Plot4Sale Fursa! Kiwanja Kilichopimwa chenye Huduma Zote

Plot4Sale Fursa! Kiwanja Kilichopimwa chenye Huduma Zote

Olivia olivia

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2024
Posts
1,619
Reaction score
3,788
Kiwanja kinauzwa KIBAHA KWA MFIPA kwa dharura 6M,kina sq merter za mraba 500+

Hizi ni picha kiwanja kilipo, kuna huduma zote muhimu na tayari kuna makazi ya watu.

Kimepimwa tayari na hakina udalali, changu mwenyewe
Kutoka morogoro road hadi site ni km 5
Mawasiliano 0754088347
 
Unavyo Sema kimepimwa HATI ya wizarani uko nayo mkononi?
Kazi ni kipimo cha utu
 
Unavyo Sema kimepimwa HATI ya wizarani uko nayo mkononi?
Kazi ni kipimo cha utu
Unafikir kuipata hati ni kazi rahisi hivyo ?? Kimepimwa tayar na kina namba na hati inafuatiliwa atakaye nunua ataendelea na hizo process

Kingekua na hati kingeuzwa juu ya hapa maana gharama zingeongezeka,
 
Kipime upate hati alafu chukulia mkopo bank
 
Back
Top Bottom