hoja

  1. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Waislamu nao kwa namna fulani Wana hoja

    Nyinyi Waislam Wanafiki Wa Tanzania Mlikuwa wapi wakati huu masheikh wanateseka kwa dhulma mliwahi kuitisha maandamano au kupiga kelele zozote za kuwaunga mkono hata huku Mtandaoni..? Kwasababu hawakupigania maslahi ya dunia yenu mkawaacha na wengine walikaa zaidi ya miaka 15 jela bila kosa...
  2. OLS

    JamiiForums Tanzania Wakileta hoja wanaitwa "wabishi", wakikaa kimya wanasema "hawawezi kujielezea"

    Ili watu wawe huru kutoa mawazo na hisia zao lazima mazingira yawe rafiki. Hata hivyo kuna wakati watu huwa na mazingira yasiyo rafiki kwa kuwa watu wanahitaji mawazo ya namna fulani au yanayosapoti tu. Wakija watu wenye mawazo tofauti hupewa jina la "wabishi". Neno ambalo lina maana ya kwamba...
  3. sanalii

    JamiiForums Tanzania Suluhu hana suluhisho, ubabe wake umefikia mwisho, jukwaani anatoa mipasho, hoja zake hazina mashiko.

    Yule fedhuli mwenye roho ya korosho, Mwenye hoja zisizo mashiko, Anadhani katiba ni hadithi za esopo, Kila mara hutoa boko, Kwasasa amekosa soko, Kila kona mi miwasho, Mikali zaidi ya ile ya uamsho, Ataipata ya joto, Kiti kitawaka moto. Wahuni wenye mikoko, Wanaotegemea pisto...
  4. Mhaya

    JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi Serikalini Wanataka Wananchi Mkinukishe Kwanza ili Wawaunge Mkono

    Ukifanya upembuzi yakinifu utagundua viongozi wengi serikalini sio kwamba hawaoni yanayotendeka. Shida inakuja ni kuwa wenye uwezo wa kusema hapana ni wananchi wenyewe. Hivyo viongozi wengi wanasubiri kuona nguvu ya umma ikifanya maamuzi. Fuatilia kwa umakini tu huko maofisini utagundua...
  5. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Tahakiki: Hotuba ya Kapteni Tesha inataja sababu, uwezo na nia ya kuiangusha serikali ya kiraia iliyopoteza uhalali wa kikatiba

    https://youtu.be/H1nHdmCnduI Video iliyosambaa mitandaoni ikumuonesha mwanajeshi aliejitambulisha kama Kapteni John Charles Tesha kutoka kikosi cha anga cha JWTZ, akihamasisha jeshi hilo kuchukua udhibiti wa nchi, huku akidai kuwa nchi inakoelekea ni kubaya. Utangulizi Jumamosi ya tarehe 4...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kuhusu ndevu ama mavazi, hoja za Butiku ni dhaifu mno

    Nadhani Mzee Butiku kapaniki tu maana anajua mtiti aliokabiliana nao kaka yake mwaka 1964 jeshi lilipoasi. Lakini hawa hapa ni Wanajeshi mashuhuri kabisa sasa aje hapa Butiku aseme wao kuwa na ndevu ama kuvaa “pull neck” kumewapunguzia sifa gani? Fidel Castro Paul Kagame Assimi Goïta
  7. 888I

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo tumekubaliana vipi kuhusu hoja ya Polepole ya NIDA, Kadi ya Kura na Kadi ya CCM kuunganishwa?

    Nimewahi kumsikia Ndg. Humphrey Polepole (aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania Cuba) akisema pale chamani walikwisha kuanza michakato ya kuunganisha kadi mbili muhimu — Kadi ya NIDA na Kadi ya mpiga kura — na hatimaye kuunganishwa na kadi ya Chama Cha Mapinduzi. Kwa tafsiri rahisi, kama kweli...
  8. jikuTech

    JamiiForums Tanzania TEHAMA | Angalia Hoja Hizi Kisha Toa Maoni

    Jacob Mfadhili Sio kama sifahamu iyo C , lakini chai ya mtoto(mpya) haiwezi kuwa ya moto kama mkubwa (expert)kaka ,, Mimi nakuelewa unapo mwambia mtu ajifunze low level ama assembly ama C, mueleze pia gharama za matumizi yake, mtu Hana hata uwezo wa kununua PC mfano, alafu ajifunze C kuna muda...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Polepole kumtumia Rais Museveni kama mfano ni mfu

    Kama kweli lengo la Museveni lingekuwa mfano wa kuigwa, basi yeye mwenyewe angeonekana mnafiki, kwa sababu alimfanya mwanaye Muhoozi kuwa Mkuu wa Majeshi na wengine akawapa vyeo vikubwa serikalini. Kabla ya kumsema mwingine, Rais Museveni alipaswa kuanza kwa kutoa kibanzi kilichoko kwenye jicho...
  10. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Naomba kujibu hoja ya Kafulila kuhusu rasilimali watu na rasilimali za nchi

    Wazo kuu hapa ni kwamba utajiri wa kweli wa matajiri haujatokana na kuwa na rasilimali asilia (kama mafuta, madini, au ardhi yenye rutuba) bali ubora wa rasilimali watu (human capital), yaani, ujuzi, maarifa, ubunifu, nidhamu, na uwezo wa kufanya kazi kwa pamoja wa wananchi wake. Naomba...
  11. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Nimefiatilia kampeni za upinzani hawana hoja, wanafanya comedy tu.

    Habari wanajf.kwa kweli nmeona wengi wanafanya vichekesho hawana hoja za msingi kuwashawishi raia za kuweza kuitoa CCM madarakani.
  12. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Ujenzi na ubomoaji wa hoja: Janga kubwa kwa viongozi wetu

    Naanza kumaizi kuwa upo umuhimu wa jamii yetu kujifunza maarifa ya ujenzi wa hoja ili kupunguza mitindinganyo ya hoja inayoendelea jambo linalowapa nafasi wachache wanaojua kujenga na kubomoa hoja hata kama wakisimamia hoja dhaifu. Nimefuatilia majibizano mengi ya hoja na nilichoweza kubaini ni...
  13. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Hoja za Mange na Polepole si za kubeza kama taifa tujitathimini kwa kinachoendelea

    Sasa hivi kila mkoa na wilaya wakuu wa wilaya sijajua ni maagizo au vipi wana kundi la vijana wanaita jeshi la akiba hao vijana wanapatiwa mafunzo ya kijeshi kabisa na wakufunzi wa jeshi sasa sote tunajua jeshi la akiba ni migambo na wanatambulika sasa hili kundi la vijana walikusanywa na kupewa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Polepole kwa ushahidi huu, CCM acheni kutuambia mtafanya nini eti ndani ya siku 100. Jibuni hoja zake, haziepukiki, hizo ndizo za wananchi!

    Watanzania si wajinga. Ya nini kutuambia mtafanya nini eti ndani ya siku 100, si mko mdarakani, si mngefanya jana au hata sasa au hata bila ya kutwambia? Kwani mlikuwa na haja gani ya kumwambia nani mtafanya nini wakati wasaa huo mlikuwa nao na hata sasa mnao? Polepole kasema mengi yenye...
  15. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Polepole ana watu na ana hoja, sijui CCM wafanyeje ili kumdhibiti?

    Nimefuatilia hatua kwa hatua mijadala ya Pole pole na kugundua wazi kuwa, kuna mamilioni ya watanzania wanamfuatilia kwa kina Pole pole kile alichokiongea na wengi wao wanamuelewa na kumuamini. Kama kuna namna CCM ilipaswa kumdhibiti kabla lakini kwa sasa imechelewa mnoo, sijui wafanyeje? Hapa...
  16. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Naunga mkono hoja ya Oscar Oscar

    Wabongo wana roho mbaya sana makazini no wonder niliacha kazi sababu ya majungu nikaanzisha biashara zangu!
  17. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Hoja za Bawacha dhidi ya Polepoke zina mashiko sana

    Nimependa Sana hawa wanawake wa Chadema wapo na hoja nzito Sana. Pole pole aje atuambie aliyempiga risasi Lissu ni nani.
  18. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Udini Dhidi ya Maaskofu ni Hoja Potoshi za Mafisadi wa CCM Kukwepa kuambiwa ukweli

    GT Hawa viongozi wetu maaskofu hawajawahi kupoa hasa linapokuja swala la uadilifu na kutenda haki, huwa hawacheki na yeyote. Hivi sasa kumeibuka hoja kwamba eti ni wadini this is BIG NO kiufupi hawa jamaa siyo wanafiki. Mafisadi wanakuja na propaganda hii kukwepa kusikia Ukweli. Kama ingekuwa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania TLS, Mwabukusi: "Mweleweni Polepole kwenye hoja yake ya mifumo ya CCM, INEC na NIDA kuhusiana na wizi wa chaguzi kiufundi."

    Palikuwa na uzi humu: Soma: Polepole kuitisha mifumo ya uchaguzi na NIDA kuhusiana na CCM kukaguliwa, ili kujiridhisha ina maana gani kiufundi? Uzi huo ulikuwa na maelezo ya kina katika lugha rahisi kuhusiana na alichosema Polepole na kuibiwa uchaguzi alikokuangazia. Ikumbukwe anayeweza...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Makala mnamuonea tu, hoja za Polepole na Gwajima hazijibiki, zinataka system overhaul

    Salaam! Unaanzaje kumjibu Pole Pole anayeongea Pole Pole kwa tahadhari na kwa kutumia lugha rahisi ya kidiplomasia namna Ile? Gwajima unaanzaje kumjibu, maana alichoongea Kiko wazi na ametoa ushauri mzuri kabisa kwa tahadhari kubwa. Sasa kuliko kuwajibu ukajikuta unatoka nje ya mstari na...
Back
Top Bottom