HUDUMA YA MAOMBI

HUDUMA YA MAOMBI

Kijana huna dini? Je huna kanisa?
Mbona-Ameomba maelekezo ya kuipata huduma ya maombi na kiasi cha malipo? Elewa Hajaulizia dini wala makanisa.
Kuanzia lini maombezi yakawa ni pesa?
Kwani wewe hujasikia "sadaka ya kujimaliza"? Sadaka manake pesa au malipo.
Nenda kanisa lolote kaombewe nenda roman Catholic Kuna karismatic au nenda TAG kapate maombezi kijana mwenzangu
Kule Catholic hawauzi maombi. Sijui TAG lakini nina wasiwasi kama huwa wanauza.
 
Hahaha mzee hii maombi sasa ina pricing kama kwenye restaurant? Wengi wao hulipishwa kabla kama 'nia ya dhati' ila akikushawishi pesa nyingi sana kabla ya kitu chochote, jihadhari. Mimi nilishawahi kuona mtu akilipwa baada tu matokeo yakitokea, na kama hayajatokea anarudishiwa... sijui kama kuna warranty ya kiroho huko. 😂 bana
 
Habari ndugu zangu, naombeni msaada wa maoni na ushauri, eti utaratibu wa MAOMBI ya kiroho kama huduma ya matibabu unagharimu kiasi gani Cha fedha. Na je malipo Huwa ni kabla au baada ya huduma.
Natanguliza Shukran
Hii issue ya kununua huduma ya maombi imeanzishwa na nani? Mbona Yesu aliwaponya maelfu ya watu bila kuwacharge pesa? Hata wale maelfu aliowalisha mikate, walikula bure.
Utaliwa, mkuu. Shtuka
 
Shehe wa visomo atakuambia una jini kutoka zanziba ambalo lilieletwa na kupitia mwambao wa oman
Choxo wewe unawashwawashwa xubabaako, unatamani kupelekewa moto na kobaz, ukidhani wanapumulia mipunga kama wachungaji wenu
haya nenda kanifungulie uzi na vi id vyako vya kichoko
 
Habari ndugu zangu, naombeni msaada wa maoni na ushauri, eti utaratibu wa MAOMBI ya kiroho kama huduma ya matibabu unagharimu kiasi gani Cha fedha. Na je malipo Huwa ni kabla au baada ya huduma.
Natanguliza Shukran
Watafute wenzako 100 wenye shida ya maombi kama wewe, halafu mje kila mtu na laki 1. Nitawafanyia maombi ya kihistoria na shida zenu zote zitakwisha. Milango ya baraka itafongoka, mabalaa na mikosi vyote vitakwisha, ooooh halleluyaaa!!

Muhimu tu muwe na imani ya kuhamisha milima. Malipo ni kabla ya huduma.
 
Hii issue ya kununua huduma ya maombi imeanzishwa na nani?

Mbona Yesu aliwaponya maelfu ya watu bila kuwacharge pesa?
Wengi wa walioponywa walitumia gharama zao (Muda na Imani) kumfuata Yesu huko alikokuwako.
Hata wale maelfu aliowalisha mikate, walikula bure.
Hawakula bure. Kumbuka wale maelfu walimsikiliza Yesu(walihudhuria Mafunzo/Semina) kutwa nzima hadi wanafunzi wake wakamwomba awaruhusu watu waende wakajitafutie chakula kijijini... Ujue hiyo ni gharama
Utaliwa, mkuu. Shtuka
Huo ndo Ukweli. Mwache ajipeleke.
 
Back
Top Bottom