Prof_Adventure_guide
JF-Expert Member
- Dec 21, 2023
- 529
- 1,494
Yoo! Kama bado hujapiga luku Chemka Hot Spring kule Hai – Kilimanjaro, bro uko nyuma mbaya! Hii spot iko kijiji cha Rundugai, ni hidden gem ya ukweli. Maji yanachemka natural, clean afu ni hot lakini fresh – kama jacuzzi ya nature. Perfect kwa kupiga picha, kuchill na kubalance akili.
Weka plan, tembelea, enjoy nature, support local vibe. Hakuna stress – ni pure relaxation na good energy.
Chemka Hot Spring ipo wazi kila siku! Tembelea uone uzuri wa Tanzania, ujifunze na kufurahia mazingira ya asili. Karibu sana Rundugai – Hai, Kilimanjaro!
Tangazo hilo hapo lina maelezo yote 👇🏽🇹🇿