Sisi waswahili husema, baniani mbaya, kiatu chake dawa. Hata kama hukubaliani na uanachama wa Polepole CCM, haya anayoyasema kukuhusu yana athari za moja kwa moja kwa CCM. Watanzania tunahitaji kujua maelezo yako kwenye hili.
Itakumbukwa marehemu mzee Reginald Mengi, alikutaja ww kuwa fisadi...