hospital

  1. JamiiForums Tanzania Hospital teule ya isoko ,itabaki magofu kama serikali haitachukua hatua, imechoka na haitamaniki Tena!

    hii ni hospitali ni yenye historia kubwa ukanda wote wa mbeya na hasa wilaya ya ileje ! Ndio ilikuwa tegemeo kuanzia miaka ya 1951 ilipokuwa zahanati Hadi kufikia 1961 ilipokuwa hospitali kamili ..hospitali hii kulingana na jiografia yake wagonjwa walikuwa hawabebwi na ambulance kulingana na...
  2. JamiiForums Tanzania Mwanamke anayejitolea kukumbatia Watoto Njiti waliotelekezwa Hospitali ya Amana

    Mwanamke mmoja mkazi wa Kinyerezi, Tabata jijini Dar es Salaam, Mariam Mwakabungu (25) amejitolea kuokoa maisha ya watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (njiti) na wanaotelekezwa na mama zao katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa Amana. Mariam ambaye ni mke na mama wa watoto wawili, alianza kutoa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Hospitali ya Rufaa Shinyanga haina mochwari

    HOSPITALI mpya ya Rufani mkoani Shinyanga iliyopo Mwawaza Manispaa ya Shinyanga haina jengo la kuhifadhia Maiti, pamoja na kukabiliwa na upungufu mkubwa wa madaktari bingwa. Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Dk. Yudas Ndugile amebainisha hayo jana kwenye ziara ya Waziri wa Afya Ummy Mwalimu...
  4. JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Ruksa Madaktari kutumia hospitali za Serikali kama private clinic baada ya muda wa kazi

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametoa ruhusa rasmi kwa Madaktari nchini walioajiriwa na serikali kufanya kazi Binafsi kwenye Hospitali za serikali baada ya muda wa kazi kuisha. Waziri Ummy ametangaza uamuzi huo leo Mkoani Simiyu, wakati akizungumza na watumishi wa Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa...
  5. JamiiForums Tanzania Tupate mkataba wa uendeshi wa hospital za Bugando (TEC) na KCMC (KKKT) ili tujadili bandari vizuri

    Hospital za Bugando na KCMC zinamilikiwa na makanisa na zinaendeshwa kwa ubia na serikali ya JMT. Ninafikiri mikataba yake ingetusaidia sana kwenye mjadala unaoendelea wa bandari
  6. JamiiForums Tanzania Wanaume waliofanyiwa Tohara kwa njia ya asili wananafasi kubwa ya kuwaridhisha wenza wao tofauti na wale waliofanyiwa hospitalini

    Ikumbukwe kuwa wanawake hufurahia tendo pale g sport yake inaposuguliwa na uume ipasavyo. Wanaume waliofanyiwa tohara kwa njia ya asili wananafasi kubwa sana ya kuifikia g sport ya mwanamke kwa sababu ziguatazo. Wakati wanapofanyiwa tohara ile ngozi ya mbele inapokatwa huwa aikatwi yote...
  7. JamiiForums Tanzania Nilivyonusurika na Mauti pale Hospitali ya Mpanda

    Haya yalinitokea mimi mwenyewe. Namshukuru Mungu kwa kunipigania na kuniokoa kwenye Mauti. Ilikuwa tarehe kama ya leo mwaka 2015, siku mbili kabla nilikuwa na rafiki zangu. Tukaenda sehemu moja ya kupumzika pale karibu na stendi ya zamani ya mabasi Mpanda Mjini. Tuliagiza na kula nyama choma...
  8. JamiiForums Tanzania Historia ya Sewa Haji Paroo (1851-1897), Muasisi wa Hospitali ya Muhimbili

    Sewa Haji Paroo alijenga jengo la kutoa huduma za afya kwa watu mbalimbali. Picha na Charles Kayoka. =================== Sewa Haji, soma historia ya mtu alietukuka. Ndie alietajwa katika moja ya wodi ama majengo ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili... Inasadikiwa Hospitali ya Muhimbili ndie...
  9. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Phlebotomists hawataki kufanya hand hygiene?

    Habari wana-JF! Hili ni jambo linalonishangaza kwenye Hospitali na vituo vya afya vingi hapa nchini. Pindi unapofanya kipimo cha damu, Phlebotomist huwa hafuati taratibu za kiafya kwa kuvaa gloves au ku-sanitise mikono. Unakuta anaingia na kutoka Maabara na kwenda kupeleka majibu ya vipimo kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Vurugu zilitokea taifa zimesababisha mtu mmoja kupoteza maisha na makumi ya majeruhi wapo hospital

    Suma jkt na tff lazima wabebe lawama hii kulikuwa na haja Gani ya kutumia polisi ..maji ya kuwasha na virungu kwa raia wasio na hatia na viingilio wamelipwa?
  11. JamiiForums Tanzania Mayele anaweza Kucheza bila Shida Vilabu Vidogo EPL atakayebisha awahi Wodini Milembe Hospital

    Nafuatilia sana Ligi Kuu ya Uingereza EPL kuna baadhi ya Wachezaji nawaona kabisa hawana Uwezo alionao Fiston Kalala Mayele na hivyo GENTAMYCINE kwa Kujiamini kabisa nasema hapa kuwa zipo Timu Ndogo EPL Mayele anaweza Kucheza tena kwa kuingia moja kwa moja katika First Eleven yao / yake. Uzi...
  12. JamiiForums Tanzania Leo nimepita maeneo ya Muhimbili Hospital nimenunua barakoa

    Nimenunua barakoa sh. 500. I noticed yule mwanamke anayeuza barakoa mkono wake wa kulia ile middle finger ina bendeji. Kwa hiyo akawa ananipa barakoa kwa uangalifu sana,in fact amekwenda ndani kuzichukua akaja kunionyesha kwamba anafungua pakti mpya,na ile barakoa nikaichomoa mwenyewe...
  13. JamiiForums Tanzania Nipo hospitali Mgonjwa amejifungua kwa operation ila damu wanasema hawajamuongezea kwahiyo tulipe, tuchangie, au tuondoke kwa kusaini

    Niko hospitalI ya Serikali mgonjwa wangu amefanyiwa operation juzi usiku saa nne, hospitali iko jirani na Kariakoo, Kutoka nimeambiwa haiwezekani. Mpaka either tuchangie damu, Tulipe tena wakati tulishalipa hela ya kujifungulia laki 1 Au wemesema tusaini kama tunaondoka na mgonjwa kwa ridhaa...
  14. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamuziki Hussein Jumbe afariki dunia

    Habari zilizotufikia Majirani zake Muda huu kutoka kwa ndugu zake waliokuwa wanamuuguza Hosptitali ya Amana, Amefariki Dunia jioni hii ------- Tasnia ya Muziki wa Dansi imekumbwa na majonzi makubwa baada ya aliyekuwa Nguli wa Muziki huo, Mzee Hussein Jumbe, kufariki leo Aprili 10, 2023 katika...
  15. JamiiForums Tanzania Tuna namna moja tu ya kudhibiti utendaji mbovu wa watumishi wa mahospitalini na kwenye taasis zingine

    Nitolee mfano Morogoro referral hospital, utendaji wa madaktari na wauguzi ni mbovu sana. Rushwa, neglegence, wizi wa dawa, impolite languages za wauguzi na baadhi ya madaktari, yaani vurugu tupu kwenye hospital iliyo katikati ya jiji morogoro. Kwavile mfumo wa opras wa kutathimini utendaji wa...
  16. JamiiForums Tanzania Vidonda vya tumbo vinaanza kurejea, nifanye nini kukabiliana na changamoto hii?

    Msaada, Mimi ni mhanga wa acid kujaa kwenye tumbo had kupanda kwenye Koo Kwa muda wa miaka miwili. Nilienda hospital mbalimbal bila mafanikio ila nikaenda singida hospital ya itigi wakanipa dawa na vyakula ambavyo natakiwa nisitumie na mpangilio wa kula, kweli nikafanya hivyo baada ya miezi...
  17. JamiiForums Tanzania Majeruhi ajali ya mwendokasi aruhusiwa kutoka hosptali

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imesema majeruhi pekee wa ajali ya basi la mwendokasi iliyotokea tarehe 22/2/2023 Jijini Dar es Salaam, Osam Milanzi ameruhusiwa kutoka Hospitali baada ya afya yake kuimarika. === Tunapenda kuuarifu umma kwamba majeruhi pekee wa ajali ya basi la...
  18. JamiiForums Tanzania Manjis hospital

    Hivyo ni badh ya vipimo nilivyo pima kama mwaka mmoja uliopita kwenye tatizo langu la muwasho sugu sehem za siri wataalam kalibun icho kichina apo ni jina nimelificha kwa kuweka icho kistika
  19. JamiiForums Tanzania Daktari anamiliki "pharmacy" dawa anaiba hospitali halafu anadai ajira inalipa

    Ukiona mtu anasifia kuajiriwa mchunguze sana, wengi wapigaji! Ona mfano mdogo; mwalimu hana posho au marupurupu ndo maana kila siku analalamika. Mapolisi nao, hivyo hivyo. Kuna mambo mengi sana kwenye ajira, ukiona mtu anasema anapata milioni 5 mshahara matumizi yake bei gani kwa siku? Na...
  20. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Meja Jenerali Francis Takirwa: Msiwatibu mashoga kwenye hospitali zetu za jeshi

    ========== Don’t treat homosexuals in our facilities, says Maj Gen Takirwa The Deputy Commander Land Forces Maj Gen Francis Takirwa has asked health workers to stop treating homosexuals in public health facilities. Maj Gen Takirwa made the statement on Sunday when the Uganda People’s Defence...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…