hotel

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nyaraka za Siri za Epstein: Kisiwa cha Mnemba kama 'Uchochoro' nchini Tanzania

    Februari 4, 2026 DAR ES SALAAM — Kwa muda mrefu, yamekuwepo maneno ya chini kwa chini, tetesi zilizopuuzwa kama umbea wa vijiweni. Lakini sasa, swali sio tena kama Tanzania inahusika kwenye mtandao wa uhalifu wa ngono wa Jeffrey Epstein, bali ni mizizi hiyo imechimba kirefu kiasi gani...
  2. radhiya

    JamiiForums Tanzania Hotel For Sale Safari Inn

    Hotel For Sale Safari Inn (3 star). Location: Kisutu, Dar es Salaam. Features: 4 Floors, 44 rooms (All self contained), parking available, Stand by Generator, No Lift. Size: SQM 500. Price: USD 1 Million. Negotiable. Document: Title Deed. For further details or to arrange a viewing, Contacts...
  3. kingjohn255

    JamiiForums Tanzania Wanahitajika wawili waliosomea ‘hotel management’

    Ndugu, wanatakiwa vijana wawili waliosoma Hotel Management Au House Keeping na wenye vyeti vya fani hizo kutoka chuo chochote hapa nchini Tuma maombi yako ukiambatanisha CV na Copy ya vyeti vyako kwenda email ifuatayo joexgroup@yahoo.com atakaekidhi vigezo wa kwanza ndio atapigiwa simu kwa...
  4. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania HILTON HOTEL RENTAL

    habari karibu UJIUNGE HILTON HOTEL RENTAL (HHR) Hii ni platform ya kufanya uwekezaji ambapo inakupa fursa ya pesa mtandaoni Wewe unachopaswa ni kufanya hivi kujisajili kupitia kiungo au link https://hiltonhotelrental.com/register?pId=KOHLYC Kampuni inakupa wewe bonus ya kujiunga ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Arusha: Hii kweli ni Hotel ya Abdul? Details zake zikoje?

    Waandamanaji wanachoongea hapa kinafikirisha:
  6. Matovu Godfrey

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Bobi Wine - Hotel under siege, UG police breaking in

    BREAKING: Police is now breaking into the hotel where Bobi wine is residing in Lira. The receptionist has been arrested and they’re knocking on every room. They’re commanded by FFUs Mukiibi with quite a number of plain clothed operatives & their car number plates are covered...
  7. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Wafuasi wa Bobi wine wamiminika nje ya Hotel aliyofikia

    Kundi kubwa la wafuasi wa mgombea Urais wa Uganda kupitia chama cha National Unit Platform (NUP), Robert Kyagulanyi Ssentamu (Bobi Wine) wamemiminika nje ya hoteli aliyofikia katika mji wa Busia asubuhi ya leo huku mgombea huyo akijitokeza roshani mwa jengo hilo na kuwasalimu. Kupitia chapisho...
  8. radhiya

    JamiiForums Tanzania Hotel for Sale at Kisutu

    Hotel For Sale (3 star). Location: Kisutu, Dar es Salaam. Features: 4 Floors, 44 rooms (All self contained), parking available, Stand by Generator, No Lift. Size: SQM 500. Price: USD 1 Million. Negotiable. Document: Title Deed. For further details or to arrange a viewing, Contacts: 0784...
  9. amarina

    JamiiForums Tanzania Naomba anayejua hotel ya nyota 10 Dar msaada

    Nina mgeni wangu ataingia jijini mwezi ujao msaada wenu hotel ya hadhi ya 10 star
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli gani mabinti wengi wazuri wa bar, hotel na benki hupata kazi hizo baada ya hongo ya ngono?

    Ni kweli mameneja/wakurugenzi wengi wa bar, hotel na benki hutaka kupewa ngono kwanza na mabinti kabla ya kuwapa kazi?
  11. radhiya

    JamiiForums Tanzania Hotel for Sale at Kisutu

    Hotel For Sale (3 star). Location: Kisutu, Dar es Salaam. Features: 4 Floors, 44 rooms (All self contained), parking available, Stand by Generator, No Lift. Size: SQM 500. Price: USD 1 Million. Negotiable. Document: Title Deed. For further details or to arrange a viewing, Contacts: 0784...
  12. Strong and Fearless

    JamiiForums Tanzania Nime share a hotel room na rafiki yangu wa kiume

    Kuna my friend wa kazini mwanaume tulikua na training mkoani so akasema tupunguze gharama tu share hotel room, nikasema it’s fine, Basi kufika uko hotelini akaanza mambo ya ajabu akaenda kuoga, katoka hajavaa nguo ikabidi mimi nijifanye nipo busy naangalia movie, Aya akapanda kitandani kulala...
  13. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Nani karuhusu hizi kelele za club nyuma ya Golden Rose hotel Arusha.. Hatumwogopi Mungu?

    KWAKO MKUU WA MKOA WA ARUSHA MKURG WA HALMASHAURI NA WENGINEOOO NILIKUJA KWENYE SEMINA MOJA ARUSHA NIMRONDOKA LEOOPOO ILA NILIYOYAONA ARUSHA YA ASIKITISHA SANAA SANAAAA KUNA CLUB IKO NYUMA YA GOLDEN ROSE HOTEL.... HII SEHEMU JTATU ASBH MPAKA SAA MBILI N MAKELELE YA MZIKI FUJO ZA WANAWAKE...
  14. radhiya

    JamiiForums Tanzania Hotel available for Sale

    Hotel For Sale (3 star). Location: Kisutu, Dar es Salaam. Features: 4 Floors, 44 rooms (All self contained), parking available, Stand by Generator, No Lift. Size: SQM 500. Price: USD 1 Million. Negotiable. Document: Title Deed. For further details or to arrange a viewing, Contacts: 0784...
  15. Dalali wa Mjini

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa Hotel, Hospital,kituo Cha mafuta,Yard ya Magari na Apartments.Ubungo Kibo

    Uwekezaji Uwekezaji Uwekezaji. Nakupa nyumba Za kuvunja zipo nyumba nne UBUNGO KIBO Nyumba 2 zinaangalia Morogoro Road 2 zipo nyuma. Hizi nyumba Ni Za familia moja wanauza Kwa pamoja. Hati za makazi. Hakuna mgogoro wowote ule. Bei ni Milion 900 mazungumzo yapo Kwa waanafamilia. Nipigie simu...
  16. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania CHALIE HOTEL ECHO SIERA SIERA

    Wazalendo wa kweli wa taifa hili hawawezikukaa kimya kuona misingi inavunjwa. Ni lazima kazi ifanyike taifa lirudi kwenye misingi. Siasa isivuke mipaka ya uzalendo na walinda iyo mipaka wapo na tunaamini kazi yenu. Taratibu zifuatwe akipita aongoze asipopita apumzike maana taifa ni kubwa kuliko...
  17. radhiya

    JamiiForums Tanzania Hotel For Sale

    Hotel For Sale (3 star) Location: Kisutu, Dar es Salaam. Features: 4 Floors, 44 rooms (All self contained), parking available, Stand by Generator, No Lift. Size: SQM 500. Price: USD 1 Million. Negotiable. Document: Title Deed. For further details or to arrange a viewing, contact us. A small...
  18. Hharyson

    JamiiForums Tanzania Simple hotel design for airbnb ,on 20x25m plot call us design and build services +255624004650

    AIRBNB HOTEL DESIGN ,7UNITS EACH HAVE ROOM, KITCHEN,SPECIOUS BATHROOM AND PRIVATE BALCONY FIT ON PLOT OF 20X25M PLOT CALL US FOR DESIGN AND BUILD SERVICES +255624004650
  19. stan john

    JamiiForums Tanzania Msaada Hotel na lodge za manzese ya Bei nafuu 15-20

    Naomba msaada kwa anayejua ntaweza kupata hotel au lodge ya Bei 15 hapa maeneo ya manzese anitajie Nina uhitaji mkubwa Logde au hotel inayoanzia chumba 15 , naomba anitajie Au naomba mnitajie Bei za hotel na lodge manzese
  20. P

    JamiiForums Tanzania Akinisamehe nitalala five stars hotel kwa wiki kujipooza

    Niko bar hapa wanapiga kuachwa! kuachwa! Kuachwa ni shughuli pevu. Miezi kadhaa tulikuwa na mipango ya kutafuta eneo la kupumzika kwa muda kidogo. Tuliangalia maeneo mengi mazuri il ndio hivyo nimekula za uso. Aisee huyu mrembo akisema turudiane, lazima niende sehemu sijawahi kwenda ili tuanze...
Back
Top Bottom