Heshima sana wanajamvi,
Bank ya NMB ilifungua tawi (Branch) kwaajili ya wafanyabiashara (makampuni).
Jambo la kusikitisha siku hizo walimu,vibarua washona viatu,wauza ushanga,wauza mbege . ... wamejazana katika tawi hili ambalo lilikusudiwa kutoa huduma kwa makampuni.
Foleni zimekuwa kero...