Plot4Sale Nauza kiwanja plot no 157 Medeli East-Dodoma, ukubwa sqm 716 karibu na BOT, Morena Hotel, bei 90 milioni

ryan riz

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
422
675
Njoo upate eneo la biashara lenye magorofa ya kutosha, haina udalali mmiliki ni mimi mwenyewe.

Hati ipo

Unaweza kwenda jiji ukamchukua surveyor mwenyewe mkaenda nae hata bila kuniambia ukiridhika nipigie namba 0753477905 tufanye biashara.

Napakana na bustan jafo waziri(inapita katikat ya magorofa kuleta madhar nzur na ghorofa moja kubwaaaa..)

NB: usisahau kiwanja namba 25 ukubwa sqm 716 na hakina udalali wala chenga chenga, mmiliki mwenyewe.

20220901_101533.jpg
 
Mzigo huo wadau...hauna kona kona..niliwapa wadau wanauza viwanja wa real estate,shida yao wanakiongeza sana bei mpaka kinashindwa kuuzika,wanasema nauza bei ndogo sana sehemu ile na mimi nashida zangu siwez kuwasubiria ndio maana nimeingia front mwenyew kukitangaza..
 
Dodoma bei imekua kubwa kama NYC. Kweli Bongo kumeendelea
Lile ni eneo la biashara sio makazi,medeli ndio kuna hotel ya morena na nyingine nyingi tu,ndio kwenye maofisi ya serikali ukiwa unakuja dodoma iko upande km unaenda udom...
Eneo hilo ndio kuna ofisi za ccm zilizotumika kumchinjia lowasa 2015

Uzuri ukija ukapaona mwenyew utaniona mimi bwege kupauza
 
Lakini mkuu,
BOT na Morena direction zipo tofauti kabisa..
Ama ni BOT ipi?
 
Mzigo huo wadau...hauna kona kona..niliwapa wadau wanauza viwanja wa real estate,shida yao wanakiongeza sana bei mpaka kinashindwa kuuzika,wanasema nauza bei ndogo sana sehemu ile na mimi nashida zangu siwez kuwasubiria ndio maana nimeingia front mwenyew kukitangaza..
Km vp wakupe hiyo 90m ...then wao wauze kwa bei yao ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lile ni eneo la biashara sio makazi,medeli ndio kuna hotel ya morena na nyingine nyingi tu,ndio kwenye maofisi ya serikali ukiwa unakuja dodoma iko upande km unaenda udom...
Eneo hilo ndio kuna ofisi za ccm zilizotumika kumchinjia lowasa 2015

Uzuri ukija ukapaona mwenyew utaniona mimi bwege kupauza
Zingatia ukubwa pia
 
Lakini mkuu,
BOT na Morena direction zipo tofauti kabisa..
Ama ni BOT ipi?
Hiyo yote ni medeli ndugu tofauti ni block angalia raman hapo,yaan me nlichofanya ni mtu kuwa na idea kiwanja kipo maeneo gani..sijui km umenipata
 
Back
Top Bottom