Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,398
- 17,793
Hii simu ilivunjika display kama miezi minne iliyopita. Jana nikaweka kioo kipya. Simu inawaka vizuri ila inadai niweke PIN ambayo naweka ila inaniandikia Pin required after divice restarts. Nikii restart inaendelea kudai PIN. Ukiipigia inaita na naweza kupokea. Ila apps hazionekani.
Msaada tafadhali
Msaada tafadhali