IGwe!
Moja ya vizazi vya hovyo kuzaliwa nchi hii basi ni kizazi cha miaka ya 80's.
Hiki kizazi kimejaa kina baba na kina mama wabinafsi wa kupindukia, waoga wote wako humu, machawa wote utawakuta humu, kama ulimsikia jiwe akizungumzia watanzania wanyonge basi alikua anazungumzia hili kundi! ni...