Karibu Dr'sonline polyclinic
Online Clinic – Huduma za Afya Mtandaoni, Haraka na Salama
Karibu kwenye kliniki ya kisasa ya mtandaoni inayokupa huduma bora za afya ukiwa popote ulipo. Kupitia simu au mtandao, unapata ushauri wa kitabibu, vipimo, na dawa bila kulazimika kufika hospitalini...