Naomba kuuliza, je Tanzania tuna visima vya maji ya moto vya asili vingapi?
Mimi najua kuna Majimoto iko Katavi na Majimoto iko Serengeti ila nasikia kuna nyingine iko Manyara na nyingine Moshi, sasa sina hakika kuhusu hizo mbili za Manyara na Kilimanjaro maana hii nchi hizo taairfa haziko...