Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).
Kuna muda najiuliza kuwa hii App mliiweka ya kazi ipi hasa
Tangu asubuhi Mtu wa miamala anashindwa kuhudumia wateja kwa kutumia Simbanking kisa huduma haipatikani
Mara hii nimejaribu kununua
umeme kwa mara 4 zote sipati majibu yeyote
Mlituwekea huduma hii ya kazi gani?
Mnakera sana ninyi.
Kutoka mezani kwa Adama H kigamboni Dar esaalam
Rafiki
Ndani ya second 60 zijazo Nitaenda kukuonesha sababu kubwa Tano za kwanini wateja hawanunui Bidhaa au
Huduma Yako
Na Hizi sababu haijalishi una uza nguo,Viatu,magari,viwanja nyumba nk
Zinaingia kote kote
Twende pamoja
Sababu ya...
Kutokana na kukua kwa Teknolojia ni vyema pia hata baraza letu la mitihani(NECTA) likaanzisha huduma za online hasa kwa wahitimu wa miaka ya nyuma kuweza kujipatia vyeti vyao. Hapa kuna makundi mengine ya waliopoteza vyeti, kuharibikiwa n.k.
Baraza lianzishe utaratibu huo kwa kuwa utaratibu...
Kuna ugumu wa kupata Visa ya kwenda China kutoka hapa nchini, hali inayosababisha usumbufu mkubwa kwa waombaji wengi.
Tunalazimika kuamka saa tisa usiku ili kuwahi foleni, lakini hata hivyo hatufanikiwi kupata huduma tunazotarajia, baadhi ya waombaji tumeomba kwa siku ya tatu mfululizo bila...
Mathayo 26:26–29
Walipokuwa wanakula, Yesu alitwaa mkate, akabariki, akaumega, akawapa wanafunzi wake, akasema, “Twaeni mle; huu ndio mwili wangu.”
Akakitwaa kikombe, akashukuru, akawapa, akisema, “Nyweni nyote katika hiki;
kwa maana hii ndiyo damu yangu ya agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesaini mkataba wa msaada wa Euro milioni 20 sawa na shilingi za Tanzania bilioni 60.7 kutoka Serikali ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani kupitia Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW) kwa ajili ya kufadhili mradi wa Uboreshaji wa Huduma za...
Viongozi wa serikali, washirika wa maendeleo, wataalamu wa afya, asasi za kiraia pamoja na wawakilishi wa jamii wamekutana jijini Dodoma, Juni 18, 2026 katika kongamano la kujifunza lenye kaulimbiu “Kudumisha Mafanikio Yaliyopatikana katika Afya ya Uzazi na Jinsia”, kuadhimisha kufungwa rasmi...
Hoja kuhusu Kuboresha Huduma za Utumaji Fedha Kupitia Mawakala
Ningependa kutoa maoni yangu kuhusu huduma za utumaji fedha zinazotolewa kupitia mawakala wa mitandao ya simu. Kuna haja ya kuweka utaratibu bora zaidi utakaomwezesha mteja kutuma fedha moja kwa moja kwenda sehemu yoyote nchini...
Habai JFM,
Ile huduma adhimu ya uchimbaji wa visima bado inaendelea, faida ya kufanya kazi nasi ni hizi;
✔️ Survey bure
✔️ Kufunga pump ya maji bure
✔️ Finishing plumbing fitting bure
✔️ Kufwatilia vibali bure
Kazi ya uwakika popote ulipo bara na visiwani at easy, fast & affordable.
Call,sms...
Nianze kwa kuwapongeza customer care wa kwenye private sectors Wapo very active kupokea simu na kutoa maelekezo ya huduma wanazo zitoa kwa wateja hapa nawajumuisha na customer care wa TANESCO.
Nije kwa hawa customer care wetu hawa, wanaoweka namba za simu ili watu wapge wapate maelekezo ya...
🔐 Je, unataka kuona kinachoendelea hata ukiwa mbali?
🔐 Epuka wizi na uharibifu wa mali zako.
🔐 Fuatilia biashara yako LIVE kupitia simu yako.
Smart Eye Security Services tunakufungia:
✅ CCTV Camera Installation
✅ Electric Fence
✅ Gate Motor
✅ Alarm System
✅ Biometric Attendance
✅ Access Control...
Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Wananchi na Watumishi tunapata changamoto sana hasa tunapohitaji huduma ya Mkurugenzi (DED), zinaweza pita siku 5 hupati huduma unaambiwa hayupo na hajakaimisha mtu.
Kinachokera zaidi ni kuwa Halmashauri ni mbali kiasi kwamba hizo siku zote unaweza tumia zaidi...
Anonymous
Thread
ded
halmashauri
huduma
kupata
majukumu
ofisini
shinyanga
wilaya
OMBI LA KUOMBA MSAADA WA HUDUMA YA MAJI
MTAANI TERRYNITE STREET, SEGEREA MAGEREZA.
Sisi wakazi wa Mtaa wa Terrynite Street, Segerea Magereza, tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu upatikanaji wa maji.
Tatizo:
Kwa muda mrefu tumekuwa tukipata maji mara moja tu kwa wiki, siku ya Alhamisi...
Anonymous
Thread
hudumahuduma ya maji
kuomba
magereza
maji
msaada
mtaa
mtaani
ombi
segerea
tuna
wakazi
Usiache kuumia kimya kimya nyumbani AU ofisini – usikubali kuishi na msongo wa wadudu wasumbufu! Chukua hatua Leo kwa huduma ya kitaalam ya fumigation inayoondoa mdede, mbu, kunguni, viroboto na panya kabisa kwa muda mfupi na salama 🔥
Je, nyumba yako, ofisi au biashara inasumbuliwa na mende...
Shabiby Bus boresheni huduma zenu haswa sehemu mnazopeleka abiria kula na kujisaidia.
Maafisa afya nao mfanye kazi zenu vizuri,abiria watakuja kupata madhara kiafya.Hembu kuweni na ofisi nzuri Arusha kama Machame Bus,
Sehemu mnazopeleka watu kula mbaya na chafu mtu unakosa alternative!Hii kero...
Nina malalamiko yangu kwa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) kuhusu huduma ya mawasiliano kwa wateja.
Kumekuwa na changamoto kubwa ya kutopokelewa simu tunapowasiliana na ofisi zao kwa ajili ya kupata msaada au ufafanuzi wa masuala mbalimbali. Mara nyingi...
Anonymous
Thread
baraza
changamoto
elimu
elimu ya
elimu ya ufundi
hudumahuduma kwa wateja
kero
malalamiko
nactevet
nactvet
simu
taasisi
tcu
ufundi
wahusika
wateja
Kuwa kwenye nafasi ni huduma, Wananchi wanapofika katika ofisi za umma wanapaswa kuhudumiwa kwa heshima, haraka na kwa ufanisi-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba
📍Isimani-Iringa
🗓️Juni 5, 2026
———————————
Amesema hayo wakati alipozungumza katika mkutano wa hadhara na wakazi wa Isimani, Mkoani...
HII NDIO LIST YA HUDUMA UTAKAZOPATA KWETU
HUDUMA KATIKA MASUALA YA AJIRA
1. KUJISAJILI AJIRAPORTAL
2. KUJISAJILI TAESA
3. KUJISAJILI KATIKA BANK PORTALS
4. KUANDAA APPLICATION LETTER
5. KU EDIT DOCUMENT MBALIMBALI
6. AVN
7. TRANSCRIPT
HUDUMA KATIKA MASUALA YA VYETI
1. KUPATA CHETI CHA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.