hotel

  1. w0rM

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Taarifa tunazoandika kwenye Madaftari ya Lodge, Hotel au Ofisi zinatumiwa na kutunzwa vipi?

    Katika miaka ya hivi karibuni, Ulinzi wa Taarifa Binafsi ni muhimu sana maana taarifa za mtu zinaweza kutumika vibaya muda wowote bila ya muhusika kujua. Leo nimewaza sana zile Hotel, Lodge, au Guest ambazo tunaenda na kuambiwa tuandike taarifa zetu kwenye daftari Mapokezi. Hivi zile taarifa...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Serikali itwae ardhi kubwa kigamboni iwe na hotel za kisasa na kumbi kubwa za mikutano, itasaidia kuondoa kero ya kufunga barabara

    Kigamboni ni eneo potential ambalo kama serikali ikiamua kutengeneza conference facility ya kimataifa, itaondoa kero ya kufanyia mikutano katikati ya jiji na kuathiri shughuli za kijamii. Kigamboni ni mini Zanzibar na I na utulivu mkubwa na beach safi
  3. britanicca

    JamiiForums Tanzania Dunian sijawai kuona mji wa kipuuzi Kama Phuket unazunguka hotel zaidi ya 200 zote full?

    Mwezi Jana nilikuwa phuket kwa kazi fulan sehemu inaitwa Patong! Kilichosaidia nili book mapema Agoda lengo nikifika nibadili hotel maana kwa siku moja mtu unatozwa baht 12,000 Sawa na usd 500$ , asubuhi nikachukua taxi tukazunguka kila hotel kutafta cheap ! Nazo Nikaambiwa kwamba hata hiyo...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Hotel zinazohudumia abiria haswa usiku zingatieni usafi

    Hivi karibuni nilisafiri kutoka Mkoa flani nikalala Singida, kesho yake nikasafiri usiku kwenda Dar. Tulipofika Dodoma majira ya saa 5 usiku tukashuka kwenye moja ya hotel kwa ajili ya huduma za kijamii. Aisee mazingira ya maliwato ni mabovu. Kuchafu na maji hakuna kabisa. Nikajiuliza ni day...
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania NSSF hawajakoma? Baada ya kujenga maghorofa ya Dege Kigamboni, yakadoda, Ubungo Plaza, Hoteli Mwanza, sasa wanajenga hotel ya nyota tano Dodoma.

    Katikati ya tetesi za mapendekezo ya watumishi kustaafu wakiwa na miaka 65 ili kuiokoa mifuko hii ya hifadhi ya jamii., mifuko hii ambayo kimsingi ni mahututi, NSSF wanakuja na hoja ya kujenga hotel ya nyota tano Dodoma. Ni ujinga mwingine.
  6. The last don

    JamiiForums Tanzania Chumba, Sebule kubwa ya kisasa na Parking ya gari inapangishwa Mabibo Makuburi karibu na Samaria Hotel

    Chumba na sebule kubwa ya kisasa katika neighbourhood yenye amani inapangishwa kwa bei ya Tsh 150k kwa mwezi. Mabibo makuburi nyuma tu na ilipo Samaria Hotel Eneo lina usalama wa kutosha ndani ya geti Mawasiliano kuja kutazama bure: 0621973591 Kodi ni malipo ya miezi sita Hela ya udalali kama...
  7. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Nimepanda miti minne, mitatu mbele ya hotel ya Kebby's na mmoja ilipokuwa shule ya Mwenge Open Academy (MOA)

    Jana tarehe 17/12/2024 nilipanda miti minne mtaa wa Mwenge Kijijini. Nimepanda jumla ya miti minne, mmoja mbele ya ilipokuwa shule ya Mwenge Open Academy (MOA), na mingine mitatu nimepanda mbele ya Kebby's Hotel. NI utamaduni wangu wa kupanda miti kandokando ya barabara ili kuwafanya waendao...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tunauza Digital Kids Watch

    Kids digital watches Zinapatikana kwa bei ya 5,000/= tu Tupigie au whatsup 0762619116 Tupo manzese tiptop near JM hotel
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini kitimoto kinauzwa Bar na Hotel kubwa tu? Ni marufuku mama ntilie na wauza chips kuuza kitimoto?

    Hivi kitimoto ni kwa ajili ya walevi na wenye kipato kikubwa tu? Kwa nini hii nyama inauziwa baa na hotel kubwa tu halafu iliyoiva pia inapimwa kuanzia nusu kilo tu? Kwa nini hakuna mama ntilie wanaouza kitimoto kama mboga ya ugali na wali?? Hatuoni huu ni unyanyapaa kwa watu wasioweza kuagiza...
  10. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa nauza mgahawa sasa nina hotel mbili

    Kwa hapa nilipo nashukuru, nimefanya kazi ya kupika na kuuza chakula hapa mjini kwa miaka 10 sasa tangu mume wangu alipoamua kuniacha na kuoa mwanamke mwingine. Mume wangu aliponiacha nilipitia hali ngumu ya maisha haswa kulipa kodi, kuwapatia watoto chakula, kuwavalisha na huduma nyingi ambazo...
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Revealed: How Rigathi Gachagua’s Hotel Room Was Bugged

    In a startling revelation, Deputy President Rigathi Gachagua recently disclosed that his hotel room was bugged during a recent visit to Kisumu, raising concerns about security breaches within the government. Gachagua spent the day touring the Nyanza region alongside his boss, President William...
  12. Scoob102

    JamiiForums Tanzania Best Hotel amenities (Room services products)

    Hotel Amenities kwa nusu bei!!! Tunauza Bidhaa za kipekee za kisasa. (International Standards) Zimetengenezwa mahsusi kwa Hoteli za Nyota 3 na kuendelea. Tunazo Dental kits(Mswaki na dawa yake), Sabuni za Mviringo za Kifahari, Shampoo, shower gels, Body lotion na Shower Cap. Tupigie sasa...
  13. Msitari wa pambizo

    JamiiForums Tanzania Hotel/Lodge nzuri Bagamoyo

    Habari wakuu. Natarajia kuwa na likizo fupi ya mapumziko na nina hitaji mahali ambapo nitatulia na mama watoto wangu kwa hyo wiki moja kuanzia tarehe 22 Octoba Niko hapa kuwaomba kama kuna mdau anaweza kufahamu hotel/ Lodge nzuri ya bei za kitanzania kuanzia 50,000/= mpaka 80,000/= Nitafurahi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuachia vyumba kwenye Hotel, Lodges na Guest House ni wa udhulumaji

    Najua wengi mmeshakutana na hizi changamoto za kulazimishwa kuachia chumba huku ukiwa umepumzika kwa masaa 6 tu. Wale wasafiri wa usiku, ama wala bata hizi kero za kuamshwa asaubuhi hasa ikifika saa 4 kuwa muda wa chumba umeisha nilazima ukereke sana. Bei za chumba huwa ni kwa siku. Na wote...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Hotel mpya na nzuri Dar es Salaam

    Naombeni kunitajia hotel nzurii na mpya za hivi karibuni hapa Dar es Salaam bei iwe affordable na sehemu iwe imetulia nawakilisha.
  16. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Leo Mji wa Dar; Gesti, Hotel na Lodge nyingi zimejaa

    Inasikitisha sana kwa hali ya hewa ya leo kuna mtu anaenda kuambukizwa virusi vya Ukimwi, leo hii kuna mtu anaenda kubambwa na mke wa Mtu, Leo hii kuna mtu atapata mimba isivyotarajiwa na safari ya usingle mother inaanza kwake rasmi, Leo hii kuna mtu atafuma meseji za usaliti na violence...
  17. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Mwanzilishi wa hotel za Hilton ilibidi alale ofisini kwake ili tu a-utilize kila nafasi iliobaki kwa ajili ya vyumba vya kulala wageni

    Hilton alipoletewa ramani kwa ajili ya ujenzi wa hotel yake ya kwanza alihakikisha kila nafasi iliokuwa imeachwa wazi anaitengenezea kitu cha kumuingizia mapato. Kama vile lobby iliokuwa imewekwa aliieguza kuwa bar room na sehemu ya kuuzia sigara na vitu vingine vya kufanana ili tu hata...
  18. Ndama Jeuri

    JamiiForums Tanzania Hotel au Lodge nzuri Mbagala Dare es salaam

    Husika na kichwa hapo juu! Kwa wenyeji wa Mbagala Dare es salaam. Naomba msaada wa kupata huduma tajwa hapo juu ya kulala kwa gharama ya chini ya 100,000 kwa siku, isizidi 100,000/= location ilipo na mawasiliano ni muhimu
  19. miser

    JamiiForums Tanzania Discover the Perfect Blend of Comfort, Convenience, and Business at Parrot Hotel Arusha!

    Looking for a serene yet central place to stay while in Arusha? Welcome to Parrot Hotel Arusha, where luxury meets affordability. Whether you're in town for business, safari, or a relaxing getaway, we offer a warm and inviting space that caters to all your needs. 🏨 Why Choose Parrot Hotel...
Back
Top Bottom