Kwamba ndio italeta usawa kwenye ligi,hapana nakataa. Yapo mengi tu ya kurekebisha yanayokiukwa kuleta usawa badala ya kulazimisha wenzenu wakaungua na jua eti huo ndio usawa.Huo usawa roho mbaya?.
Mmekuwa kama chongo anayetamani Mwingine naye apoteze jicho ndio aone wapo sawa.Kama kucheza...
Wakili msomi mwandamizi Alloyce Komba ambaye ni momoja kati ya Mawakili Watano ambao waliungana kupeleka barua Baraza la Michezo Tanzania kuomba kusitishwa kwa mchakato wa uchaguzi wa TFF ameibuka na hoja nyingine ya kikanuni akidai kwamba Mgombea pekee wa urais aliyepitishwa amepitishwa nje ya...
Kama Mungu ana nguvu zote na muweza wa yote kwanini Kuna mabaya duniani kwanini asingefanya dunia iwe ya mema tu?
Vipi kama Mungu angefanya iwe ya mema tu watu kama hao wakauliza kwanini yawepo mema tu huyu Mungu muweza wa yote kwanini haruhusu mabaya ?
Au tuseme kama Mungu angendoa mabaya...
Mungu kajalia mechi ya Simba na Yanga ndiyo iliyoamua ubingwa. Mungu amejalia pia timu inayodhaminiwa na GSM imeifunga timu ambayo imekataa kudhaminiwa na GSM kwenye mechi ya maamuzi nani awe bingwa wa ligi. Mungu huyu wa ajabu amezidi kuonyesha maajabu yake kwa mechi ya Simba na Yanga...
Kwenye harusi hakosekanagi mtu amewahi kula bibi harusi na amekaa wanatizamana.. hii ina maanisha popote alipo mtaendelea kuichapa wote..
Endeleeni kupendana kama wajinga
Serikali imemwagiza Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhakikisha kuwa watumishi wa Mamlaka hiyo wanafuata taratibu na sheria zilizowekwa.
Agizo hilo limetolewa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb)alipokuwa akijibu swali la nyongeza la Mbunge...
Wasalam!
I declare!
PATRIOTISM FORWARD
PIA
SIASA NI DINI MPYA.
Ni wazi sasa technolojia ina nguvu kubwa kwenye maisha yetu, technolojia ina nafasi kubwa kwenye utendaji wa kazi zetu za kila siku.
Uvumbuzi na ugunduzi wa mashine mbalimbali za kidijidali na kirobotiki zimerahisisha mambo mengi...
Kila mtu anasapport upande wake na hakuna anae taka kukosolewa sio wanao support serikali sio wanaosapoti upinzani ukijaribu kuweka hoja tofauti na upande wowote unaoga mvua ya matusi.
Nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali mitandaoni kuhusu masuala ya kisiasa, kama hili la kufungiwa kwa...
Kuna watu wanaiangalia CHAUMMA kwa jicho la mikutano yao kujaza ama kutokujaza watu. Na bahati mbaya na CHAUMMA nao wameingia kwenye mtego huo.
Nadhani chama cha siasa hakitambuliki kwa wingi wa watu wanaohudhuria mikutano yake, bali kwa hoja za chama husika kama zina manufaa kwa wanaohudhuria...
Tarehe 2 Juni 2025, nimeona barua inayojinasibu kuwa ni ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya kulifungia Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church @ Ufufuo na Uzima, linaloongozwa na Mbunge wa CCM, Askofu Josephat Gwajima.
Kisingizio?
Lakini kwa anayesoma hali kwa makini, hoja ya kweli ni moja tu...
Tujibu Hoja kwa Hoja, si kwa Kejeli
Ni muhimu tujenge mazoea ya kujadili hoja kwa hoja. Mtu anapowasilisha hoja, si busara kuikwepa kwa kuuliza kwa nini hakuzisema enzi za utawala fulani.
Swali kuu linapaswa kuwa: Je, anayosema sasa ni ya kweli au la? Badala ya kurukaruka na kubeza, tujibu...
Hizi ni hoja kumi alizozitoa Mbunge wa Kawe Askofu Gwajima akihoji na kushauri.
1.Kuna wimbi la utekaji, na uvamizi wa kikatili wa raia pasipo hatia wala utaratibu wa kueleweka.
2.Vyombo vya ulinzi nchini havijaeleza kushindwa kushughulikia matukio ya utekaji wa raia kwanini hatua hazichukuliwi...
Katika historia ya vyama vya upinzani nchini Tanzania, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimejipambanua kama sauti mbadala ya kisiasa. Hata hivyo, miaka ya hivi karibuni imeonesha mwelekeo unaotia shaka: chama hiki kimegeuka kuwa jukwaa la kila anayepinga serikali—bila kujali dhamira...
Mzee Msuya - sio mimi nasema - Mzee Msuya mtu wao wa system kabla hajafa alisema watu wa CCM ni wadhaifu sana kwenye kujenga hoja.
Bunge linasema:
Mtu mwenyewe ana shida jimboni
Afukuzwe CCM
Aliahidi safari Kawe-Japan
Kataja jina takatifu la mtoto wa Rais
Angeweza kuyamaliza kwa ushauri wa...
Polepole anasema ''Inaweza kuwepo serikali lakini nyuma yake kuna kikundi cha wahuni ndicho kinaiongoza.
Msipokua Makini Kwenye Political econommy ya Nchi yetu hapa unaweza kujikuta kikatengezwa kikundi cha Watu ndio kinakula KODI ya Nchi hii, kikatengenezwa kikundi cha Watu ambacho ndio kina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.