Kuna changamoto kadhaa zinazoendelea katika hospitali hii ambazo zinahitaji kufanyiwa uchunguzi na kuchukuliwa hatua:
1. Ucheleweshaji wa malipo ya wafanyakazi
Wafanyakazi hawajalipwa malipo ya muda wa ziada (overtime) tangu mwezi Novemba hadi sasa. Wanapouliza uongozi, wamekuwa wakielezwa kuwa...
A six-week investigation by the State House Health Monitoring Unit (HMU) has uncovered financial and administrative challenges at Mbarara Regional Referral Hospital (MRRH), including failure to account for Shs4.1 billion, ghost utility payments, fraudulent fuel claims and high staff absenteeism...
Two female health workers at Luwero Hospital have been arrested over allegations of extorting money from a patient’s family.
Rebecca Nakiwala, an orthopaedic officer, and Margaret Nabikolo were arrested by police following an incident involving a woman who was admitted to the hospital’s...
Health Minister Dr. Chris Baryomunsi has ordered a full investigation into Mbarara Regional Referral Hospital after a surprise midnight inspection exposed severe staff shortages, overcrowded wards and a lack of essential medicines.
During the visit, the minister found that the hospital's wards...
Mwanachama wa JamiiForums, Jakamageta amesema Elimu yetu inaharibiwa na siasa, siku hizi tutashindwa kupata Madaktari wanaofanya right diagnosis and treatment.
"Hospital wamejaa Incompetent Doctors and other medical practitioners kwa sababu ya mfumo wa elimu yetu ni mbovu."
Wenye pesa...
IKONDA HOSPITAL VS HOSPITAL YA RUFAA (ZONAL) MBEYA
Habari ya wakati huu watubwa Mungu!!
Ni tumaini langu mko poa sana.
Naleta uzii huu kuuliza juu ya nini kinafanya hospitali hizi zinazopatika nyanda za juu kusini.
Ikonda kwa jina maaru ila inaitwa CONSOLATA HOSPITAL IKONDA,ipo huko mkoani...
Habari
Hii siyo kero ni pongezi
Kwa madaktari wa Hospital ya RUFAA MBEYA.
Nimekuwa nikifanya Checkup mara kwa mara hospital ya rufaa Mbeya ,nimekutana na
1.watunza Kumbukumbu wanaosikiliza mtu vizuri na kumuelekeza kwa upendo wa hali ya juu ase wabarikiwe sana.
2.Madaktari wanajitoa vizuri...
Wakuu nina jino la uzeeni limeota mwisho kabisa upande wa juu.
Mwanzo nimelivumilia nikajua likiota litapona maumivu, ila yamezidi na nikigusa naona jino linatokezea kwa pembeni nje ya usawa wa mengine.
Naomba kujuzwa hospital nzuri ya meno kwa Dodoma yenye gharama nafuu
The Ugandan media fraternity is mourning the death of veteran journalist Joseph Sseruwooza, a parliamentary reporter and current affairs host at BBS Terefayina, who passed away on Friday morning at Mulago.
Sseruwooza was widely known for his coverage of Parliament and for hosting Zuukuka...
The Prime Minister, Rt. Hon. Robinah Nabbanja commissioned the construction of Masindi Hospital and the groundbreaking for the Masindi Municipal Council Africa Cup of Nations (AFCON) training facility in preparation of the 2027 tournament that will be held in East Africa and co-hosted by...
Habari wakuu naomba mwenye kuweza kunisaidia hospital Bingwa nitakayoweza kufanyiwa vipimo na kutambua aleji ya vitu vinavyonitesa
Ninakuwa na mafua na pua kuziba na kusababisha koo kuwa na makohozi kwasababu ya mafua , au dawa itakayoweza kunisaidia kunitibu au kupata hali ya unafuu...
Kwakawaida pale MUHIMBILI na hospitali zote zenye vyuo Huwa wanapita madaktari na wanafunzi wao mawodini kama sehemu ya kuwafumdisha Kwa vitendo Yani yule mgonjwa anakuwa case study.
Sasa wanafunzi wanakuwa wengi mpaka kumi wanamzunguka mgonjwa huku wakimatadi ule ugonjwa. Sasa wanafunzi...
Tunaomba mamlaka husika kufanya uchunguzi wa kina kuhusu malalamiko mbalimbali yanayodaiwa kuwepo katika Hospitali ya St. Francis, Ifakara, hususan kuhusu mwenendo wa uongozi na athari zake kwa ustawi wa watumishi na utoaji wa huduma kwa wananchi.
Kwa mujibu wa malalamiko yanayotolewa na baadhi...
Salamu ndugu zangu,
Nakumbuka kuna siku nilileta bandiko linalohusu kuomba ambulance kwa ajili ya kumpakia mke wangu endapo angepata changamoto usiku, japo sikupewa ila nashukuru Mungu uchungu ulimpata mchana kwa hiyo ilikuwa rahisi kupata usafiri kwa kumfikisha hospitali, Vijibweni kwa upande...
Kwanza naomba nitoe pole kwenu nyote.
Binafsi kwa sasa ninaishi mkoani Mtwara, ni muda mrefu sana nimehangaika kutafuta mtoto na mke wangu kwani mtoto wangu wa kwanza ana miaka 6, baada ya hapo nimehangaika sana kutafuta bila mafanikio.
Nilianza matibabu hosp huku mtwara na leo ndio nimepokea...
The corruption probe into properties linked to outgoing speaker of parliament Anita Among has been extended to include her radio station, school and teaching hospital in Bukedea.
A joint security team comprising personnel from the army, police and the Internal Security Organisation (ISO)...
Nipo katika Mwananyamala Hospital na nakutana na changamoto kubwa ya upungufu wa madaktari. Wagonjwa ni wengi sana na foleni ni ndefu kiasi kwamba watu wanazidiwa hadi kwenye mabenchi ya kusubiri.
Nimefika hapa tangu saa mbili asubuhi, lakini hadi kufikia saa 8:20 mchana hatukuwa na uhakika wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.