hongera

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hongera Samia Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Leo ilikuwa kilele cha mbio za Mwenge kitaifa huko Chato -Tanzania.Mwenge wetu wa Uhuru ulizimwa rasmi kule Chato. Masikio ya wanachato yalikuwa kisikia Chato ikipewa hadhi ya kuwa mkoa lakini haikuwa hivyo. Nideclare interest kuwa Mimi ni mwenyeji wa kanda ya Ziwa na ninajua maeneo mengi huko...
  2. JamiiForums Tanzania Hongera sana kwa kiungo wa Yanga Fei Toto

    Kwa sisi tunaojua mpira tumefurahia sana kazi ya kiungo wa Dar Young Africa Feisal a.k.a Fei Toto
  3. JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia, Kwenda US, Kuhutubia UN, Safari ya Kuzindua Filamu Yako ya Royal Tour, Tunaomba Tukusindikize, Dreamliner Yetu Itue New York

    Wanabodi, Kila nipatapo fursa, huwaletea mfufululizo wa makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" Makala ya leo ni bandiko la pongezi na ombi. Pongezi ni kwa Rais Samia, kusafiri kwa kukwea pipa la watu, kwenda nchini Marekani, na kuhutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UNGA. Ombi ni kwa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Hongera Mathew Kilama kwa Kuteuliwa kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma

    Ndugu Mathew Kilama, Wakati nakupongeza kwa kuteuliwa na Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ningependa kukupa angalizo kuhusiana na utendaji usioridhisha wa Tume ya Utumishi wa Umma. Ningekushauli utafute threads humu JF kuhusu malalamiko lukuki ya utendaji mbovu...
  5. JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Royal Tour yaanza kuonekana kwa kasi ya kutisha, Hongera Rais Samia

    Leo gazeti za Citizen limeripoti mawakala wa Utalii kutoka Nchini Marekani wameingia Tanzania kujionea vivutio vya Utalii vilivyopo hapa nchini Kwa ajiri ya kuwaleta Wamarekani. Hii ni wiki chache tu tangu Rais Samia Suluhu Hassan afanye kipindi maarufu duniani kinachohusiana na utalii na fursa...
  6. JamiiForums Tanzania Daraja la Busisi-Kigongo; Hongera sana Rais Samia, hongera Hayati Magufuli huko uliko

    Tuzidi kumuunga mkono Mama Samia anazidi kuchapa kazi kimya kimya. #mimi na magufuli ni kitu kimoja#
  7. JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia Suluhu. Shughulikia changamoto hizi pia

    Kwanza nipende kukuombe Kwa Mwenyezi Mungu akupatie Umri mrefu wenye mafanikio na hitaji la Moyo wako. Hakika Wanawake ni Nguzo kuu kwenye kila Hatua kwenye Dunia hii!!. Mama Samia napenda kukupongeza Kwa hatua kadhaa na jinsi unavyofanya nchi yetu inaenda Kwa kasi sasa. Mama Samia...
  8. JamiiForums Tanzania Hongera Yanga kwa kutaka kurejesha ubingwa wenu wa CAFCL

    Huku ni kudhalilishana tu. Watu wa kimataifa mnaposikia hiyo slogan msije mkachukulie watz wote mabogus. Hapana,ni kikundi kidogo tu kimeamua kinaitwa Utopolo. Waambieni watu Return hii ni kwa mbeleko ya Simba SC
  9. J

    JamiiForums Tanzania Hongera Serikali ya CCM kwa ujenzi wa barabara zote za Mwananyamala, kura zetu mtazipata 2025

    Kwa niaba ya Wazawa wa mwananyamala nichukue fursa hii kuipongeza serikali ya CCM kwa ukarabati mkubwa wa barabara zote unaoendelea kuanzia Vijana hostel na mzunguko wote Komakoma, A nyamala, Manjunju, Kwa mama Zakaria Peace Kwa kopa, Magengeni, Hospitali na kurudi pale A nyamala kwa mzee...
  10. JamiiForums Tanzania Hongera Dar Mpya kwa kukemea "Double standard" ya Jeshi la Polisi

    Kuna mambo yanatafakarisha sana sana. Polisi hawa wanawaachia hawa wafanye mikutano na Polisi hao hao wanawavamia wananchi wengine wakiwa wanafanya mkutano wa ndani. Huenda tukazika sana kama tutaendelea hivi. "Darmpya Blog tunalaani vikali vitendo vya upendeleo kwa @ccm_tanzania vinavyofanywa...
  11. JamiiForums Tanzania Hongera serikali ya CCM, malipo ya ndege tano, mradi wa kufua umeme (JNHPP) yafanyika bila mkopo

    "Serikali imefanya malipo ya awali ya ya shilingi bilioni 212.95 kwa ajili ya Ndege 5, Ndege kubwa 2, za masafa ya kati 2 na Bombardier ndogo 1, pia serikali imefanya malipo ya Bil. 50 kwenye mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere"- MsigwaGerson
  12. JamiiForums Tanzania Hongera sana Gwajima, kwa hoja umeishinda kamati ila kwa nguvu wamekushinda

    Hii kamati ilikuwa ya kipuuzi na imenisikitisha. Yaani wamepigwa KO nzuri tu. Hamna lolote ambalo wamelitamka kisomi,kisheria ,kisayansi kuwa ndiyo kosa la Gwajima. HAMNA NI BLAH BLAH tu na kumpa Sifa za Kipuuzi Gwajima. Nlitegemea hapa ndipo ambapo wangemwangusha vibaya Bwana Gwajima (huwa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kwa data hizi hongera Raisi Samia Corona tumeidhibiti

    https://covid.2gis.ae/advice?utm_source=online&utm_medium=mapcontrol&utm_campaign=firsttry
  14. G

    JamiiForums Tanzania Hongera Sabaya kwa kufunua ukweli, pengine wasiojulikana watajulikana

    Kwa kifupi Sabaya amefunua ukweli ambao wengi tusingeweza kuufahamu kirahisi. Kwanza ni ujasiri mkubwa kuwataja viongozi wakubwa kwenye kesi ambayo inaonyesha Kuna uhalifu, Kukiri kwamba alitumwa na mamlaka ya uteuzi ni dhahiri kwamba kuna uwezekano kwamba nayo ilihusika. Wengi tunafamu...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa ndugu Simbu

    Nachukua nafasi hii kukupongeza Ndugu Simbu kwa juhudi ulizoonyesha katika mbio za marathon kwenye michezo ya Olympic kule Tokyo Japan. Hukuweza kupata medali lakini kuwa mtu wa saba kwenye mbio hizo ni kitu cha kujivunia kama nchi. Hongera sana.
  16. K

    JamiiForums Tanzania Hongera Serikali kurudisha Ikulu Dar Es Salaam, Sasa tunakula bata jijini

    Nachukua nafasi hii kuipongeza serikali kwa kuirudisha Ikulu Dar es Salaam kwa kipindi cha mwezi mzima sasa, ambapo shughuli zote kubwa za kiserikali tunazifanyia Dar es Salaam. Hili ni jambo zuri la kupongezwa kwani hata sisi wasaidizi tunakula posho nzitonzito kwa kukaa Dar. Asante sana...
  17. JamiiForums Tanzania Hongera DED wa Mkuranga, Usipopatwa na hali hii inawezekana usimke

    DED nakushauri usisubiri kubanwa na haja ndogo ndo uamke. Amka hata bila kubanwa na haja ndogo. Ili Wilaya yako iweze fanya vyema. Huu ni ushauri tu. Unaweza chukua au kataa. Sitokulaumu.
  18. P

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Philip Mpango pole na hongera kwa hisia za Wanamtwara. Umeonesha uongozi bora

    Dkt.Mpango wewe nikiongozi uliyeonyesha UONGOZI BORA NA SI UTAWALA WA MABAVU. Hakika mbele za Mungu nakupongeza sana. Leo 26/7/2021 umehutubia wananchi wa Mtwara waliokusanyika katika kuweka jiwe la msingi hospitali ya kanda ya kusini.Katika kufuatilia waliopewa nafasi ya kuhutubia miongoni...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Thobias Andegenye: Mechi ya Simba vs Yanga wote wavae barakoa, hata uwanja ukifurika

    Mashabiki elfu 17 pekee ndio wataruhusiwa kuingia ndani ya uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma, kushuhudia mpambano wa watani wa jadi Simba na Yanga siku ya Jumapili. Mkuu wa mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye amesema wamepunguza idadi ya mashabiki kuingia ndani ya uwanja ili kuthibiti...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa NEMC kwa kusitisha ujenzi wa nyumba ukingoni mwa mto Ndumbwi

    Huu mto Ndumbwi ndio mto unaoingia Bahari ya Hindi Sambamba na nyumba ya marehemu Gertrude Lwakatare. Ukingoni mwa mto huu karibu na nyumba hiyo vilibuniwa viwanja na matapeli wa ardhi wilaya ya Kinondoni na Kuwauzia watu walioanza kujenga kinyume na sheria za nchi kuhusu Mazingira. Kilio cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…