huduma

Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Wataalamu wa afya punguzeni semina, wananchi wapate huduma vituoni

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amewataka wataalamu wa afya nchini kupunguza semina ili kuwa na muda zaidi wa kutoa huduma bora za matibabu kwa wananchi. Waziri Ummy Mwalimu ameyasema hayo leo Julai 10, 2023 katika ziara yake Mkoani Simiyu wakati akizungumza na viongozi wa Mkoa huo chini ya Mkuu...
  2. JamiiForums Tanzania Je unahitaji Masoko kwa Ajili ya Bidhaa au Huduma Yako

    Habari za Wakati Huu? BIASHARA YAKO INAHANGAIKA KUTAFUTA WATEJA? Je wewe ni mtoa huduma,muagizaji au mzalishaji wa bidhaa zenye Ubora.Je unahitaji kufikia Soko Kubwa kwa Gharama Nafuu?Je unahitaji Timu ya Masoko ambayo imejizatiti kwa ajili ya kuhakikisha bidhaa yako inafika sokoni kwa wakati na...
  3. JamiiForums Tanzania Mdau huduma ya vyoo vya Wanawake SabaSaba ya Dar ni mbaya, vyoo ni vichafu

    Mdau ameshusha andiko lake hili hapa, tulisome tunaweza kupata kitu au ikiwezekana wahusika wachukue hatua... Japokuwa maonesho yanaelekea mwishoni lakini si vibaya tukipaza sauti changamoto ya huduma mbovu ya vyoo vinavyotumiwa na Wanawake ndani ya maonesho ya Viwanja vya SabaSaba, kwa ufupi...
  4. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Hali ya kutokuwepo, kutokufahamika au/na kutokutumika kwa mkataba wa huduma kwa wateja kwenye taasisi nyingi inavyochochea rushwa na kutokuwajibika

    Mkataba wa Huduma kwa Wateja ni nyaraka muhimu inayoweka bayana huduma zote zinazotolewa na Taasisi husika, muda unaotumika kutoa huduma hizo pamoja na viwango vya huduma vinavyopaswa kutolewa kwa wananchi. Mkataba wa Huduma kwa wateja ndio nyaraka inayoeleza kwa kina aina zote za huduma...
  5. JamiiForums Tanzania Kahama: Akamatwa kwa kujiunganishia huduma ya maji

    IKIWA imepita siku kadhaa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira mjini Kahama (KUWASA) kukamata mwizi wa huduma ya maji, kwa mara nyingine imemkata mkazi wa mtaa wa Mwime Manispaa ya Kahama Hamisi Omary kwa tuhuma ya kujiunganishia maji kinyemela na kusababisha mamlaka hiyo kukosa mapato...
  6. JamiiForums Tanzania SoC03 Njia za kuboresha Huduma za Afya katika Maeneo ya Vijijini na Yaliyoko Mbali nchini Tanzania

    Upatikanaji wa huduma bora za afya ni haki ya kimsingi ya binadamu inayopaswa kuwa ipo kwa kila mtu, bila kujali eneo lao la kijiografia. Hata hivyo, katika maeneo mengi ya vijijini na yaliyoko mbali nchini Tanzania, wakazi wanakabiliwa na changamoto kubwa katika kupata huduma muhimu za afya...
  7. JamiiForums Tanzania SoC03 Benki waweke huduma ya vyoo kwa wateja

    Karibu Benki zote hazina huduma ya vyoo kwa wateja hapa nchini, tunafahamu Benk ni kwajili ya kuweka hela na kutoa hela lakini ofisi nyingi vyoo ni vya watumishi tuu, sasa kama mabenki wateja ndiyo washirika wao kwanini vyoo vinakuwa ni tatizo kwao? Je, wateja wao hawana mahitaji ya kwenda...
  8. JamiiForums Tanzania SoC03 Tukiondoa urasimu katika utoaji wa huduma za umma tutapata utawala bora

    DIBAJI Tanzania ni nchi yenye historia kubwa na ya muda mrefu ya urasimu ambao umeanza toka kipindi cha ukoloni. Ukiangalia urasimu huu ulipandikizwa na wakoloni ili iwe rahisi kuitawala na kuendesha nchi na kuchukua wanavyovitaka kwa kipindi hicho. Urasimu umedumu toka kipindi hicho na...
  9. JamiiForums Tanzania SoC03 Uwazi katika utoaji huduma kwa shule za serikali

    ANDIKO LA MAONI Maendeleo ni mchakato unaohusisha ushirikiano baina ya wananchi, haiwezekani wananchi wote wakafanya kazi zote kwa pamoja katika eneo moja .Ni lazima kuwe na mgawanyiko wa kazi ili kuleta tija katika utendaji na kuzia mwingiliano wa majukumu. Mgawanyiko wa majukumu huainisha...
  10. JamiiForums Tanzania SoC03 National Suggestion Box: Mfumo jumuishi wa kutoa maoni kidijitali utakaoimarisha ubora wa huduma na uwajibikaji katika sekta zote

    Ili kuboresha huduma zitolewazo katika taasisi, maoni ya wapokea huduma na wananchi kwa ujumla ni ya muhimu sana kwa kuwa kupitia maoni hayo taasisi hutatua changamoto mbalimbali zinazojitokeza katika mchakato wa utoaji huduma. Ili kulitimiza hilo, taasisi zimekuwa zikitumia njia mbalimbali...
  11. JamiiForums Tanzania SoC03 Kuimarisha Huduma za Usafi

    Utangulizi: Sekta ya huduma za usafi ni muhimu sana katika kukuza afya na ustawi wa jamii. Hata hivyo, nchini Tanzania, kuna changamoto nyingi linapokuja suala la kupata huduma bora za usafi. Kuna hitaji la kuwa na jukwaa la kisasa na lenye ufanisi ambalo litawawezesha wateja kuwasiliana na...
  12. JamiiForums Tanzania Usanifu wa Kituo cha huduma za pamoja mipakani Manyovu Kigoma wakamilika

    Serikali imeeleza kuwa imekamilisha usanifu wa Kituo cha Huduma za Pamoja Mpakani (One Stop Boarder Post- OSBP) Manyovu kilichopo mkoani Kigoma na ujenzi upo kwenye taratibu za awali za kumpata mkandarasi. Hayo yameelezwa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Hamad...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu utaratibu wa utoaji huduma TANESCO kwetu tusioelewa

    Habarini wadau? Nimewauliza TANESCO kwenye thread yao hawajanijibu nimekuja kuomba msaada huku. Je, surveyor kutoka TANESCO analipwa na mteja anayehitaji kuunganishiwa umeme ndo aje afanye survey nyumbani kwako au ni bure?? Nimeuliza hivi maana mimi nimeambia nitoe pesa ili mtoa huduma hiyo...
  14. K

    JamiiForums Tanzania ATCL na Precision zafulia kutoa huduma kwani hawana ndege za kutosha

    Naona makampuni yote mawili hayana trip za uhakika kama zamani hasa Kwa Dar-Mwanza ambapo route zimepunguza kutoka 5 kwa kila ndege na kubakia tatu tena nyingi zikiwa ni za usiku Tu.Wakati huo huo wameondoa trip za Tabora, Mpanda etc. Hii inaonyesha zimefulia.Je Shida nini wakati Atcl...
  15. G

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mabadiliko ya Sheria ya Ununuzi wa Bidhaa na Huduma za Serikali Yanavyochochea Uwajibikaji na Utawala Bora

    Sheria za ununuzi wa bidhaa na huduma za serikali zimekuwa na athari kubwa katika kuchochea uwajibikaji na utawala bora nchini Tanzania. Kabla ya Sheria ya Ununuzi ya Umma (2004) na Sheria ya Manunuzi ya Bidhaa na Huduma za Kampuni za Umma (2017), palikuwa na ukosefu wa uwazi na uwajibikaji wa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Swali: Rostam Azizi anafanya biashara ya kutoa huduma kwenye bandari. Ni Bandari zipi kwa mnaojua?

    Kwenye ukurasa wa Wikipedia unaotoa wasifu wa Rostam Aziz (Rostam Aziz - Wikipedia) unaonyesha moja ya sehemu za biashara na uwekezaji wake ni kwenye huduma za kibandari (port facilities and service). Kwa wanaojua bandari gani anahudumia naomba tu kujua ili kupata ufahamu. Sio kwamba nataka...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Gold Mafia: Huduma ya utakatishaji fedha – Uchunguzi Uliofanywa na Al Jazeera

    Waandishi wa habari undercover wanajifanya kuwa majambazi wenye dola bilioni moja za pesa chafu zinazohitaji kusafishwa. Wanapata upenyo kwa wanachama wa Afrika wa Gold Mafia na kurekodi mikutano ya siri na viongozi wa uhalifu. Balozi Mkubwa wa Afrika anatoa huduma ya kutakatisha pesa chafu...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mtei Express Babati - Dar mna huduma mbovu sana zisizoendana na nauli

    Hili basi lilipoanza huduma ya Luxury mara ya kwanza lilikuwa vizuri ila kadri siku zilivyoenda huduma zimegeuka kuwa za hovyo sijui tatizo ni nini, Usimamizi mbovu no customer care at all imagine na hii ni Luxury na imeidhinishwa kama gari la level ya Luxury na wanatambulika LATRA kama Luxury...
  19. JamiiForums Tanzania Huduma gani ya Virtual US address bora for shopping?

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema, ni huduma gani ambayo inatoa virtual US addresa bora na affordable for package consolidation kwa ajili ya shopping? Nataka nikinunua vitu amazon viende huko zikifika package zote ndio waziship kuja kwangu. Na je, wakati wa shipping mimi ndio nachagua...
  20. JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji: Suluhisho la Changamoto za Sekta ya Afya na Ubora wa Huduma za Afya

    UWAJIBIKAJI: SULUHISHO LA CHANGAMOTO ZA SEKTA YA AFYA NA UBORA WA HUDUMA ZA AFYA Imeandikwa na: MwlRCT I. Utangulizi Je, unajua kuwa uwajibikaji unaweza kuboresha sekta ya afya nchini Tanzania? Uwajibikaji una faida nyingi, kama vile kuongeza uwazi, ufanisi, usalama, uaminifu, ushirikiano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…