huduma

Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa huduma za afya kati ya China na Tanzania wawaletea wagonjwa uchunguzi unaotumia akili bandia

    Katika chumba cha exray katika Hospitali ya Lumumba Unguja, Zanzibar, mabadiliko ya kiteknolojia yanabadilisha namna madaktari wanavyochunguza magonjwa, kufanya maamuzi, na kuokoa maisha. Katika kisiwa hicho, mifumo ya akili bandia (AI) inawasaidia madaktari kutafsiri picha za exray, huku...
  2. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania MWANANCHI NJOMBE AFURAHISHWA NA HUDUMA YA e-ARDHI, APATA HATI NDANI YA SIKU MOJA

    NJOMBE Mwananchi kutoka Halmashauri ya Ludewa mkoani Njombe, Bw. Leonard Paul Ngimba, ameonesha kuridhishwa na matumizi ya mfumo wa e-Ardhi baada ya kufungua maombi ya hati ya umiliki wa ardhi kupitia mfumo huo na kukamilishiwa huduma ndani ya siku moja. Leonard ameyasema hayo leo, Septemba...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Responded NACTVET: Tunakabiliwa na changamoto ya kimtandao, Tunashughulikia kuhakikisha huduma zetu zote za kimtandao zinarejea

    Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) linapenda kuufahamisha umma, wadau, wanafunzi, vyuo na taasisi zote zinazohudumiwa na Baraza kuwa, kwa sasa linakabiliwa na changamoto ya kimtandao inayosababisha kutopatikana kwa huduma zinazotolewa kwa njia ya mtandao...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hali ya makato huduma za Miamala ya simu zinatisha, zinatutia umaskini, serikali iliangalie hili.

    M-pesa, Tigo-pesa, Airtel money, halopesa, ezypesa nk zinatisha. Makato ni makubwa mno, ni kweli huduma hizi za kutuma na kupokea pesa zinatusaidia Sana kuokoa muda na kufanya biashara kwa urahisi lakini kikwazo ni ukubwa wa kulipia huduma hizi ni tatizo. Ukipokea sh 10000 kwa mfano, ni...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi wa Eneo la Iduda, Mbeya tunateseka na tatizo la kukatika kwa Umeme

    Wananchi wa eneo la Iduda, Jiji la Mbeya, hususan maeneo yanayozunguka Shule za Msingi na Sekondari Iduda, tunakabiliwa na tatizo kubwa la kukatika kwa umeme mara kwa mara. Kwa wastani, tunapata umeme kwa takribani siku nne pekee kati ya siku saba za wiki. Tumekuwa tukipiga simu mara kwa mara...
  6. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Serikali yaboresha utoaji wa huduma ya ardhi kidijiti

    Serikali imesema matumizi ya kidijiti ya Mfumo wa e-Ardhi yamelenga kuleta mageuzi makubwa katika utoaji wa huduma za ardhi, ikiwa ni pamoja na kuondoa urasimu. Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Kilimanjaro, Rehema Mdee amesema hayo wakati akizungumza na Radio Kicheko Live kuhusu namna mifumo...
  7. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania MFUMO WA e-ARDHI UNARAHISISHA HUDUMA ZA ARDHI, UNAFUNGA MIANYA YA KERO ZA VIWANJA

    ★Wizara yaweka lengo la kufikisha mfumo huo katika mikoa yote ifikapo 2027 Serikali imeongeza kasi ya matumizi ya mfumo wa kidijiti wa e-Ardhi ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za ardhi na hati miliki, huku ikilenga kuufikisha mfumo huo katika mikoa yote nchini ifikapo mwaka 2027...
  8. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania MAPINDUZI YA KIDIJITI: Kilimanjaro Yawa Miongoni mwa Mikoa Inayotoa Huduma za Ardhi Kupitia e-Ardhi

    MOSHI, KILIMANJARO Mkoa wa Kilimanjaro umejiunga na mikoa mingine inayotoa huduma za ardhi kwa wananchi kwa njia ya kidijiti kupitia mfumo wa e-Ardhi ambao unarahisisha na kuharakisha huduma za sekta ya ardhi nchini. Akizungumza wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wataalamu wa sekta hiyo...
  9. K

    JamiiForums Tanzania NEST Yapandisha Gharama za Chakula Mitihani darasa la saba.

    Utaratibu wa NEST unatumia gharama kubwa kwa baadhi ya huduma. Mfano huduma ya chakula. Hili nimeliona kwenye uendeshaji wa mitihani ya darasa la saba. Shule zinalazimishwa kuagiza vyakula kupitia Nest badala ya kuandaa wenyewe. Hii imeongeza gharama mara mbili au zaidi. Mzabuni analeta chai...
  10. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania e-Ardhi: Serikali yaongeza ufanisi katika huduma za ardhi, Ruvuma

    Ruvuma Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeendelea kuchukua hatua za kisera na kiteknolojia kuboresha huduma za ardhi nchini, ambapo matumizi ya Mfumo wa e-Ardhi yameelezwa kuwa ni hatua muhimu katika kuongeza ufanisi, uwazi na usalama wa taarifa za ardhi...
  11. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania e-Ardhi kurahisisha huduma za Ardhi Njombe

    NJOMBE Mfumo wa kidijiti wa e-Ardhi unatarajiwa kuwa suluhisho la changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi katika upatikanaji huduma za ardhi, ikiwemo foleni, gharama na usumbufu wa kufuata huduma hizo katika ofisi za ardhi. Hayo yameelezwa na wataalamu wa ardhi mkoani Njombe waliopewa...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma Mbovu Shule ya Wasichana ya Dr. Tulia Mbeya

    Naomba nitoe kero yangu kwa mkuu wa shule na Makamu mkuu wa shule ya Sekondari ya Wasichana ya Dr. Tulia, Mbeya Kero; Hawahudumii watu kabisa (wageni wanaofika) ,watu wanakwenda shuleni kwa shida mbalimbali lakini wanaambiwa na mlinzi, 'wahusika bado hawajafika', lakini kiuhalisia wahusika wapo...
  13. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Vazi hili unaweza kuja nalo MOI na kupata huduma

  14. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania JKN (DAR) Airport Ijiimarishe Zaidi Kwenye Huduma za Wateja

    JKN Airport (DAR) bado ina mapundufu makubwa sana kwenye nyanya za kimataifa ila mimi binafsi ninakerwa na hizi tatu: (a) Kutokuwa na mfumio unform wa kuhudumia wateja. JKN sasa hivi hutoa upendela wa wazi wazi kwa wachina kuliko mteja yeyote. Mnajipanga kwenye foleni moja, halafu mchina aliyeko...
  15. MulegiJr

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Huduma katika Hospitali ya Bugando, kitengo cha macho

    Imekuwa ni kawaida Watanzania especially wenye mishe mishe mjini kutafuta Huduma za kibingwa siku ya Jumamosi, ila Kitengo cha Macho cha Bugando ni moja ya kitengo chenye Huduma mbovu kuliko kitengo chochote. Leo ni wiki ya pili nampeleka ndugu yangu ila Dkt. Anatakiwa kuingia Saa mbili imagine...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Huduma mbaya Tanzania: Ni Ukoloni wa akili, si uzembe wa mfanyakazi

    Utangulizi: Tulipoishia mwezi uliopita, Mwezi uliopita, kama mtaalamu na mzoefu wa utoaji huduma (Customer Experience/CX), niliorodhesha dalili za huduma mbaya Tanzania: vitu kama"chenji na pipi," simu zisizopokelewa, majibu kama"Boss/mkubwa hayupo," na hadithi ya mgeni aliyeambiwa aende...
  17. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Afrika Ijitegemee Huduma za Afya - PM Nchemba

    Nchi za Afrika zinapaswa kujenga uwezo wake wa ndani wa kugharamia, kusimamia na kuzalisha mahitaji muhimu ya huduma za afya, badala ya kutegemea misaada na mifumo ya nje kwa muda mrefu-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Arusha-Tanzania 🗓️Septemba 09, 2026 ———————————————- Ameyasema hayo wakati...
  18. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu atua Arusha, kufungua Mkutano wa Kimataifa wa Huduma za Afya ya Msingi

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo, Septemba 9, 2026, amewasili mkoani Arusha kwa ajili ya kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Huduma za Afya ya Msingi. Mkutano huo unafanyika katika Kituo cha Mikutano...
  19. H

    JamiiForums Tanzania DKT. MWIGULU: KILA KIJIJI KUWA NA SEKONDARI ▪️Aelekeza fedha zinazookolewa kwenye kubana matumizi zielekezwe kwenye huduma za wananchi.

    DKT. MWIGULU: KILA KIJIJI KUWA NA SEKONDARI ▪️Aelekeza fedha zinazookolewa kwenye kubana matumizi zielekezwe kwenye huduma za wananchi. ▪️Aagiza magari ya kubeba wagonjwa yawe na mafuta, aonya wanaowachangisha wagonjwa. ▪️Ampongeza Afisa Elimu aliyesimamia shule kuongoza kitaifa. WAZIRI...
  20. Pre International School

    JamiiForums Tanzania Tunafanya huduma ya tuition Majumbani kwa ustadi mkubwa

    Unatafuta mwalimu bora wa kumfundisha mtoto wako nyumbani? Elite Home Tuition tunakupatia walimu wenye sifa, uzoefu na uwezo wa kufundisha kulingana na mahitaji ya mwanafunzi. 🌍 TUNAFUNDISHA MITAALA MBALIMBALI: 🇹🇿 Tanzania National Curriculum 🇬🇧 Cambridge / British Curriculum 🌎 International...
Back
Top Bottom