabato hivyo mwili waombe wa na umewekwa mbele kabisa ndani ya jeneza. Mchungaji akadai hizo siyo Ibada bali ni huduma Akadai Ibada ni dhambi na huendeswa na wakatoliki. Akadai kwamba ni kweli mwili wa marehemu uko mbele lakini hawana Ibada bali wanatoa...
  20. Kituo cha Afya Kizimkazi kinatoa matibabu na chakula bure

    Wanahabari wametembelea Zahanati ya Kizimkazi iliyopo Mkunguni ambapo katika ziara hiyo wamejionea jinsi zahanati hiyo inavyofanya kazi na yenye hadhi ya hospitalI kubwa kutoka na kila huduma ya matibabu inapatikana. Daktari Dhamana wa Zahanati hiyo, Tamimu Hammad Saidi amesema "Zahanati inatoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…