hotuba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania MBUNGE INNOCENT KALOGERIS, Mbunge wa Jimbo la Morogoro Vijijini Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Maji kwa Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025 Bungen

    MBUNGE INNOCENT KALOGERIS, Mbunge wa Jimbo la Morogoro Vijijini Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Maji kwa Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025 Bungeni Jijini Dodoma. "Nampongeza Mheshimiwa Rais kwa kazi kubwa anayoifanya kwa kumtua Mama Ndoo kichwani, hii ilikuwa ni ajenda yake alipokuwa...
  2. JamiiForums Tanzania MBUNGE DKT. FLORENCE SAMIZI, Mbunge wa Muhambwe Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Maji, Mwaka wa Fedha 2024-2025 Bungeni, Dodoma.

    MBUNGE DKT. FLORENCE SAMIZI, Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Maji katika Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025 Bungeni Jijini Dodoma. "Nampongeza Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa jinsi anavyofanya kazi kwa bidii kuhakikisha azma ya kumtua Mama Ndoo...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro Esther Malleko akichangia hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi Bungeni Jijini Dodoma

    "Nampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa namna alivyoweka kipaumbele katika kuboresha na kuendeleza Sekta ya Uchukuzi. Ameboresha miundombinu na huduma za Uchukuzi zimeboreshwa sana. Nampongeza Waziri wa Uchukuzi, Naibu Waziri na Watendaji wote wa Wizara ya Uchukuzi kwa kazi nzuri wanayoifanya"...
  4. JamiiForums Tanzania Mbunge Kwagilwa Nhamanilo Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi Bungeni Jijini Dodoma

    MBUNGE KWAGILWA NHAMANILO Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi Bungeni Jijini Dodoma "Nampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwasababu anakwenda kuweka historia kubwa Tanzania kama Rais aliyefanya Mapinduzi makubwa kwenye eneo la Reli. Serikali inatarajia kutengeneza mtandao wa Reli...
  5. JamiiForums Tanzania Hotuba Hii ya Hayati Rais Magufuli imenitoa Machozi

    Nakuombea Kwa Mungu wetu wa mbinguni akulaze mahala pema peponi kiongozi wetu. Kwa hakika pengo lako halitasahaulika kamwe miongoni mwetu watanzania. Tulikupenda sana lakini kwa mapenzi yake Mwenyezi Mungu aliamua kukuchukua. Endelea kupumzika kwa amani Kiongozi wetu mpendwa.
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kamati ya maadili ya CCM yamuonya Makonda, yadaiwa baada ya ile hotuba yake matusi juu ya Rais wetu yalizidi kuzunguka mitandaoni maradufu

    Kwenye korido za makao makuu ya CCM Dodomana Lumumba,kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka . Hiko hivi,watu wengi hawakuwawakijua kuwa mama yetu anatukanwa huko mitandaoni lakini baada ya ile hotuba watu wengi walianza kufuatilia ,hayo matusi dhidi ya mama huko...
  7. JamiiForums Tanzania Nukuu: Hotuba ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Taifa kuhusu Miaka 60 ya Muungano

    Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano Hotuba ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Taifa kuhusu Miaka 60 ya Muungano. 25 Aprili, 2024. Dar es Salaam.
  8. JamiiForums Tanzania Nicodemas Manganga Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Nishati ya Tsh. 1.8 kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025.

    "Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Dotto Mashaka Biteko tangu umeteuliwa malalamiko ya Umeme yanapungua. Nakupongeza sana! Mvua zilizonyesha Jimbo la Mbogwe watu wameporomokewa na majumba, wengine wamelazwa Hospitali ya Masumbwe, Nitoe pole kwa Wananchi Mungu awajalie" "Wilaya...
  9. JamiiForums Tanzania Greatest Monologue | Hotuba | Risala Bora katika Filamu

    Kipi kinafanya filamu iwe bora? Majibu ya swali hili hutegemea mtu na mtu. Wengi tutazungumza kuhusu storyline, casting, cinematography, background score (mfano, soundtracks), dialogue, message n.k. Pamoja na hayo, ikitokea filamu imechagizwa na monologue bora au kwa lugha nyepesi speech...
  10. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Freeman Mbowe kwenye Msiba wa Sabodo imefichua mengi ambayo tulifichwa

    Wema wa Sabodo si huu kiduchu wa kusaidia vyama vya siasa nchini Tanzania , Huyu mtu kifo chake ni pigo kuliko hata mapigo mnayoyajua , Kuna haja ya Hotuba ile ya Mbowe kuletwa hapa JF kwa njia ya Video (Naitafuta) , Ifike wakati sasa Bendera ziwe zinapepea nusu mlingoti kwa baadhi ya...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Viongozi wengi wa kisiasa wanapost picha wakiwa na Hayati Magufuli lakini wanahofia kuposti hotuba zake, au zinawachoma?

    Viongozi wote nilipopitia post zao kwa miaka mitatu tangu atutoke Hayati Magufuli wamejikita kutuma picha zake na siyo hotuba zake. Hali hii ni tofauti na kumbukizi ya Nyerere na Mkapa ambapo sauti yake usikika zaidi. Kifalsafa nini chanzo cha kutopostiwa kwa hotuba zake mitandaoni kwa wingi...
  12. JamiiForums Tanzania Zipo wapi hotuba za mzee Mwinyi akiwa Rais?

    Nimejitahidi kutafuta katika vyanzo mbalimbali sijazipata. Nimesikiliza radio na kuangalia TV mbalimbali katika kipindi hiki cha maombolezo yake lakini pia sijabahatika kuona hotuba yake akiwa Rais. Je hotuba zake zipo wapi? Mbona za wengine zipo?
  13. JamiiForums Tanzania Hotuba za Chadema ziwe za kutia hamasa na hasira kwa wasikilizaji wake dhidi ya watawala

    Mikutano ya hadhara kwa vyama ni njia mojawapo ya kufikisha ujumbe unaokusudiwa. Lakini pia hutumika kuleta hamasa au hasira/mori. Mnakumbuka Mtikila na Magabachori pale Jangwani. Nawashauri sasa Chadema kugeuza approach. Katika wasemaji wao wachanganye pia watu wa aina ya Mwabukusi, au Askofu...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Nasubiri kwa hamu hotuba ya Harrison Mwakyembe aliyetumika kumchafua Lowassa kwenye sakata la Richmond

    Wanyakyusa wamefanya mengi ya kishujaa nchi hii yanayokumbukwa. Lakini Dr. Harrison Mwakyembe alifanya jambo ambalo mpk kesho linashikilia rekodi ya ushubwada. Alikubali kutumika na maadui/wasaliti wa Lowasa kufanya kazi haramu ya kumuangushia zigo la ufisadi kisha kumchafua. Na mhe. Rafael...
  15. JamiiForums Tanzania Kikwete: Lowassa ameacha alama zitakazokumbukwa daima

    Rais mstaafu Jakaya Kikwete kwenye shughuli ya kuaga mwili wa hayati Edward Lowassa kwenye viwanja vya Karimjee, “TUMSHUKURU Mwenyezi Mungu kwa muda aliotupatia wa kuishi na kuhudumiwa na ndugu Edward Ngoyai Lowassa, wakati wa uhai wake ametoa mchango mkubwa kwa maendeleo ya nchi yetu, na...
  16. JamiiForums Tanzania Kiongozi yupi huwa akitoa hotuba zake zina tija?

    Hello wajamvi Mko salama kabisa. Nimeitoa mahali. Tuchambue hotuba za viongozi wetu. Leo ni yupi huwa akitoa hotuba anakuwa na tija? Mimi huyuu Waziri wa Habari na Teknolojia nawazagaa sana. Karibuni sema wakoo
  17. M

    JamiiForums Tanzania Updates: Hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kwa Taifa

    Ni asubuhi Tulivu yenye mvua kwa maeneo mengi katika Jiji la DSM Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema Freeman Mbowe anazungumza na Taifa muda mchache ujao. Ni siku ya Kihistoria kwani Feeman Mbowe anazungumza na Taifa kupitia makao makuu mapya ya chama eneo la Mikocheni Jijini DSM. Ni makao makuu...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia kwa hotuba fupi inayotoa mwanga kuhusu maono ya serikali yako kwa mwaka, 2024

    Kwa mwaka 2024 kuna mambo ambayo serikali imejiwekea kuyafanyia kazi kwa lengo la kuboresha huduma lakini pia kukuza uchumi. Kujenga miundombinu ya elimu na afya ni lengo la kila mwananchi. Lakini pia kufungua njia ya uchumi kwa kuanza kutoa huduma kwa SGR 2024 sambamba na kudhibiti kukati kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Februari na Machi, 2024, Mgao wa umeme utaisha Nchini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa salaam za mwaka mpya leo tarehe 31 Desemba, 2023. https://www.youtube.com/live/Twr-ddr0U9Y?si=iso-QsJ01OP-z4sz SUALA LA UMEME NCHINI Rais Samia Suluhu Hassan, amesema changamoto ya upungufu wa umeme unaosababisha mgawo...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia kutoa Hotuba ya mwisho wa mwaka 2023 kwa Wananchi, saa 3:00 usiku

    Leo saa tatu usiku kutakuwa na hotuba ya Mh. Rais Samia. Hotuba ya kufunga mwaka
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…